Search results

  1. G

    DP World 2023

    MADALALI WA RASILIMALI ZETU. Bashir Yakub, WAKILI +255714047241. 1.. WAANDISHI WA HABARI WALIOTEMBELEA BANDARI DUBAI. Watanzania wapuuzeni sana hawa. Mtu ambaye amelipiwa tiketi ya ndege, amelipiwa malazi ya karibia wiki mbili Dubai, ametembezwa bandari za Dubai, amelipwa na posho juu...
  2. G

    DP World 2023

    Muandishi wa hii kazi ni Deodatus Balile. Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri wa Gazeti la Jamhuri. Aliyeiweka anajua kabisa na amekata jina lipo juu kabisa ya andiko hilo.
  3. G

    Ni zaidi ya Babu wa Loliondo

    napita tu....ila siamini kbs katika hili
  4. G

    Nafasi ya kazi za ndani (housegirl)

    yupo ninayemfahamu, vipi nakupataje ili nikukutanishe naye?.
  5. G

    Mbunge wa CHADEMA Hainess Kiwia katusaliti wananchi wake kwa Fedha

    ................. Kuna kipindi naaminishwa kuwa kuna binadamu wanatumia masaburu kufikiri, Muhimu kufahamu kuwa Mkurugenzi wa Manispaa ndiye kiongozi wa jiji la Mwanza, hivyo suala hili si la mbunge hata, na wala ofisi ya bunge haihusiani kabisa na huo upuuzi uliofanyika..Tuache kusakiziana...
  6. G

    Tetesi: kanisa la Anglican Zanzibar limechomwa moto

    Nimeweza kuwasiliana na mtu aliyeko huko amekanusha taarifa hii, amesema kanisa hilo halijaguswa ila kuna wahuni wanavunja maduka na kuiba, ila mabomu yanaendelea kupigwa... hali si swali
  7. G

    Sheikh Farid wa Uamsho 'atekwa nyara' visiwani Zanzibar

    Mpaka sasa maduka yote yamefungwa mjini,tayari maskani ya kisonge ishachomwa moto, mjini hakukaliki, barabara zimefungwa
  8. G

    Namtafuta mbunge wa Chalinze

    0787 104886 hiyo ndiyo namba yake ya simu, alikuwa na ofisi yake binafsi kinondoni manyanya mwanamboka pembeni ya kituo cha mafuta cha mwanamboka, kahama sasa hajulikani alipo ila amejenga boko anaishi huko na familia yake,,,,. Chagua magamba, chagua Maumivu
Back
Top Bottom