Search results

  1. R

    Kikosi kazi:matokeo ya wizara ya afya

    Mm nawashauri kesho njoon kazini mpige kelele mkitaka kumuona waziri labda atashituka akili yake.yani mkija wala msitoke bila majibu yenu.mkizembea mwezi huu unaisha bila majibu yoyote.wakazi wa dar njooni kesho kwa wakazi wa mbali namba ya ofisi ya waziri ni+255222120261/mwisho...
  2. R

    Kikosi kazi:matokeo ya wizara ya afya

    Wadogo zangu tatizo kubwa ni waziri ameshakabiziwa sasa nijukumu lake kutangaza hili watu watoe Ila ndio hivyo viongozi wetu.mm natamani hata sasa yatoke Ila ndio hivyo mpaka waziri aseme.kiukweli hakuna wazir mzembe kama mwinyi.
  3. R

    Makundi ndani ya vyama vya siasa ndio mtaji mkubwa wa CCM

    huwez kusonga mbele na chadema.labda ujielew kama umesoma elimu yako unaitumia vibaya.viongozi wa chadema ni wehu wote.atautakaye comment ni mwehu.
  4. R

    Kama ulituma maombi wizara ya afya. Na km uko Dsm pia inakuhusu!

    haina haja ya kubishana naye jina tu linadhadifu mtu alivyo ni ndebile kweli hata akil yake inaonyesha.
  5. R

    Zitto: Watanidharau, watanicheka, watapambana lakini nitashinda!

    ww kama bado unashabikia chadema umekwisha.ccm ndio jiwe la msingi.vitakufa vyama vyote ccm itabaki,.
  6. R

    Makundi ndani ya vyama vya siasa ndio mtaji mkubwa wa CCM

    kwa sasa Tanzania haijapata chama kizuri kama ccm ukweli utabaki palepale.ww sasa mtu anayetuka na watu awe rais ww ni nani asikutukane.tukizungumzia mafisadi ruhasa hamshindi zzito kabwe kwa ufisadi.mm ni chadema Ila 2015 nawapa ccm ni bora kuliko kutengeneza vita ya chadema.
  7. R

    Kama ulituma maombi wizara ya afya. Na km uko Dsm pia inakuhusu!

    hujui kitu mpendwa kuna watu wamepa 3 kwenye Chet cha form six na wamekosa nafas ya MD wameomba co.kila kitu na malengo mpendwa hacha kusema ujinga kwenye mtandao mkubwa kama huu jifunze kuheshim watu ili na ww hueshimiwe.
  8. R

    Kama ulituma maombi wizara ya afya. Na km uko Dsm pia inakuhusu!

    yapo tayari. na jmatatu lazma yaonekane.kuanzia saa 4.
  9. R

    Kama ulituma maombi wizara ya afya. Na km uko Dsm pia inakuhusu!

    ume confirmed wapi? maana mmedanganywa sana mm nipo office ya human resource manager wizara ya afya.umepata kwa nani?
  10. R

    Wa wizara ya afya

    tumefunga office mpaka jtatu utayapata kwenye net au daily news, mwananchi.hukutaka kuamini toka mwanzo.
  11. R

    Wa wizara ya afya

    usijali mpendwa jmatatu yatakua net utayaangalia bila Shaka.
  12. R

    Wa wizara ya afya

    mbona unajichangaya.sasa toka lini mambo ya afya yakawe maliasili.unaelewa kinacho zungumziwa lakni.?
  13. R

    Wa wizara ya afya

    upo wizara ya ulinzi?au ipi ambapo hakuna kitu.sema jina nikuangalizie.
  14. R

    Wa wizara ya afya

    upo wizara ya wapi ya ulinzi.kwani wamekwambia nini?
  15. R

    Wa wizara ya afya

    Kaka huamini au hutaki kuamini,sikushangai matomaso ni wengi duniani.njoo wizarani uangalie au piga namba ya wizara alafu usikie wanajibu nini.
  16. R

    Wa wizara ya afya

    watoa tu.mpaka jtatu yatakua tayari Ila kama una haraka njoo wizarani tumeyabandika tayari.
  17. R

    Wa wizara ya afya

    ww unaonekana huelewi somo.kisichoeleweka nikipi?kama huna cha kusema kazome kama chadema.
Back
Top Bottom