Mafundi bomba kuna vifaa wanafunga bhana, vinazuia maji yasirudi nyuma.
Kwa ujazo wa lita 5000 kama yanavuja yangeonekana tu.
Nikipata nafasi nitaweka picha (hapa hapa) ya hivyo vikoki vinavyozuia maji yasirudi nyuma.
NOTE; Kama utakipata, fundi ambae hajui hiki ni kifaa gani sio rahisi...
Swali lako halijakaa sawa!!
Anaway, nilichomaanisha ni kwamba 4.5M inatosha kupata tofali, cement, mchanga, nondo, bati, mbao na hela ya ufundi kwa chumba kimoja, sebule na choo, plus shimo la choo lenye ukubwa wa wastani.
Ni kujenga na kupaua tu.
Chumba, sebule na toilet ni 4.5M
Vyumba viwili, Sebule, Jiko, 2 toilets ni 13M.
Ni gharama ya materials yote Kujenga na Kupaua, Shimo la Choo la ukubwa wa wastani, Kifusi, na gharama za Ufundi.
Ukitaka mchanganuo fungua wallet.
Naongea kama FUNDI.
Maili Moja kuna sehemu inaitwa Muheza, about 2-3 km from main road. Vipo vingi tu vya 3 to 5M, ila kuna kimoja kutokana na maelezo yako huenda kikafuaa bei ni 7.5M
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.