Search results

  1. Noel france

    Inatosha, kuna haja ya kuchukua hatua dhidi ya "Wasiojulikana"

    Haya matukio yatoshe sasa
  2. Noel france

    Inatosha, kuna haja ya kuchukua hatua dhidi ya "Wasiojulikana"

    Kuna mtu anahoji kuhusu kuhusika kwa Mh rais wetu. Anashindwa kuelewa mamlaka ya Rais
  3. Noel france

    Inatosha, kuna haja ya kuchukua hatua dhidi ya "Wasiojulikana"

    Baadhi ya maoni ya wadau mbalimbali kule jamhuri ya X
  4. Noel france

    Inatosha, kuna haja ya kuchukua hatua dhidi ya "Wasiojulikana"

    Tumia silaha ya mwizi ama majambazi kisha tupeane support ili kuwamaliza pasipo ushahidi.
  5. Noel france

    Inatosha, kuna haja ya kuchukua hatua dhidi ya "Wasiojulikana"

    Kiukweli tunahitaji kupaza sauti zetu zaidi na ikibidi hatua tuchukue sisi wenyewe wananchi. Pasipo kutegemea wanasiasa ambao ni wanufaika wa haya matukio dhidi ya raia wengine wenye mtazamo tofauti na wao.
  6. Noel france

    Inatosha, kuna haja ya kuchukua hatua dhidi ya "Wasiojulikana"

    Kiukweli inaumiza sana labda uombe mungu aendelee kuwepo upande wenu, Ili jinamizi la wasiojulikana lisikukute.
  7. Noel france

    Inatosha, kuna haja ya kuchukua hatua dhidi ya "Wasiojulikana"

    Ukisikiliza hii ndiyo utaelewa, hatupaswi kufumba macho na Wala kuziba masikio tena. Asilimia kubwa ya watanzani hatuna amani na Wala hatupo huru.
  8. Noel france

    Inatosha, kuna haja ya kuchukua hatua dhidi ya "Wasiojulikana"

    Na wewe ni mmoja wao.... wasio julikana?
  9. Noel france

    Inatosha, kuna haja ya kuchukua hatua dhidi ya "Wasiojulikana"

    Ndugu zangu, kuna haja ya kuchukua hatua dhidi ya watu wasio julikana ama wale wanaokuja kwa njia ya askari polisi. Wanakuchukua kisha wanakuua alafu hakuna jitihada zozote kutoka kwa vyombo vyetu vya usalama. Hii inatosha ama mnataka nani atekwe kisha ndiyo tuje kuona kazi nzuri ya serikali...
  10. Noel france

    Huenda sababu ya Rais Samia kukaa kimya ni hii hapa!

    Kiukweli mwarabu anaheshima kubwa kwa kiongozi mkubwa mwenye hadhi kama ya Rais wetu
  11. Noel france

    Ndugu zangu Waislam mtaniwia radhi kidogo

    Mkuu achana nae.
  12. Noel france

    Ndugu zangu Waislam mtaniwia radhi kidogo

    Na huu pia ni walaka kama wa TEC ikibidi ndugu zetu waelewe,linapokuja swala la mambo muhimu yenye maslahi kwa taifa inabidi tuwe kitu kimoja. Pasipo kutumia mwanya huohuo kuingizia mambo ya Udini ili kututoa katika lengo la msingi.
  13. Noel france

    Ndugu zangu Waislam mtaniwia radhi kidogo

    Bahasha amekwisha pewa
  14. Noel france

    Ndugu zangu Waislam mtaniwia radhi kidogo

    Ukweli lazima useme mkuu
  15. Noel france

    Ndugu zangu Waislam mtaniwia radhi kidogo

    Ndugu zangu waislam mtaniuwia radhi kidogo kuna wanaotumia dini yenu kujifichia maovu kuweni makini na Mamluki waislamu maslahi. Anaandika Muumini wa Islamic. Hili suala la Bandari naona baadhi yenu mmelibeba katika namna fulani ya UDINI, kila nikimuangalia kiongozi wangu wa KIISLAM akisimama...
  16. Noel france

    Natafuta mdhamini kwa mkataba maalum

    Hongera sana mkuu! Nimeguswa na mipango yako iliyotukuka pia nahitaji kuungana na wewe katila swala la shule na swala la kufunga mashine ya kukamua mafuta. Nitakutafuta ili tujue tunafanyeje
  17. Noel france

    Pongezi na Shukrani za dhati kwa Wana Jamiiforums Hawa kwa kazi iliyotukuka

    Mh. Nape huwenda akalifanyia kazi hili ngoja tuone mwisho wake akiwa kama waziri mwenye dhamana wa habari.
Back
Top Bottom