Search results

  1. JONATHAN KAMWAVAH'S

    Msichana wa kazi za ndani anahitajika

    Msichana wa kazi za ndani anahitajika,awe mwenye maadili anayejuwa nini anafanya,awe mchapakazi,msafi mwenye bidii na kazi,hakuna watoto wadogo ila nimajukumu ya kawaida tu,kwa mawasiliano 0783673996
  2. JONATHAN KAMWAVAH'S

    Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Wa tanzania hatuangalii pointi ya msingi tunacho Anglia kachapia wapi yani kukosea kuandika ndowa badala ya ndoa,watu ishakuwa mada,ok baridi nyinyi ndio wasomi Mimi sijasoma,ila usilopoke bila kushirikisha ubongo wako.
  3. JONATHAN KAMWAVAH'S

    Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Tuko pamoja ndugu zangu,hilo jina lisiwaumize kichwa hilo ni lazamani na Mimi naitwa Suleiman.
  4. JONATHAN KAMWAVAH'S

    Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Ok majibu nikama ifuatavyo mke bado sijampata na kwaushirikianu huu mzuri nikimpata tuu nitawajurisha,na muelewe kutafuta sana si kupata,nikweli kwamba nimeishaandika matangazo lakini bado sijampata.
  5. JONATHAN KAMWAVAH'S

    Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Jani nimeslmu tarehe 23/9/2013 naitwa Suleiman,Jonathan ni jina la zamani.
  6. JONATHAN KAMWAVAH'S

    Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Jamani msianze tukanana nawaombeni pls@deepsea,naombeni ushauri na kama upo na unavigezo pls wasiliana nami.
  7. JONATHAN KAMWAVAH'S

    Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Nashukuru kwa ushauri wenu mzuri wadau@kin'gasti,kizzy wizzy,kahtaan,flora msoffe na hata wewe uliyesema Mimi domo zege + mkono zege asante pia kwa mchango na ushauri mzuri kwangu.
  8. JONATHAN KAMWAVAH'S

    Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Asante kwa ushauri mzuri@kahtaan
  9. JONATHAN KAMWAVAH'S

    Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Jamani hapo kwenye kabila ni lolote.
  10. JONATHAN KAMWAVAH'S

    Binti/mwanamke wa kiislamu umri 18-30 kwa ajili ya ndowa

    Aslaam alyeiku,kwanza naanza kwa kumshukuru Allah kwa uzima aliotupati,Kisha kuwashukuru wote mtakao changia mada hii,kikubwa ni kujenga na si kubomowa. Nimejitokeza Mbele ya kurasa hii nia ni kutafuta mchumba ambaye soon kama tutapatana ndiye atakayekuwa mke wangu. Anayetafutwa: Umri 18-30...
  11. JONATHAN KAMWAVAH'S

    Nimezama kwa mapenzi

    Upo bahari gani nitume boti ije ikuokoe
  12. JONATHAN KAMWAVAH'S

    Jipatie kiwanja, mashamba maeneo ya Mkuranga

    Mshaba ni kuanzia laki tano mpaka million mbili kwa hekari moja,viwanja kuanzia million moja na nusu mpaja million nane,KARIBUNI
  13. JONATHAN KAMWAVAH'S

    Jipatie kiwanja, mashamba maeneo ya Mkuranga

    Karibu mkuranga kwa maitaji ya maeneo ya ujenzi wa shule,sheli za mafuta(petrol station),nyumba za kupanga,nyumba za wageni(guest house),maeneo ya ufugaji na kilimo,bei ni nafuu sana. Ni pm,au piga namba 0719 450426,au whatsupp 0719 450426,au email.jonathankamwavahs@gmail.com
  14. JONATHAN KAMWAVAH'S

    Upo wapi malkia wangu?

    Kwa jina SULEIMAN ninaumri miaka 29,kabira mama mpare baba mnyamwezi,mrefu kiasi,si mwembamba wala mnene,mweupe wala mweusi,ni kati kwa kati,dini muislamu,elimu chuo kikuu,mfanyabiashara mdogo na mwana siasa. Nimtafutae:umri kuanzia miaka 18 Muislamu,mwenye maadili mema,mweupe,mrembo. Malengo ni...
  15. JONATHAN KAMWAVAH'S

    For matured men only

    Kudadadeki kanatumia English kushiwishi wadau,hakana lolote kaswahili kakubwa hako,kanatafuta wamumchuna nenda machinjioni,unatuletea English ya mchikichini hapa.
Back
Top Bottom