Search results

  1. Ndibalema

    Utafikiri wanaangalia kitu muhimu sana

  2. Ndibalema

    Hawa jamaa bana!

  3. Ndibalema

    Mwisho wa siku hakudaiwa chochote.....

  4. Ndibalema

    Wazee wa mishe mishe

  5. Ndibalema

    Alafu mafuta yameisha

  6. Ndibalema

    Watu bwana..!!

  7. Ndibalema

    Hongera Mtela Mwampamba kwa kudumisha mila

    Imekuwa ni kawaida Watanzania wengi kusahau asili yetu na kuendekeza asili za kigeni. Mpambanaji na mwana CCM, Mtela Mwampamba upo tofauti katika hilo. Pichani ni Mtela Mwampamba na mtoto wake. Ukiangalia mkononi mwa mtoto mzuri wa Mtela amevalishwa kiitambaa cheusi ambacho kwa lugha nyepesi...
  8. Ndibalema

    Tukiongea mnasema tunawaonea

    Askari polisi wakiwa lindoni bank.
  9. Ndibalema

    Usishangae lakini hii picha imenisikitisha sana

    Wakati Serikali yetu ipo bize kufilisi mashirika ya uma kwa ufisadi na kulinda mafisadi, majirani zuut Kenya wao wanaendelea kutuacha kwa kasi. Aliyeturoga sisi alishakufa.
  10. Ndibalema

    Jinsi alivyojinusuru kutoka kwenye mikono ya wauaji

    Mdau amechomoka kwa gia namba nne.
  11. Ndibalema

    Kilichomtokea Daudi Mwangosi ndicho kilichotaka kumtokea Profesa Lipumba

    Katika ubebaji wa silaha za moto zipo kanuni zake za kiusalama ambazo mtumiaji kabla hajapewa ashike silaha yeyote ya moto hufundishwa na ni sharti azijue na kuzifuata kanuni zote. Ntaziorodhesha hapa chini kwa lugha ya kiingereza na kutafsiri kwa kiswahili kwa tafsiri isiyo rasmi. Kanuni hizo...
  12. Ndibalema

    Polisi apewa kichapo na wananchi

  13. Ndibalema

    Huyu abiria ni mzima kweli?

  14. Ndibalema

    Mdau haamini kilichotokea, amekata tamaa.

    Mzalendo huyu aliamua kusimamisha shughuli zake ili ashuhudie historia nyingine ikiandikwa na wabunge wake. Loo! hakuamini macho wala masikio yake hasa walipozungumza wale wabunge wa viti maalumu kutoka chama pendwa. Mbaya zaidi mdau huyu aliingia gharama ya ziada ya kununua petroli na kukodi...
  15. Ndibalema

    Hatimaye mheshimiwa Kafulila ameamua kuoa...

    Kafulila pichani muda mfupi baada ya kumchumbia rasmi mchumba wake anayejulikana kwa jina la Jesca. Bado Zitto.
  16. Ndibalema

    Hii ni Sodoma na Gomora

  17. Ndibalema

    Maji ya chem chem

Back
Top Bottom