Search results

  1. Kaa la Moto

    Uchaguzi 2020 BUKOBA: Aliyekuwa mgombea Ubunge (CHADEMA) na wanachama wengine wakamatwa na kupelekwa Mahakamani

    Jana usiku walikamatwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Bukoba Mjini, aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia CHADEMA ambaye pia alikuwa meya wa Manispaa ya Bukoba, aliyekuwa mgombea udiwani kata ya Kashai na wanachama wengine wanne. Hawa wamelala mahabusu polisi na kupelekwa Mahakamani kwa makosa ambayo...
  2. Kaa la Moto

    Nahitaji Radio Transimitter

    Nahitaji radio RF transmitter kw 1000. Anayeweza kunisaidia nitapata source ipi? Na sh. Ngapi? Thanks Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Kaa la Moto

    TBS HIZI BULB ZA UMEME ZIMEPITIA UKAGUZI?

    Ni wito wangu kwa shirika la TBS kufuatilia na kuja na majibu iwapo hizi bulb za umeme zinaoonekana kutengenezwa China na zinasambazwa nchini kama zimekaguliwa ubora wake. Ziko hizi bulb zilizo na jina la BLUEBAY za 60/watts ambazo nimenunua mara tatu lakini kila moja Haitumiki zaidi ya siku...
  4. Kaa la Moto

    WINRAR PASSWORD REMOVER

    Wakuu habari za kazi. Nime download software 6.5 gb iliyo compressed katika Winrar lakini imewekewa password. Nimeelekezwa kupata password mtandao fulani lakini naona kila nikienda huko inanipeleka kujibu maswali yasiyo na msingi. Mwenye kujua ninavyoweza kuiondoa hiyo password anisaidie. Asante.
  5. Kaa la Moto

    Nimeibiwa simu, nifanyeje kuifunga?

    Wakuu nimeibiwa kasimu kangu ka kupangusa aina ya huawei. Nifanyeje ili kafungwe kasitumike tena kabisa au nikapate? Ninazo imei namba zake. Msaada please
  6. Kaa la Moto

    Mishahara na posho za wabunge zipunguzwe

    Baada ya kitafakari sana nimegundua kuwa wabunge ndio kundi pekee katika nchi hii wanaolipwa pesa nyingi kwa kazi ambazo Hazipo. Kwa mfano Mwenyekiti wa kijiji na mwenyekiti wa mtaa hawana malipo yoyote wakati wao hufanya kazi kubwa kuliko mbunge. Na wanawajibika bila tatizo. Hata madiwani...
  7. Kaa la Moto

    Kitendo anachofanya mkuu wa mkoa Kagera Bw. Mongela ni cha kihalifu

    Kitendo anachojaribu kufanya mkuu wa mkoa Kagera ni cha hatari, cha kihalifu na hakikubaliki katika dunia ya ustaarabu wa kidemokrasia. Jana alihudhuria kikao cha ndani cha wana CHAMA CHA MAPINDUZI katika ukumbi maarufu wa LINAS mjini Bukoba na kuzungumza na wana CCM wenzie huku akiwafunda...
  8. Kaa la Moto

    Awamu ya kwanza ilikuwa na mafanikio makubwa

    Kwa wale wazee kama mimi (maana vijana wa leo wanaweza kuwa wanafahamu ya miaka hii michache 30) bila shaka mmetafakari sana kuhusu mstakabari wa nchi yetu. Jambo nililogundua mimi binafsi, J.K.Nyerere alikuwa na mafanikio makubwa sana kiutawala na kimaendeleo na kichumi kuliko awamu zote tatu...
  9. Kaa la Moto

    Nahitaji printer

    Wakuu hamjamboni? Mwenzenu nina hitaji la kununua Printer. Printer ninayohitaji ni ile ambayo pamoja na shughuli nyingine za kawaida itaweza Kuprint vipeperushi vya wagombea mbali mbali wakati wa uchaguzi mwezi wa 10. Si mnajua neema ya uchaguzi iko karibu? Mwenye good idea na printer iliyo...
  10. Kaa la Moto

    Materials management Books

    Can anyone share materials management books with me. Please help me have these books as I can not find them anywhere! Thanks in advance
  11. Kaa la Moto

    Materials management Books

    Can anyone share materials management books with me. Please help me have these books as I can not find them anywhere! Thanks in advance
  12. Kaa la Moto

    Tuuze nchi hii tugawane pesa yaishe

    Wakuu mie naona hatua tuliyofikia bora tukubaliane kuuza nchi hii tugawane pesa yaishe maana hawa watawala wanaanza kutuzidi ujanja. Wameuza kila kitu na sasa wanatamani kutuuza Tanganyika kwa zanzibar na tusipokuwa makini watauza nchi yetu Tanganyika na watatuuza na sisi tukiwa ndani. Ni...
  13. Kaa la Moto

    Nani anajukumu la kulea watoto wasio na makazi?

    Jamani kuna hawa watoto wanaitwa watoto wa mitaani ( ingawa ukweli ni kuwa mitaa haizai ) nashindwa kuwapa jina litakaloeleweka. Hawa ni watoto wasiokuwa na makazi mijini na vijijini na wengine wakiwa wanajilea wenyewe wakiwa hawana guardian kabisa!. Katika nyakati hizi kuna wimbi kubwa sana la...
  14. Kaa la Moto

    Madiwani manispaa ya Bukoba mvutano bado waendelea

    Habari za uhakika zinaonyesha kwamba mpasuko na mvutano wa madiwani na baraza la madiwani manispaa ya Bukoba bado ni mbichi kabisa na halitakwisha mapema baada ya diwani mmoja wa CHAMA CHA MAPINDUZI kwenda mahakamani akimtaka mkurugenzi kueleza kwa nini hajawafukuza madiwani waliokuwa wamegomea...
  15. Kaa la Moto

    Sakata la madiwani manispaa ya Bukoba

    Habari za uhakika zinaonyesha kwamba mpasuko na mvutano wa madiwani na baraza la madiwani manispaa ya Bukoba bado ni mbichi kabisa na halitakwisha mapema baada ya diwani mmoja wa CHAMA CHA MAPINDUZI kwenda mahakamani akimtaka mkurugenzi kueleza kwa nini hajawafukuza madiwani waliokuwa wamegomea...
  16. Kaa la Moto

    Serikali yakiri matumizi mabaya ya fedha zake

    Serikali yakiri matumizi mabaya ya fedha zake Posted Decemba7 2013 Kauli hiyo ilitolewa jana na Naibu Waziri wa Fedha Janeth Mbene, alipokuwa akijibu maswali ya nyongeza kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalumu Ritha Kabati ,(CCM) na Hamad Rashid Mohamed (Wawi- CUF). Serikali imekiri kuwa...
  17. Kaa la Moto

    Utaratibu wa kuanzisha Radio

    Wakuu sana JF, Nina mpango wa kuanzisha radio lakini sijui vizuri taratibu nianzie wapi na watu wa TCRA? Naomba kujua ni nini natakiwa kuwa nacho mbali na vifaa/mitambo? Je ni form zipi natakiwa kujaza ili kupeleka TCRA? Tuendelee kupeana elimu nataka nijikwamue kupitia huko. Nitashukuru kwa...
  18. Kaa la Moto

    Majeruhi mwingine wa Arusha Afa Muhimbili

    Nimepata taarifa majeruhi mwingine wa uwanjani wa soweto amefariki pale Muhimbili. Marehemu na majeruhi wengine waliletwa jana jioni toka Arusha na kupelekwa Muhimbili. Ni kijana ambaye ni mwanafunzi amabye pia inasemekana alipigwa risasi akitoka tuition.
  19. Kaa la Moto

    Azam ya bhakresa na nembo ovyo

    Jamani kwa muda sasa nimekuwa nikishangaa kwa nini Bhakresa kaamua kuweka nembo zenye picha za msikiti na maneno ya sara za kiarabu kwenye label za vinywaji vyake? Nilikuwa naona zile Azam Malt, vile vichupa vidogo vya mango na leo nimeona kwenye soda ya azam soda nanasina! Naomba nieleweke...
  20. Kaa la Moto

    Anna Abdalah: Makanisa yamekuwa mengi

    Leo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku tunaomba viongozi wetu hawa wa weigh out kauli zao kabla ya kuzitoa. Hivi ngoja nimuulize tena mama Anna...
Back
Top Bottom