Search results

  1. mwananthropolojia

    Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

    Inawezekana we umewahi kufanya kazi kwenye forex trading na hayo mambo yako ya candle sticks na hao wataalamu wenu wa IMF kuonyesha dola inashuka muda sio mrefu ,hio ni michezo tu tunaita speculations kwenye magulugulu yetu.kwa taarifa yako hata sisi tunatoa taarifa kwa wacheza kamari tukiona...
  2. mwananthropolojia

    Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

    Nimemuelewa sana bw Francis da don na yupo sahihi kusema hii ni kamari na kamari kuruhusiwa kisheria haimaanishi ni halali ni uwizi tu. Nishafanya kazi na kampuni moja ya kichina wanachezesha bahati nasibu ya slot machine kuna watu wanakula na wanaoliwa ila anayechezesha siku zote...
  3. mwananthropolojia

    Hivi ni hujuma kwa Rais Magufuli ama?

    Stieglers Gorge project una athari kubwa sana katika sekta ya utalii,niamini kwani mtambo na kiwanda kitajengwa ndani ya mbuga ,pili mfumo wa maji ya MTO utavurugwa ,athari zake ni kwamba selous,ruaha national park,udzungwa mpaka MIKUMI zitaathirika na hapo itakua mwisho wa utalii maeneo nayo na...
  4. mwananthropolojia

    Hivi kwanini Africa isiungane tuwe moja? Mbona litakuwa jambo zuri mno!

    Yap naomba nimquote Chinua Achebe kwenye things fall apart [Okonkwo to Obierika]: “How do you think we can fight when our own brothers have turned against us? The white man is very clever. He came quietly and peaceably with his religion. We were amused at his foolishness and allowed him to...
  5. mwananthropolojia

    Hivi kwanini Africa isiungane tuwe moja? Mbona litakuwa jambo zuri mno!

    Ni kweli wazee wetu walishindwa kuungana Kwa sababu ya ukabila wa wazee wetu kama Watusi na wahutu,ukaburu ambao ulikua unazuia ukombozi wa nchi za kiafrika Kwa kuingia kwenye vita vya Msumbiji,Angola. uarabu nao ni shida tunaona nchi za Afrika kaskazini wakijiunga na Arab league au...
  6. mwananthropolojia

    Hivi kwanini Africa isiungane tuwe moja? Mbona litakuwa jambo zuri mno!

    If you wait for perfection you won't do anything If you want to swim jump in the water drink a few cups in the process you will learn to swim and it will be a lifetime lesson.
  7. mwananthropolojia

    Hivi kwanini Africa isiungane tuwe moja? Mbona litakuwa jambo zuri mno!

    Somo la kiswahili lianzishwe mashuleni Africa nzima na kama wenzetu hawataki kuweka kama somo kwenye syllabus zao basi tutengeneze shule kadhaa kila nchi ya Afrika za kisasa international ila somo LA kiswahili ni lazima kusoma ukijiunga tu na hiyo shule.
  8. mwananthropolojia

    Hivi kwanini Africa isiungane tuwe moja? Mbona litakuwa jambo zuri mno!

    Am in , hii kitu mwenyewe nishafikiria sana na nilikuwa nasubiri wadau wenye mawazo kama yangu.nilikuwa nishaandaa script kutengeneza movie kuhusu the union of Africa.naomba uniweke kwenye kundi.
  9. mwananthropolojia

    Families That Secretly Control The World

    Asante kwa maelezo yako na kukubali kuwa kuna dhana(theories) mbalimbali dunian na kuna watu,jamii au vikundi vinavyojaribu kuwafanya wengine wafuate dhana zao.hiyo tu ni njia mojawapo ya kukutawala. kutawaliwa sio lazima mtu atumie mabavu kama kipindi cha colonialism,kuna mbinu mpya inaitwa...
  10. mwananthropolojia

    Families That Secretly Control The World

    So i have dreams and you too have dreams,hivi zimetoka wapi?hivi unaamini kuna mwanzo katika kila kitu au ni coincidence tu.Then whats life and why pursue your dreams? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mwananthropolojia

    Families That Secretly Control The World

    Do you know the secrets of the world?Unaweza kunieleza kwanini kuna baadhi ya teknolojia wanazizuia? Magari yanayotumia maji na solar yamegunduliwa miaka mingi iliyopita, unaweza kuniambia kwanini mpaka leo tunatumia magari ya mafuta ambayo visima vyake vinamilikiwa na makampuni makubwa tu...
  12. mwananthropolojia

  13. mwananthropolojia

    Huu ni mtego wa kisiasa kwa Maalim Seif

    Hakika katibu mkuu wa CUF Maalim sefu yupo mtegoni katika huu mgogoro baina yake na mwenyekiti wake Profesa Lipumba Katika huu mtego inabidi achague moja lasivyo itakuwa anguko lake la kisiasa. Mtego wa1 Akubali kufanya kazi na Lipumba kwa kuvunja kikundi chake na kurudi buguruni.kinachomsumbua...
  14. mwananthropolojia

    UMAR Ibn Al-Khattab na Paul (SAUL wa Tarso): Mashujaa wa imani mbili Kinzani...

    Nani alimwaandaa Paulo? Nipe unabii unaothibitisha mataifa tutaletewa paulo
  15. mwananthropolojia

    Magufuli, wewe ni Rais wa Tanzania sio Kanda ya Ziwa tu

    We sio rastafari una maandishi machafu , siwez kubishana na wewe
  16. mwananthropolojia

    Magufuli, wewe ni Rais wa Tanzania sio Kanda ya Ziwa tu

    Mbona mbeya nayo ni jiji kubwa tu na lina shughuli nyingi tu, kwanini asije ?inaonekana hujawahi kutembea.hii ndio inaitwa ukabila
  17. mwananthropolojia

    UMAR Ibn Al-Khattab na Paul (SAUL wa Tarso): Mashujaa wa imani mbili Kinzani...

    Na baada ya muhamad kusinzia bi khadija alitoka na kwenda kwa waraqa bin naufal padre wa kinasara na akamjuvya na Yule padre akamwambia utume huo kashapata mumeo bahati yako. Upesi khadija akarejea nyumbani na kumkuta muhamad kashaamka akamwambia twende kwa waraqa ili umsimulie yaliyokufika...
  18. mwananthropolojia

    UMAR Ibn Al-Khattab na Paul (SAUL wa Tarso): Mashujaa wa imani mbili Kinzani...

    Nimeuliza maswali 2 hujajibu hata moja,soma maswali vizuri
Back
Top Bottom