Search results

  1. M

    Milango ya Mninga na Mkongo

    Mkuu bado unatengeneza milango ya mninga? If yes nakupm namba unitumie design ulizonazo na bei whatsapp
  2. M

    Spanish tiles Bei nafuu

    Nimekuinbox
  3. M

    Chumba kimoja kinapangishwa, Ubungo external ( near Mabibo hostel)

    Mie natafuta chumba maeneo ya ubungo external, mabibo hostel na river side ila masharti ya ubachela na umachela sitaki kama kinapatikana unichek kiwe na tiles
  4. M

    Viwanja vya bei nafuu vinauzwa Mbezi Mpiji Magoe

    Ni km ngapi toka morogoro road ?
  5. M

    Nauza TOYO bei nafuu

    Weka picha plz tujionee
  6. M

    Restaurant / Mgahawa unapangishwa

    Taja kodi na gharama unazotaka kulipwa
  7. M

    Natafuta viwanja maeneo haya

    Ngoja wataalam waje
  8. M

    Techno P5 bei poa

    Picha plz
  9. M

    Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Kwa viwanja vya msumi ukubwa ni metre ngapi kwa ngapi . Samahani mimi nikiambiwa kwa futi huwa sielewi ni ukubwa gani. Help please
  10. M

    Natafuta Ka-mziki, nina laki 2 na nusu

    Naomba kuona whatsapp mkuu namba 0712162678
  11. M

    Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Viwanja vya mbezi vipo umbali gani toka stendi ya mbezi?
  12. M

    Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Viwanja vya mbezi viko umbali gani toka stand ya mbezi?
  13. M

    Nauza mashuka ya cotton mapyaa

    Picha tafadhali
  14. M

    Naweza kutuma maombi ya kazi mara mbili?

    Unaweza nimewahi omba tena za utumishi na zote nikaitwa ila wakaniambia nichague moja maana interview zilikuwa zinafanyika kwa wakati mmoja. Kwa hiyo jaribu fanya hivyo kuongeza chance ya kuitwa kwenye interview
Back
Top Bottom