Search results

  1. JOMI

    Nafasi za kazi kwa walimu

    VICTORIAN GIRLS HIGH SCHOOL, Luchelele Nyamagana District, P.O.BOX 3145, Mwanza Tanzania, Tel: +255 754 446624, +255 743 475384, + 255 757 642296 Email: victoriangirls2019@gmail.com Victorian Girls High School is a private school which is located at Luchelele near St. Augustine University...
  2. JOMI

    Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

    Ni wangapi ambao wamepita airport na vipimo havijaonesha kama wana Corona na kumbe wako na vimelea na wameshajichanganya mtaani Sent using Jamii Forums mobile app
  3. JOMI

    Ndege zetu zitumike kusafirisha abiria wa Mwanza to Dar kwa sasa hadi daraja likamilike

    Ni week ya 3 sasa abiria wanaotumia mabasi kati ya Dar es salaam to Mwanza wamekua na taabu kubwa ya usafiri na hii ni kutokana na daraja linalounganisha mkoa wa Dodoma na Morogoro kuwa na mshikeli wa kusombwa na maji na majuzi Rais ametangaza kusitisha safari zote za ndege zetu zilizokua...
  4. JOMI

    Kwa wimbi hili la Watanganyika kuhamia Zanzibar, tujiandae wazanzibar kupoteza utambulisho wetu ndani ya miaka kumi ijayo

    Acha ubaguzi wewe Mbona mabinti wengi wa kizanzibar hawana malinda nani anayatoa Kama sio umalaya wao
  5. JOMI

    Nihurumieni mwenzenu nakufa

    Usituzingue Kama bank waliingiza kimakosa Kawaida anaedaiwa ni operator alieingiza huo muamala kwako sasa wewe unahaha nini account si yako kosa lako nini Kama ulikopa useme lakini sio pesa ya kwenye account yako ndo ikuue nendeni mahakamani unashinda kesi asubuhi
  6. JOMI

    Kwanini wanaume wengi wanapenda u-single?

    Mwanamke ukimwambia ukweli jipange kujiunga chaputa
  7. JOMI

    Mwanaume hufanya maisha ya mwanamke kuwa mepesi lakini mwanamke hufanya maisha ya mwanaume kuwa magumu

    ...sehemu za siri za mwanamke ni kavu ila mwanaume akizigusa hulainika Hii inatufundisha kuwa mwanaume siku zote hufanya maisha ya mwanamke kuwa mepesi, Sehemu za siri za mwanaume ni laini lakini mara tu mwanamke anapozigusa gusa huwa ngumu wakati huo huo... Na hii inatufundisha kuwa siku...
  8. JOMI

    Huyu mwanamke nimjibuje?

    Mkuu unatakiwa kuwa Mtu wa kisasi kurudisha hadhi ya kiume tafuta either dada yake au mama yake mega kwa sauti hadi ajue kuhusu kumjibu sms achana nae fanya vitendo
  9. JOMI

    KUNA UKAKA NA UDADA KATI YA WATU WALIOWAHI KUWA WAPENZI??

    Kumbuka mtaraka hatongozwi jiongeze wanaume wa Dar hadi mkute mshikaji yupo kifuani ndo mnaamini mnaibiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. JOMI

    New World Order na mipango ya maendeleo ya dunia..

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa huo ni mpango wa mpinga Kristo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. JOMI

    Simba Yaweka Rekodi ya Dunia na Dreamliner

    Tunashukuru Kwa taarifa kuwa imetengemaa
  12. JOMI

    Nataka kumuua mbwa

    Mlete iringa huku
  13. JOMI

    Hasara kwa shirika la ndege si hoja

    Mleta uzi kabla hujaanza kushambulia watu Kwa ukanda wao ungetuwekea na report ya CAG ambayo iliweka bayana kuwa shirika hili limekua likijiendesha Kwa hasara kubwa na limekua Mzigo Kwa serikali badala yake umetoa maneno kibao ya ushereheshaji pasipokua na fact hayo mashirika ya Rwanda air na...
  14. JOMI

    Zitto Kabwe: Nitampeleka Abdul Nondo Uhamiaji tarehe 20/4/2018 kwa mamlaka yangu kama Mbunge wa Kigoma Mjini

    Jamaa alituonesha alikosoma akatuonesha dirisha alilovunja Lakini hadi Leo hajatuonyesha hospital na mkunga alietoa Msaada wa kuzaliwa Kwake sasa tuanzie hapo kutafuta nani raia halali na nani sio raia
  15. JOMI

    Vilio vya wanawake (chumbani)

    Huwa Sina muda wa kumfurahisha Mwanamke nikishapata raha zangu Nasepa zangu maana nalipa pesa ili nijifurahishe siku watakapo acha kuweka macho kwenye pesa nitawakojolesha sana
  16. JOMI

    Barua kwa Rais kutoka kwa wahanga wa NIDA

    Siku nyingine usituandikie hapa hizi barua za double standard zenu andika barua ya kificho peleka magogoni au lumumba ukiwa na uthibitisho wa ushiriki wako Katika kampeni yaani idadi kubwa ya vijana wapo mtaani hawana Ajira Wewe Unakuja na vijisababu eti ulishiriki kuimba nyimbo za kuisoma namba...
  17. JOMI

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    I wish I could be moderator
  18. JOMI

    Moses Machali: Askofu Kakobe siyo mchungaji wa kiroho

    Hivi ni machali huyu huyu alieyewahi kusoma St. Augustine mwanza
  19. JOMI

    Bila upinzani, Tanzania ingekuwa zaidi ya Japan kiuchumi

    Ukitaka kumficha mwafrika Weka Ujumbe kwenye maandishi wachangiaji wengi hawasomi kilochoandikwa wanakimbilia kucomment jamaa uzi unazungumzia lumumba wanavyotumia Malinda kupitisha sheria zisizo na faida kwa taifa
Back
Top Bottom