Search results

  1. Ndibalema

    CCTV cameras events playblacks special thread

    Kuna hii ilinaswa kutoka kwenye CCTV camera Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  2. Ndibalema

    Nitajuaje kama gari nayotaka kununua Ili hukuliwa kwa mkopo kwingine

    Mara nyingi kama gari imechukulia mkopo, kadi original ya gari hubaki sehemu iliyokopewa. Hivyo kabla hujanunua hakikisha unaiona kadi original na sio copy. Ukiona unazungushwa kupewa original card basi jua kuna shida mahali.
  3. Ndibalema

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    900+ Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  4. Ndibalema

    Kesi ya Ugaidi yazidi kufichua Mazito. Shahidi aulizwa kuhusu utekaji wa Ben Sanane, Magoti na shambulio la Lissu

    Mawakili wa serikali hawana hii fact uliyonayo wewe. Fanya mpango ukawasaidie kama shahidi wao maana ushahidi unaotoa hapa una mashiko sana kuliko ule wanaiutoa mashahidi wao.
  5. Ndibalema

    Picha ya siku: Tujikumbushe vituko vya awamu ya tano

    Wachapa kazi Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  6. Ndibalema

    Wanawake wenye hizi tabia wanastahili heshima sana na kuthaminiwa

    Wale baada ya show wanasema 'jifutie tu hiyo ntaifua' nasema watetewe na wakili msomi Kibatala Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  7. Ndibalema

    Suala la kutangaza nafasi za kazi ambazo atakayepewa anajulikana tayari itakwisha lini?

    Una uhakika gani kama huyo rafiki yako uliyekutana nae getini kuwa amekueleza ukweli?
  8. Ndibalema

    Watanzania tulioko Switzerland

    Naomba nijue changamoto mnazokutana nazo foreignera especialy wa kutoka Afrika Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ndibalema

    Ibada za mwezi mtukufu wa Ramadhani zazuiliwa katika msikiti wa Jerusalemu (Al-Aqsa) kutokana na mlipuko wa Covid-19

    Huo pichani ni dome of rock upo jirani na Al aksa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Ndibalema

    Sababu za kiroho kwanini Mike Tyson alipigwa na Evander mwaka 1996

    Thread hii inathibitisha kuwa waafrika hatufikiri sawa sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Ndibalema

    Uzi maalumu wa Kujuana, kupeana updates kuhusiana na wale Tuliomba nafasi za kazi TANZANIA RED CROSS SOCIETIE (TRCS)

    Kwakweli watanzania tunatakiwa tubadilike. Tuna ubinafsi uliopitiliza ndio chanzo cha ufisadi. Tunakula bila ya kukumbuka kesho na vizazi vijavyo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Ndibalema

    Uzi maalumu wa Kujuana, kupeana updates kuhusiana na wale Tuliomba nafasi za kazi TANZANIA RED CROSS SOCIETIE (TRCS)

    Sababu kubwa ni ufisadi. Donor anapokufadhili katika mradi fulani, mwisho wa siku anahitaji kuona ripoti ikiwa inaendana na matumizi ya pesa. Kwa redcross ilikuwa ni tofauti. Mara kwa mara donors wakifanya ukaguzi wanakuta upotevu wa mamilioni ya pesa. Ilifikia kipindi pesa yeyote inayopita...
  13. Ndibalema

    Uzi maalumu wa Kujuana, kupeana updates kuhusiana na wale Tuliomba nafasi za kazi TANZANIA RED CROSS SOCIETIE (TRCS)

    You are welcome. Hii ndiyo faida ya kuwa JF, unapata info muhimu ambazo huwezi kuzipata sehemu nyingine yeyote. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Ndibalema

    Uzi maalumu wa Kujuana, kupeana updates kuhusiana na wale Tuliomba nafasi za kazi TANZANIA RED CROSS SOCIETIE (TRCS)

    Ukilinganisha na redcross, REDESO wana nafuu. Kwanza wanalipa kwa wakati na hakuna uswahili kama ulivyo redcross. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Ndibalema

    Uzi maalumu wa Kujuana, kupeana updates kuhusiana na wale Tuliomba nafasi za kazi TANZANIA RED CROSS SOCIETIE (TRCS)

    REDESO ni tofauti na redcross. Ni mashirika mawili tofauti kabisa ingawa na wao wanafanya kazi katika kambi za wakimbizi. Redcross wapo kwenye sekta ya afya wakati REDESO wapo kwenye kitengo kingine Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Ndibalema

    Uzi maalumu wa Kujuana, kupeana updates kuhusiana na wale Tuliomba nafasi za kazi TANZANIA RED CROSS SOCIETIE (TRCS)

    Nafasi zimetangazwa kama formality tu. Ukweli ni kwamba kwa sasa shirika halina mfadhili hivyo haliwezi kulipa hata mishahara ya wafanyakazi wake. Kuna mambo mengi sana machafu yaliyosababisha mpaka leo wasiwe na mfadhili(hii ni topic nyingine) Kumbuka shughuli wanazofanya source ya pesa ni...
  17. Ndibalema

    Uzi maalumu wa Kujuana, kupeana updates kuhusiana na wale Tuliomba nafasi za kazi TANZANIA RED CROSS SOCIETIE (TRCS)

    Labda nikueleze taarifa muhimu zaidi. Idadi ya nafasi zilizotangazwa hazina uhalisia. Zimetangazwa nafasi nyingi sana lakini watakaoajiriwa hawafiki hata robo ya nafasi zote. Sababu ni kwamba, idadi walizotangazwa zote tayari kuna watu wanafanya kazi hizo. Inawezekana hujanielewa. Ni hivi...
Back
Top Bottom