Search results

  1. S

    Cheti cha form four

    habari, ili upate cheti cha form four uwe na points ngapi, au kuanzia credits gani?
  2. S

    Heslb tenaaaaaaa!

    inabidi sie tulioandikiwa budget exhausted ndo hatumo kabisa
  3. S

    KUTOKA HESLB: Wote tuliokosa mkopo tutafanyiwa screening tena.

    Umesema tunatakiwa kuacha majina yetu, tuyaache wapi?
  4. S

    Je unataka ku-appeal HESLB?

    Nimesoma skuli za serikali, toka chekechea mpaka form six, skul za private naziskia tu kama zipo
  5. S

    Je unataka ku-appeal HESLB?

    Umesema ili uappeal uwe na sababu muhimu kama kifo kwenye mabano ukaeka tokea kipind cha deadline mpaka kutoka matokeo, sasa sisi wengne tumefiwa toka tupo olevel tena tukiwa katika shule za serikal, na vyet vyote nlipeleka, ntakua na sababu gan nyengne ya kuwaconvince, mana kuna wenzangu same...
  6. S

    Majibu ya bodi kwa waliokosa mkopo

    Sawa mkuu, mimi nipo zanzibar nitaenda ofisini kwao
  7. S

    Majibu ya bodi kwa waliokosa mkopo

    Mimi nimepeleka na mkopo sikupata
  8. S

    Nini hatma ya waliokosa Mkopo toka HESLB 2013?

    Utaijuaje coure kama ni priority kwa vyuo ambavyo hawatumii central admission system(cas)?
  9. S

    BSc in computer science

    Unasoma ndio
  10. S

    Programming kwa wanaoanza...mawazo yenu!!

    anza na python kama ni structured programming then uende na java kama ni object oriented, python ni rahisi
  11. S

    BARCHELOR OF VETENARY MEDICINE [BVM] vs HUMAN MEDICINE [MD]

    Vip kama tutakula nyama ya ng'ombe ambaye kaathirika na maradh yanayompata mpaka binadam?
  12. S

    Zanzibar college of health v/s lugalo nursing school

    zanzibar college of health soon kitakua ni college ya State University oy Zanzibar(suza), wapo ktk hatua za mwisho za kuunganisha
  13. S

    Matokeo ya SUA yapo hewani

    Animal science
  14. S

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Namaanisha kama upo uwezakano wa kupatiwa mkopo?
  15. S

    Wale wa IFM tufahamiane hapa jamani!!

    ikiwa umepata chuo kama equivalent na umeomba mkopo kwa form 6 ipo tamaa ya kupata mkopo?
  16. S

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    ikiwa umepata chuo kama equivalent na umeomba mkopo kwa form 6 ipo tamaa ya kupata mkopo?
  17. S

    SITTA: Serikali tatu ni kujitafutia ulaji.

    Wapo wawili si mmoja
  18. S

    Jinsi ya kuondoa ujumbe wa "copy of window is not genuine" kwenye microsoft windows

    ikishindikana windows 7 genuine zinauzwa madukani
  19. S

    Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

    Sikukatishi tamaa, lakini kwa vyuo vya gvt ni ngumu labda wende private. Mimi binafsi nina c kwa masomo yote ya sayans niliomba mwaka uliopita nikakosa. Kuna mwenzangu alikua na kama mimi ila alinizid kwa kuwa na B ya biology aliekwa reserve mpk keshaenda private ndo anapigiwa simu aende...
  20. S

    disc

    habari, naomba discussion ya mawazo yenu hasa watu wa fani za IT Kuna umuhimu wa kujua programming languages nyingi (mf. C++,C, phython, perl) au kuwa na language moja ambayo utakua na ufanisi nayo?(mf. Kuwa na python tu, au C++ tu)
Back
Top Bottom