Search results

  1. M

    Swali la ugomvi: Mnataka vipi mabadiliko wakati tayari mmebadilika?

    Mwanakijiji wewe unasema hujabadilika wenzio wanakuona umebadilika. Siyo yule kamanda waliyekuwa naye wakati huo. Tatizo ni nini? Tatizo kubwa kwangu mimi ni mtazamo wa mabadiliko. Wakati wewe muda wote uliangalia watu wenzio walingalia mfumo. Kwa mfano wewe unaona Lowassa ambaye alikuwa...
  2. M

    Edward Lowassa atoa ya moyoni, awataka wanaomtuhumu walete ushahidi

    Sasa Mzee Mengi amejiaibishaje hapo? Ametahadharisha watangaza nia waache unafiki. Huwezi kusema mwenzio mla rushwa wakati na wewe mwenyewe ni mla rushwa. Hapo kawaambia ukweli tu
  3. M

    Edward Lowassa atoa ya moyoni, awataka wanaomtuhumu walete ushahidi

    PMM, Wanasemana wao kwa wao kwa sababu hawana cha kuwaambia wananchi. Matokeo yake wameanza kudandia hoja za akina Slaa ambazo wamezitoa toka mwaka 2008. Mimi najiuliza kwa mfano, toka list of shame imetoka pale Mwembeyanga je wizi na ufisadi serikalini umepungua? au je toka Lowassa amejiuzulu...
  4. M

    Edward Lowassa atoa ya moyoni, awataka wanaomtuhumu walete ushahidi

    Mzizi wa Mbuyu, Kama hayo yangesemwa na UKAWA, mimi sina tatizo. Tatizo kwangu linakuja kwa CCM kama mtu ni fisadi kwa nini hawakumfukuza toka siku nyingi? Na kama alikataliwa na Mwalimu (usisahau pia alikuwa na ujasiri wa kumtuma Kawawa aende akamwambie Mwalimu akamsafishe ili asishindwe...
  5. M

    Edward Lowassa atoa ya moyoni, awataka wanaomtuhumu walete ushahidi

    Mzizi wa Mbuyu, kama walimwona ni gamba walitakiwa kumvua kabisa siyo suala la kumwita tu. Hapo ndiyo napata shida na dhamira yao. Kama walishindwa kumvua gamba, kwanini wanataka sisi tuwasaidie kufanya kazi hiyo? Sababu ni moja tu, kwamba wote siyo wasafi. Soma huu ujumbe wa Mengi. Na wote...
  6. M

    Edward Lowassa atoa ya moyoni, awataka wanaomtuhumu walete ushahidi

    Wanaoomba kuteuliwa na CCM wanashangaza sana. Wanasema watapambana na ufisadi na wanauchukia. Ufisadi hauwezi kuondolewa kwa matamko ya jukwaani kwa sababu siyo itikadi. Ni tatizo la kitaalamu ambalo linahitaji kuboresha utendaji wa taasisi kama TAKUKURU, POLISI, MAHAKAMA nk. Hivyo ni suala pana...
  7. M

    Watangaza nia wa CCM swali la kisiasa kutafutia majibu ya kitaalamu ni ukosefu wa umakini au ghiliba

    Toka zoezi la kutangaza na kuchukua fomu kwa CCM kuibuka mambo mengi sana. Lakini kubwa lilillojitokeza ni nguvu za Waziri Mkuu wa Zamani Edward Lowassa. Lowassa alianza kutangaza nia kwenye mkutano wa hadhara na wagombea wengi tu wakafuata nyayo zake. Mimi nitamwongelea Lowassa na jinsi gani...
  8. M

  9. M

    Hivi sheria inazuia polisi wa kike kuwa na mvuto muone Linda Okello wa Kenya

    Nimesoma hizi habari nikawa najiuliza hivi hata kwetu Tanzania sheria zinazuia askari wa kike kuwa na mvuto? Linda Okello, the Kiambu Police Woman with "tight up skirt" to face disciplinary action. She will be transferred to Mandera!! Policewoman in skirt saga fears looming transfer | Nairobi...
  10. M

    Tanzania Offered 20 Oil, Gas Scholarships At Scottish University

    Nyumba kubwa, Ni kweli hicho chuo ni kizuri, lakini na sisi tunatakiwa tuanze ili baadaye tuwe na chuo kama hicho. Sasa kama tunaanza kwa kutoa scholarships badala ya kufikiria kujenga chuo ni mwanzo mbaya. Sisemi kuwa kwenda huko wachache ni mbaya, lakini kama nchi na kama tunategemea hii sekta...
  11. M

    Dr. Bana: Takwimu za tume ya Warioba sio za kisayansi

    Ingawaje siyo vizuri kuwajibu madaktari, lakini mara nyingine huwa wanazidhalilisha elimu zao. Kwanza sayansi ni nini mpaka aseme kuwa takwimu za Warioba siyo za kisayansi? Kitu cha pili nadhani wanaomchallenge Warioba kwa kutumia kanuni za utafiti wanatumia mtazamo mmoja tu (yaani quantitative...
  12. M

    Tanzania Offered 20 Oil, Gas Scholarships At Scottish University

    Mimi kwa kweli ningependa badala ya kupeleka wataalamu 20 nje, walete wataalamu/walimu wafungue chuo hapa. Baada ya miaka 10 tunaweza kutoa wataalamu wengi zaidi kuliko kupeleka huko nje.
  13. M

    Tanzania not happy with UK visa being processed in Nairobi

    Hivi kuna umuhimu gani kwa sisi kuendelea kuwa ndani ya Jumuiya ya Madola kama vitu vidogo kama hivi bado hawawezi kuvifanyia hapa nchini?? So humiliating
  14. M

    Burundi can teach Rwanda

    Nimeipenda hii. Hasa kufanya makabila yetu kama chanzo cha utani na siyo uhasama. Kwa hiyo sheria tu haisaidii. Chanzo BBC BBC News - What Burundi could teach Rwanda about reconciliation What Burundi could teach Rwanda about reconciliation...
  15. M

    Kuchagua mawaziri kuwa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa bunge la Katiba tunajifunza nini?

    Teh teh teh nimecheka sana ulivyosema wataniambia kuwa hili ni bunge maalum. Hivi katika siku zote hizo baraza la mawaziri halitakutana? Je likikutana nani ataongoza vikao vya bunge maalum au watakuwa wanapeana zamu? Nadhani kama unavyosema kuna wakati inatakiwa tuwe makini kidogo na mambo...
  16. M

    Kuchagua mawaziri kuwa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa bunge la Katiba tunajifunza nini?

    Hamy-D, naomba usome vizuri uzi wangu. Nilisema mtu ambaye ni waziri. Kificho ni spika wa baraza la wawakilishi nafasi ambayo inamfanya asimamie mhimili mwingine wa dola na siyo waziri. Sitta na Samia ni wajumbe wa baraza la Mawaziri kwa hiyo wako chini ya muhimili mmoja wa dola na wanakwenda...
  17. M

    Kuchagua mawaziri kuwa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa bunge la Katiba tunajifunza nini?

    Kama wachambuzi na media wangepasha sauti zao kwa nguvu kupinga mawaziri na watu wa vyama kuongoza hilo bunge, kuna uwezekana mkubwa CCM wasingekaa kama caucus ili wateue mtu mmoja
  18. M

    Kuchagua mawaziri kuwa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa bunge la Katiba tunajifunza nini?

    Nimeupenda huu uchambuzi kwa kweli. Hapo sasa Wildcard unaweza kujiuliza kuhusu viongozi wa vyama vya upinzani na vyama vya kijamii
Back
Top Bottom