Search results

  1. M

    Kivuko cha Bagamoyo - Dar Chashushwa leo

    Ha ha haaa uuuwi mwenyekiti wa chama cha matezidume
  2. M

    Maajabu yatokea alipokuwa akizikwa Nabii Eliya Munuo wa Mbezi Beach

    msalaba uliogeuzwa ni namna mtume Petro alivyosulubishwa wakati wa kifo chake wala si fikra zako! Mimi si mkatoliki, ila wakatoliki wamehifadhi uhalisia wa ukristo Wasioelewa kama wewe wanakurupuka tu. BWANA YESU AKUBARIKI EWE NDUGU
  3. M

    Hatimaye Gwakisa Mwakasendo ajisalimisha CCM

    hata maskini wange....!
  4. M

    Yaliyojiri: Mkutano wa Maalim Seif katika Viwanja vya Gombani, Chake Pemba- Oktoba 19, 2014

    uzi umeanzisha wewe, weka updates kwenye uzi mama
  5. M

    Vita ya Tanzania na Uganda: marafiki na maadui walikuwa akina nani na kwanini?

    Pia kumbuka, `common sense is not common'
  6. M

    Kwanini Wazungu hawafungui maduka Kariakoo?

    Huo ni muziki na siyo kelele
  7. M

    Ushauri kwa ACT na pongezi kwa CHADEMA

    hili linamgusa hadi moyoni na hawezi kulijibu. MNAFIKI KWELI HUYU
  8. M

    Makonda ajiuma puma kuhusu Baraza la Vijana Hotmix

    Huwa nawasikiliza hawa akina Nape, Shonza, Mtela M, Makonda et al na sijui wanajiamini nini Siku nchi ikichafuka sijui wataponea wapi, naona wako busy sana kutengeneza maadui na kuchukiza watu
  9. M

    Samwel Sitta: Sina muda wa kulumbana na UKAWA

    SALOME SICHWALE acha kuongelea ndoa za watu, unaweza nitajia mke au mtoto wa Kinana?
  10. M

    Wazanzibari kuitolea kauli rasimu leo

    Mkutano mkubwa nashangaa wazanzibar hamtupi updates
  11. M

    Japokuwa nimeishia darasa la saba lakini kaka yangu ameishia kuwa omba omba kwangu

    kwa ujenzi mzuri wa hoja naamini Shy land si darasa la saba over
  12. M

    Mwigulu: Sh1.6 trilioni mishahara hewa

    yale yale ya Kinana kulaumu serikali na mawaziri
  13. M

    Wazanzibari kuitolea kauli rasimu leo

    wizi wa machoni peupee
  14. M

    Lowassa ashauriwa asigombee urais

    Chabruma
  15. M

    Wazanzibari kuitolea kauli rasimu leo

    jamhuri ya zanzibar hiyo chuchu fm inashika huku Dar au mwisho Chumbe? Nawatakia kila lililo la kheri mnapopigana na shetani (ccm) kupitia kwa agent wakuu Sitta, Chenge & Hamad Rashid
Back
Top Bottom