Search results

  1. kimbweto

    Upendeleo wa wazi unaua ngumi nchini

    Nimekuwa mdau wa Vitasa LIVE baada ya Azam TV kuonyesha mchezo huo ubabaishaji umekuwa mkubwa, mabondia wanaoletwa ni wabovu na majaji wamekuwa wakipendelea mabondia wetu wanapopigwa. Ushauri, kama upendeleo utaendelea mchezo huu utakufa na hautofuatiliwa.
  2. kimbweto

    Sheria ipi ya nchi inazuia kaka kumuoa dada?

    Wanasheria na wenye elimu juu ya hili, sheria ipi inamzuia kaka kumuoa dada. Msaada
  3. kimbweto

    Tunga sentensi moja kwa kuanzia neno January

    Tunga sentensi moja kwa kuanzia neno mwezi January .Usiwe na hasira lakini
  4. kimbweto

    Naomba "sample" ya kujitambulisha vizuri na kuelezea elimu yangu kwa Kiingereza

    Wana JF naomba sample jinsi ya kujitambulisha kiingereza na kuelezea elimu yako,natanguliza shukrani
  5. kimbweto

    Ni jinsi gani naweza kujikinga na radi?

    Mara nyingi inapotokea radi nashindwa kujua kipi kifanyike,zamani nilikuwa napaka mkaa kichwani sasa sijui kama ilikuwa sahihi,siku nyingine nilikuwa najificha nyuma ya kondoo,nikiaminishwa kondoo anampiga radi,wengine walikuwa wanasema watoto mapacha wanazuia radi sasa naomba ushauri wa...
  6. kimbweto

    Dullah Mbabe atampiga leo Kiduku

    Dullah Mbabe atashinda crown leo,Gari halitoenda Morogoro,wale tunawapelekea treni ya mwendokasi.Poleni sana ndugu zangu wa Morogoro,taratibu naomba msivunje TV
  7. kimbweto

    Barua ya wazi kwa wazee wa Simba

    Enyi wazee wa Simba Sc,sisi vijana wanazi wa Simba tunayo huzuni kubwa sana Kwani mmekuwa kimya huku mnamuacha mzee Mpili anajimwambafy na kutupiga biti sisi washabiki na wachezaji,haiwezekani Mzee Mpili afanye anayoyafanya hali ya kuwa nyinyi mpo mmeinamisha kichwa chini mkituacha tukiwa na...
  8. kimbweto

    Wanaume wanene tunanyanyasika sana

    Wanaume wanene tunanyanyasika sana,ukiwa unakula kitu kizuri anapita mwembamba utasikia,"Unaharibu mwili wewe".Nikipata dada mzuri hata kabla ya kufurahi naye utasikia hee"We mnene kweli punguza tumbo,bila hata ya kujali tumbo linabonyea. Mara nyingi tukiwa kwenye makundi tunashindwa kula kwa...
  9. kimbweto

    Viongozi wa Yanga muwasajili wachezaji hawa sa Simba

    Viongozi wangu wa Yanga nawaomba muwasajili wachezaji wa Simba hawa ambao wanauwezo na wamekosa nafasi za kucheza 1.Miraji Athuman 2.Hassan Dilunga 3.Jonas Mkude 4.Ibrahim Ajib 5.Kahata 6.Said Ndemla 7.Gradiel Michael Wachezaji hawa wataleta mchango mkubwa ili na sisi tuwe Yanga ya viwanda
  10. kimbweto

    Sisi mashabiki wa Yanga tunaitaka mechi na Smba ichezwe

    Ndugu viongozi,kwa heshima na taadhima tunaomba timu ije uwanjani tucheze na watani.Hizi figisu za kusema mechi imeisha tarehe 08 hazipo sawa,siyo kiushabiki,mpira burudani kutochezwa mechi ni kunyimana burudani.Tusiwakimbie tucheze
  11. kimbweto

    Wadada acheni kuagiza vinywaji au vyakula vya gharama mkipewa ofa

    Imenitokea jana nimekutana na dada ambaye tumesoma naye nikaenda naye kwenye bar ya karibu,matokeo yake kaanza kuagiza vinywaji hata majina ana babaika,kiungwana wanaume tulio wengi uwezo wetu ni hizo bia za buku jero,lakini huo ni ulafi,ujumbe huu muuzingatie wanawake,mkipewa offer mjue kuagiza...
  12. kimbweto

    Tuweke pazia Kilimanjaro tumalizane nao wadukuzi

    Ile sera ya yule babu mtia nia naona tuta apply soon, tutajiwekea ka pazia, wadukuzi wasione kabisa mlima, kisha tutajenga ngazi upande wetu ndege za wazungu zipite nyuma ya pazia ziutizame mlima,wakifika wazungu Arusha tuwaoneshe matanzanite wabebe watakavyo. Kisha kama kawaida yetu tumlilie...
  13. kimbweto

    Hawa wanawake wengi wasioolewa ni kwa sababu ya uoga wetu wanaume

    Ndugu zangu wanaume dunia hii imejaa wanawake wengi. Hawa ni jukumu letu sisi wanaume kuwaoa, kuwawezesha na kuwanusuru na maswahibu wa dunia. Wanaume tuache woga tuwaoe, tuwapangie nyumba na tuwahudumie. Hii wanajiuza na kudanga hovyo mitaani ni makosa yetu; tuwanusuru wanawake kwa kuwaoa...
  14. kimbweto

    Ndugu zangu tusaidie masikini

    Nawakumbusha viumbe wenzangu kusaidia masikini,mayatima na wasio jiweza.Hakika kufanya hivi ni jambo bora na malipo yake ni Akhera
  15. kimbweto

    Kumbukeni kifo siku zote usikimbie kusoma

    Enyi binadamu wenzangu tusijisahaulishe na kifo, tukumbuke kifo kila saa na kila muda, hakika wenzetu wapo katika matumbo ya ardhi miaka na miaka, tumeusiwa kwenye vitabu tujiandae na safari hiyo inayokuja bila taarifa. Tumeambiwa tutende mema, tulishe masikini, tufanye ibada, tutoe zakka...
  16. kimbweto

    Mwanaume kuwahi kufika kileleni mapema ni nguvu nyingi au nguvu chache

    Naona kuna picha zinasambaa mama mmoja anasema wanaume wanafika kileleni dakika ya pili ya mechi sasa kufika kileleni mapema ni dalili kwamba nguvu zako zipo karibu au zipo mbali maana hata sielewi maana hasa ya kuishiwa nguvu za kiume.kwasababu hata mechi ikirudiwa tena dakika ya pili ile ile...
  17. kimbweto

    LEO NI WRESTLEMANIA

    Washabiki wa mieleka leo kuna mapambano ya wrestlemania nawakumbusha tu mdau mwenzangu.DSTV Sent using Jamii Forums mobile app
  18. kimbweto

    Simba kateni rufaa kuhusu kale ka mwanga ka kijani

    Muda wote wa mchezo kuna mtu alikuwa akiwamulika haswa kipa usoni uhuni ule fifa na caf wanauona????kama wanauona iweje wafumbie macho.kwa upuuzi na fitna za timu za kiarabu ndiyo maana wakikutana na wazungu wanabamizwa.wito wangu kwenu Simba kateni rufaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. kimbweto

    Ujumbe wetu wanaume kwenu wanawake kwenye hii siku yenu

    1. Acheni kudanga hii ni kwa wanawake wadangaji tu. 2. Punguzeni mizinga mnatukera sana wanaume 3. Imalisheni ndoa zenu mahouse girl wanawafanyia sana kazi zenu 4. Katika kuutafuta usawa changieni gharama za umeme, maji,na masomo kwa watoto 5. Tunapokuwa bar,kwenye daladala msipende kila kitu...
  20. kimbweto

    Ndugu zangu wasanii mnalia hadi mnakufuru

    Nafatilia karibu msiba wa ndugu yetu.Nimebaini wasanii wanalia mpaka wanakufuru.Ndugu zangu vitabu vya dini vinatufundisha pindi tupatwapo na misiba tuseme "sisi ni wa M/Mungu na kwake ni marejeo.au "Bwana ametoa na bwana ametwaa". Sasa tusizidishe maneno yasiyokuwepo.Hakika kifo kiwe ni ishara...
Back
Top Bottom