Search results

  1. Super H

    Bei ya mafuta imefika 105 USD kwa pipa. Tanzania tutafute mafuta yetu, kuna siku tutalia na kusaga meno

    Tutafute mafuta yetu ,wakati hapa tuna gas Bei ya umeme ipo juu Sasa hata tukiyapata mafuta hatutapata unafuu wowote
  2. Super H

    Wafuga kuku tukitane hapa

    Nilifanikiwa kuwauza ,labda unipe ushauri wa Nini Cha kufanya next time
  3. Super H

    Wafuga kuku tukitane hapa

    Manyoya kusimama na kuacha kula
  4. Super H

    Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

    Hapa kiluvya gogoni kiwanja kinauzwa sqm 750 Bei ml 14 Bei inaweza kupungua
  5. Super H

    Kutapeliwa kiwanja

    Kwani sheria za aridhi zinasemaje ?
  6. Super H

    Naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia Zanzibar

    Kalele kwa Raju pale fire hq Bei rahisi tu
  7. Super H

    Simulizi: Mauaji ya Mfanyabiashara Musa Hamis Mtwara, Machozi na Damu

    Kutibu hili tatizo jeshi la police liache kuwa sehemu ya chama tawala alafu lifumuliwe na kuundwa upya
  8. Super H

    Wafuga kuku tukitane hapa

    Kuku wangu wamekufa wengi Sana wanajisaidia choo Kama chokaa hivi , tatizo nini na tiba Nini ?
  9. Super H

    TANROADS njooni muone aibu

    Hapa kwetu katiba tu imetushinda kubadilisha tumewaachia inzi was kijani ndio wanaamua kila kitu
  10. Super H

    Mbezi mwisho ingejengwa hivi, Tanroad wangepungukiwa na nini?

    Nimeona wemezungushia mabati huenda Kuna Jambo linakuja
  11. Super H

    Fuga Ubungo wamenitapeli pesa ya vifaranga

    Nimepanga kwenda kwa msisi Tanga nipeni connection
  12. Super H

    Fuga Ubungo wamenitapeli pesa ya vifaranga

    Mkuu nishapambana Sana na katika kupambana huko alirudisha pesa kiasi , Bado nadai nyingi Kama 1.8m rist ninazo zote maana nililipia bank .
  13. Super H

    Fuga Ubungo wamenitapeli pesa ya vifaranga

    Wakuu salaam Sana,Kuna jamaa Wana ofisi nzuri tu pale ubungo daraja opp na njia ya kwenda chuo kikuu Cha dsm na mmoja wao anaitwa Joshua . Niliwalipa pesa vifaranga hawakunipa toka mwezi wa tisa mwaka jana hadi leo na Sasa ofisi wamefunga simu hawapokei. Nimechanyikiwa Sana maana ndio mtaji...
  14. Super H

    Picha: Majogoo Bei 15,000 . kiluvya dsm

    Namshangaa Sana ,mleta mada hajakosea chochote ,amekidhi vigezo vyote vya tangazo lake jamaa from no we're fokofokoooo tukisema unaingiliwa tutakuwa tumekosea Nini ?shwetani wahed kabisa
  15. Super H

    Picha: Majogoo Bei 15,000 . kiluvya dsm

    Mbona unawashwa hivyo na post ya mwenzako ,huna unachouza ,huna unachoweza kununua unawashwa washwa tuuu kubwa jinga kabisa
  16. Super H

    Siku ya nne bila maji Kibamba, Dar (Juni 9, 2019)

    Yameanza kutoka njoo uoge huku Kama bado hayafika
  17. Super H

    Wachora ramani za nyumba mna shida gani?

    Mkuu nina mpango wa kujenga Banda la ngombe kwa matofali je nahitaji kibali ??
  18. Super H

    Nauli ya Dar Zanzibar kwa boti ni sh. ngapi kwa sasa?

    Ukipande ndege ile imenyanyuka inakaa level Kama 5min inaanza kushuka znz au dar .... Zanzibar pazuri ukiwa na pesa na ujue pa kutembelea kwa mfano uende Kama nungwi au jambiani utasema usiondoke huko pazuriiiiii
  19. Super H

    HIVI VODACOM WANAKIMBIA NCHI AU? NI HATARI WANAYOFANYA

    Hata Mimi line ya voda Ni kwa ajili ya mpesa tu na anayetaka kunipigia kwa hiyo number
Back
Top Bottom