Search results

  1. L

    Kigoma wanapenda upinzani,lakini kwanini wanageukwa?

    Wananchi wana wapa wanasiasa mamlaka yao
  2. L

    Hakuna umuhimu wakuwa na wasomi kwenye taifa letu?

    hili niswali linalo paswa kuulizwa na yatu bidi tufikilie kwa umakini je wasomi tulio nao katika taifa hili wana lisaidia taifa au wana lianga miza taifa maana toka na zaliwa mpaka leo sija wahi kuona wakija na solution za matatizo nikianza na katiba sifuri impact hamna je wadau tufanyaje??
  3. L

    Uchaguzi mkuu BAWACHA kutoka Mlimani city

    wamama wa arusha nakilimanjaro wanini ulitaka ujenge hoja mfu
  4. L

    Tunakosea kwa kuangalia udini ndani ya katiba!

    Tuna endelea mara zote tunapo fikilia dini zetu wakati mwanzo kabla ya wakoloni ismail na john waleo tulikua tukitumia majina asili tena yasiyo na utofauti wa kiimani na baada ya hawa wakoloni kuingia na kuleta dini tukaanza kuji tofautisha kwa dini wakati mwanzo kulikua hamna hilo napia wote...
  5. L

    Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

    Mzalendo niyule anae samini mawazo ya watu walio toa maoni kama wananchi wanyonge na sio wengine niukawa
  6. L

    Kinana atikisa TAZARA Mbeya,wafanyakazi wampongeza Kikwete

    Shida yetu ccm tuna Beba watu na ma,daradara kwenda kwenye mkutano nime kutana na mabasi yame bebA watu
  7. L

    mzumbe na ushirika vipi wa sha toa selection?

    so dogo ita kuaje yuko jkt na kajaza vyuo viwili tu
  8. L

    mzumbe na ushirika vipi wa sha toa selection?

    nijuzeni basi au wana toa lini? kwani dogo yuko jkt aliomba uko baf na baaf
  9. L

    Eti lini ndio hiyo official announcement ya TCU?

    no sija mkatisha tamaa nime mwambia ukweli kama sio tarehe 26,28 basi Sept mosi
  10. L

    MKurugenzi Mpwapwa kikaangoni kwa kutotii agizo la DC

    Tukio hili lina endeleza uvyunjifu wa haki kwenye taifa hili na wapi mgawanyo wa majukumu
  11. L

    Eti lini ndio hiyo official announcement ya TCU?

    Nazani tarehe za wiki ijayo kama sio ishirini na saba ishirini na sita kitu itakua aut
  12. L

    Kura za CCM ziko huku: Huku ndiko zilikopotelea...

    NA DODOMA:help: THEM
  13. L

    Dodoma yetu Mpwapwa yetu mbona haiendelei

    mpwapwa una yo iongelea wewe ni mpwapwa ipi mpwapwa isi na maji ya uhakika mpwapwa isiyo na barabara mpwapwa yenye kunyonya na wawekezaji au mpwapwa gani au mpwapwa isio na stend wala soko ????????:help: isaidieni mpwapwa hasa vijana wasomi wengi wampwapwa hasa mlioko vyuoni jamani salamu hizi...
  14. L

    CHADEMA kutikisa mji wa Mpwapwa siku ya tarehe 20 Julai 2013

    mwenye macho haa mbiwi ona ccm muda wao usha isha ndugu
  15. L

    CHADEMA kutikisa mji wa Mpwapwa siku ya tarehe 20 Julai 2013

    Viongozi wa chama tawala na chama cha wananchi masikini kesho kita washa moto kwenye wilaya ya Mpwapwa pale viongozi wa kanda na viongozi wa mkoa na makamanda wa wilaya ya Mpwapwa watakapo ongea na wananchi wa Mpwapwa. Kwa muda wote wilaya na mji wa Mpwapwa umeendelea kuwa sehemu ambayo chama...
  16. L

    Kigaila, Mpwapwa wana kuitaji wana taka msaada wako

    Niko mpwapwa wiki ya tatu sasa wana mpwapwa wame kosa mbunge wamekosa madiwani supavu wame kosa sauti na tamani kigaila uje kuwa komboa kama maiki yao msemaji wao wana sema nikufikiishie kilio chao na vijana wengi asubuhi ya leo wana taka mpwapwa siku moja iwe kama arusha kigaila kama una pita...
Back
Top Bottom