Search results

  1. Noel france

    Sheria ya kutokudai fidia pale Unapopata kesi ya kusingiziwa, haipo poa. Itakulinda leo wewe mtawala ila kesho itakugeukia wewe ama wakaribu yako

    Kwa mara nyingine mungu wetu ametupa nafasi hadimu na hadhimu katika hii Dunia, hatuna budi kumshukuru. Nikienda moja Kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi. Kiukweli nimetafakari vya kutosha kuhusiana na hoja ya kuto kudai fidia pale inapptokea umeshtakiwa kimakosa,haijalishi itakuwa umeonewa...
  2. Noel france

    Siku hizi hakuna raha, hakujulikani kama kumekucha wala mvuto wa viongozi....! Mambo yapo shagalabagala...!

    Wanajukwaa habari za siku...! Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha. Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu Kwa mfano viongozi wa mitaa ( wenye viti wa serikali za mita ) , wabunge asilimia kubwa ya...
  3. Noel france

    Hakuna nyongeza ya mishahara, hakuna ajira mpya, tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je, kunakipi kinaendelea Tanzania?

    Wanajukwaa nawasalimia Kwa jina la Jamhuri. Wanandugu kunajambo naomba niwashirikishe tujadiliane. Kama hakuna nyongeza ya mishahara,hakuna ajira mpya, tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je, kuna kipi kinaendelea Tanganyika? Au Kuna mchezo tunachezewa sisi watanganyika Kwa manufaa ya...
  4. Noel france

    Nipo mbioni kuishtaki Jamhuri dhidi ya Jeshi (Tanpol), watu wasijulikana na kauli tata za viongozi wetu

    Wanajukwa habari zenu! Naomba niende moja Kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Kwa mujibu wa mambo yanavyo kwenda,hususani kwenye kesi ya msingi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa upinzani. Kunavitu vimebainika na baadhi ya watu wameanza kusema na kuhoji mambo mengi sana. Kuhusiana na heshma...
  5. Noel france

    Uchaguzi 2020 Tumekwisha kuona rangi zake. Je, anastahili miaka mitano mingine tena?

    Binafsi kwangu inamtosha, tuwape wengine tuone. Sisi sote ni wamoja tuwape CHADEMA nao tuone. Kuna watu wachache wanasema uongozi haujaribiwi! Miaka yote uwa tunawateuwa viongozi wetu kwa kuwa jaribu katika nafasi zao wanazotuomba tuwape kura. Ndani ya vipindi vyao vya uongozi ndipo...
  6. Noel france

    Uchaguzi 2020 Kama leo haya yametokea kwa NEC, vipi kuhusu kesho Matokeo ya Uchaguzi?

    Kiukweli Tume ya Uchaguzi imekosa uhalali wa kuendesha uchaguzi huu. Habari zenu wanajukwaa wenzangu. Nasema hivi "NEC imepelea kwenye kujibu hoja za Tundu Lissu kizembe". Imekosa uhalali wa kuendelea kusimamia uchaguzi, kwasababu Inajipinga yenyewe na Sheria zake zilizopo ambazo zinaongoza...
  7. Noel france

    Uchaguzi 2020 Kupitia kauli hizi kuna uhuru kwenye uchaguzi wa mwaka huu?

    Binafsi nakosa imani kabisa,ukijimlisha na kauli zinazotoka vinywani mwa taasisi muhimu kama vile jeshi letu la polisi( IGP Siro) nk. Naomba kushare na nyinyi ka crip kadogo kisha mseme wenyewe,uchaguzi huu utakuwa huru na haki kweli.
  8. Noel france

    Watu wasiojulikana ndiyo msingi wa CCM kupoteza uchaguzi huu

    Habari wanajukwaa! Kiukweli uchaguzi wa mwaka huu ni wenye ushindani mkubwa sana, kwa pande zote. Kwa upande wa chama tawala, turufu yao kuu ni ununuaji wa ndege, ujenzi wa miundombinu mbalimbali, pia kuleta mabadiliko ya kiuongozi ndani ya taasisi za serikali. Kwa mfano: Katika baadhi ya...
  9. Noel france

    Naomba ushauri wenu wadau. Mechi za ugenini nipo vizuri, shida nyumbani

    Habari wanajukwaa! Moja kwa moja kwenye Mada. Binafsi ni family ya Mke na watoto 4, Pia tupo kwenye mahusiano kwa muda mrefu kidogo takribani miaka 12. Nasikitika hatujafunga ndoa, lakini tunaishi pamoja miaka yote hiyo. Tatizo ni dini zetu ni tofauti ( Mimi ni mkristo yeye ni muislam),lakini...
  10. Noel france

    Kwa sasa Green Guard kinafanya kazi gani?

    Moyo wangu umekuwa baridi sana. Kutokana na matukio ya kuteka watu. Ndugu nawasalimu kwa swali langu, "Kwa sasa Green Guard kinafanya kazi gani?" Swali Limekuja baada ya kuona matukio mengi ya kutisha ikiwemo, kuteka watu na pia kuwapoteza kabisa na wengine wanarudishwa wakiwa katika majerui...
  11. Noel france

    Mapendekezo yangu kuhusiana na CAG kwa mamlaka husika.

    Wanajukwaa habari za ijumaa kuu! Dhumani langu lililo nifanya nishare nanyi ni kuhusu taasisi ya CAG. Kiukweli kutokana na kazi nzuri inayoifanya katika kutimiza wajibu wake ambao kwa wingi kama watanzania,ninaimani tunafurahia kazi nzuri inayoifanya. Binafsi ninaumia sana ninapoona mambo...
  12. Noel france

    Hali ya Lema tete, ashindwa kufika mahakamani Leo 21 Desemba 2016

    Kesi iliyokuwa isikilizwe leo 21 disemba 2016 inayomkabili mbunge wa Arusha mjini Godbless Leman na mkewe Neema Lema ya kumtukana mkuu wa mkoa Mrisho Gambo imeahirishwa kutokana na hali ya lema kuwa mbaya gerezani. Taarifa za Lema kushindwa kufika mahakamani zimetolewa na wakili wa serikali...
  13. Noel france

    Kwani Magufuli ni mgombea binafsi?

    habari za siku mingi waungwana wa jf. Ndugu zangu kuna habari nimeikuta kwenye gazeti la nipashe jana. mwandishi anahoji kwanini mgombea urais kwa tiketi ya ccm kwanini anajinadi yeye kama yeye badala ya kukipaisha na kukipa promo ili kizidi kueneza itikadi za chama?
  14. Noel france

    Bikini kwanini zinapendwa sana?

    Wasalamu ndugu zangu, Wanajamiiforum wenzangu naomba mnisaidie katika hili la uvaaji wa chupi za bikini. Ukweli niliwai kusikia hapo nyuma kupitia maneno ya watu; walipata kusema,"wanawake wanapenda kuvaa bikini kwa sababu kuu moja. eti kale kaupana kanachopita na kuingia kwenye anus yake...
  15. Noel france

    Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

    Wasalamu wanandugu, Habari nilizozisikia hivi punde ni kwamba Prof. Ibrahim Lipumba ameondoka nchini na ndege ya Rwanda jana baada ya kumaliza kuongea na waandishi wa habari. ========================================== Chanzo: Mtanzania
  16. Noel france

    Kura yangu nakupa Dr. Slaa,lakini nahitaji yafuatayo...

    Kiukweli nimetokea kukuamini ndiyo maana nakuchagua ili ukanitimizie yafuatayo:- a) Nahitaji kuwaona viongozi wote wanaotuhumiwa ni mafisadi wachukuliwe hatua tena ikibainika wameifisadi nchi wanyang'anywe uraia wa tz kama si kunyongwa b) wale wote walikufa kwa mashaka,taarifa zao zenye...
  17. Noel france

    Kama ungalikua mwepesi wa kuchukua hatua yasingalitokea aya

    Laiti kama ungali lijua hili nahisi kwamba ingekua sifa kwako na ungeweza kujifunia mbele za wabaya wako. Lakini umechelewa na uchi umeachwa!!!!!!!!!!!!!! Pole kwa Taifa, Ukweli ni kwamba utalo liamua sasa itakua kama vile umesimamiwa na wala si utashi wako kama kiongozi mkubwa kabisa...
  18. Noel france

    Amakweli CHADEMA inabeba watu. Huu ndio ukweli.

    Kiukweli wanajamvi nimetamani kushare nanyi jambo ili,ambalo nimelifanyia utafiti mdogo nanikafanikiwa kubaini kitu. Mimi nimesema na nafsi yangu na wewe sema na nafsi yako kwanza kisha changia. Ndugu zangu kiukweli nimewafatilia kwa ukaribu karibu wote waliojitoa na kufukuzwa uwanachama...
  19. Noel france

    CHADEMA inachaguliwa na wanaCCM (2010-2014). Je,2015 CCM Itasalimika kweli?

    Kiukweli mwenyekiti na katibu mkuu wa CCM uwenda ikawa wanadanganywa kuhusiana na matokeo na maendeleo ya chama chao cha CCM. Naomba niwape pole ndugu JK,Kinana,Nape,Mwigulu na Lumumba team. Kiukweli ukiangalia kwa undani kuhusu swala la wapiga kura wa tanzania kwanzia 2010 hadi sasa 2014...
  20. Noel france

    Operesheni Tokomeza: Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge anapaswa kuwajibika

    Boxing day njema wadau wa jf. Naomba niende moja kwa moja katika kutoa hoja yangu ya kumtaka mh. Edward lowasa kujiuzuru nafasi yake ya uwenyekiti wa kamati ya ulinzi. Hii inatokana na aya yaliyotokea kwenye operation tokomeza ujangili. Kama waziri wa mambo ya ndani na waziri wa ulinzi na...
Back
Top Bottom