Search results

  1. fangfangjt

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    aachane na wabunge wote waliojihusisha na siasa chafu na ushabiki wa vyama......hao hatari sana.....
  2. fangfangjt

    Phone hacking scam rocks Dar

    Sio kweli, those were fake accounts, not even their numbers. People saved other number under their names and exchanged fake chats to gain political points...
  3. fangfangjt

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, CCM demokrasia imekua

    yani kuwakata majina waombea bila maelezo. alafu maraisi wa staafu wanatetea amaamuzi hayo kwa kusema "Tumuamini Raisi, yeye anataarifa zote za wagombea".. hii inanikumbusha Audit report ya Ernest & Young walipogundua madudu BoT, Waziri wa Fedha Zakia Meghji akasema zimtumika kwenye mambo ya...
  4. fangfangjt

    Sakata la Escrow: Mahakama Kuu yateua Majaji kusikiliza maombi ya IPTL kuhusu maazimio ya Bunge

    Anaekwenda mahakamani ni IPTL ipi? Kama no PAP, si uchunguzu ulisema sio mmiliki halali?
  5. fangfangjt

    Majumuisho ya vikao vya Baraza la Mawaziri na vikao vya CCM Dodoma juu ya Escrow

    A23 no ticket number au seat number? Habwa wajanja wamepata VISA fasta hivi? Au serikali za EU zinahusika pia?
  6. fangfangjt

    Waziri Magufuli apokea Kivuko kipya cha MV Dar es Salaam bandarini Dar

    Wakati wengine wanahangaika kwenye Twitter, facebook, instagram na JF kujitangaza kuwania uraisi mwenzao anapiga mzigo na wananchi wanamkubali (Twaweza survey) zaidi yao
  7. fangfangjt

    Prof Maghembe asema urais si mashindano ya urembo

    Naona waziri anautani na "handsome boy aka Boys II Men"
  8. fangfangjt

    Mwandosya: Kumkejeli Warioba ilikuwa mbinu ya kupata ushindi

    Naona maneno ya Mwandosya bado yanatimizwa...nilidhani alisema baada ya bunge maalumu la katiba, siasa chafu ziishe tuelekeze nguvu kwenye kujenga hoja
  9. fangfangjt

    CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    Madhara ya kuondoa maadili, uzalendo etc kwenye tunu za taifa ndio kumezaa tukio la leo la Makonda dhidi ya Warioba. CCM kueni waangalifu, mtaamsha hisia za wananchi, itafika mahali hata hao FFU na jeshi watashindwa kuwadhibiti, ghafla watachoma moto BUNGE na ofisi za chama,. Wakati ni...
  10. fangfangjt

    Mwandosya: Kumkejeli Warioba ilikuwa mbinu ya kupata ushindi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais asiye na Wizara Maalumu, Profesa Mark Mwandosya amesema kutumia lugha ya kejeli dhidi ya mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ilikuwa mbinu ya kupata ushindi katika majadiliano wakati wa Bunge Maalumu la Katiba. Mwandosya alitoa...
  11. fangfangjt

    Jack Mugendi Zoka ateuliwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada

    Huyu Jack Zoka sio TISS au alishirikiana na TISS kwenye maswala ya uchaguzi naDr Ulimboka etc????
  12. fangfangjt

    Basi la Hood lateketea kwa moto eneo la Wami

    ------------------------------------------------------------ bus la hood linateketea kwa moto
  13. fangfangjt

    25% ya bara na 5% ya zanzibar wanataka serikali 2, 80% Znz wanataka serikali 3

    Utafiti wa kiyasansi uliofanywa na taasisi ya twaweza umeonyesha kwenye page 8 figure 9, kwamba 25% ya watu wa bara na 5% ya wazanzibari wanataka mfumo wa serikali mbili uendelee. Zaidi ya 60% pande zote mbili za muungano wameikubali rasimu ya warioba 53% ya wazanzibari wamesema...
  14. fangfangjt

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 14 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    January Makamba anasema ulimwengu ( natumaini sio Jenerali) utatucheka kama tukiua tulichounda wenyewe....kwanini tuliua Tanganyika..?? Hakuna anayetaka kuua muungano..tunataka tuuimarishe...tena twende mbali kabisa na kufufua Tanganyika...tuue ndege wawilo kwa jiwe moja.... Alafu hiyo fax...
  15. fangfangjt

    Top-down baadala ya bottom-up approach inawafanya "walio wengi" kutojiandaa

    "Waliowengi" wakiongozwa na CCM wamejikuta wamejifunga na msimamo wa serikali 2 na kushindwa kujibu hoja na maswali ya msingi yalioibuliwa na walio "wachache".... Nidhahiri kabisa CCM na haikuwapa nafasi wajumbe wake kujadili mfumo wa serikali kwa uhuru na uwazi ili wawe na msimamo mmoja...
  16. fangfangjt

    wabunge kutoka ZNZ kwenye Bunge la JMT wasishiriki mambo yasio husu muungano

    Kwakua Zanzibar ina bunge lake, linalojadili mambo yasio husu muungano, basi kuhakikisha hakuna "confusion" kwenye mfumo wa muungano, wabunge wote kutoka Zanzibar walio kwenye bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wasishiriki jambo lolote lisilo husu muungano..hasa kwenye bunge la bugdet na...
  17. fangfangjt

    Timu ya kufuatilia posho za wajumbe wanbunge la katiba hii hapa

    Nyie wenye upeo mdogo mnaanza kulalamikia Mbowe na chadema? Mmesoma na kuelewa hiyo post? Post inasema wabunge wa bunge la katiba wamelalamika posho ni ndogo, mwenyekiti ameamua kuunda tume kuchunguza kama hayo madai yana mshiko.. Tume imeundwa.. majina ndio hayo juu.... Members wa tume...
  18. fangfangjt

    Vita dhidi ya Ujangili: Serikali yakanusha habari za Daily Mail

    Wamejikanyaga sana. Wametumia nguvu kubwa sana kujibu gazeti la udaku... Wanasema raisi pekee ndio anamamlaka ya kutumia jeshi...sasa kwanini raisi kupitia Pinda aliwatimua mawaziri wa mambo ya ndani , ulinzi etc???? Au ndio kusema kamati ya wabunge wa ccm walipewa maagizo kulaumu mawaziri...
  19. fangfangjt

    TANESCO: Serikali inadaiwa zaidi ya 200bn

    ITV news: Tanesco inadai serikali zaidi ya TZS 200bn http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=63767 Government institutions on the Mainland and in Zanzibar owed the Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) 129bn/- of the 233bn/- debt by the end of last year. Tanesco Managing Director...
Back
Top Bottom