Search results

  1. SIOMIMI

    Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

    Kama kuacha kazi hawezi na kazini ndio anakofanyia hiyo michezo yake michafu bila shaka hata kuacha kulala na hao wageni hawezi acha pole sana mkuu
  2. SIOMIMI

    TANZIA: Mwana JF, Kennedy Lufulondama afariki dunia

    Poleni sana wafiwa Mungu awatie nguvu katika kipidni hiki kigumu
  3. SIOMIMI

    Kodi ya majengo bado kizungumkuti

    Kuna baadhi ya ofisi za TRA wameongea na bank walete mtu wao wa kupokea pesa za walipa kodi ya majengo ili kupunguza msongamano.
  4. SIOMIMI

    Kodi ya majengo bado kizungumkuti

    Malipo yote yanafanyika bank kinachofanyika ni mtu kwenda kuchukua bill yake na kwenda bank kulipia. hiyo bill ina contro namba ambayo inatumika kulink kati ya TRA na Commercial bank
  5. SIOMIMI

    Vipi kuhusu ajira za TRA wa walioajiriwa serikalini.

    Kama wanakuzingua apply tu then kitajulikana mbele ya safari
  6. SIOMIMI

    Kiama: Vocha za simu kukatwa kodi ya VAT kabla ya kuzitumia!

    Section 38.-(1)of VAT Act state that "A price advertised or quoted by a registered person in respect of a taxable supply shall be value added tax inclusive, and the advertisement or quote shall state that the price includes both value added tax and the amount of value added tax payable on...
  7. SIOMIMI

    Waziri wa Uchukuzi atoa ufafanuzi kuhusu ndege mpya na ujenzi wa reli ya Dar-Mwanza

    Je ukubwa wa injini za fast jet na hizo Bombardier ni sawa?
  8. SIOMIMI

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Umepima wewe
  9. SIOMIMI

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Off course kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi
  10. SIOMIMI

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    You made my day [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  11. SIOMIMI

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Vuta subira utaitwa
  12. SIOMIMI

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    preventive wameitwa
  13. SIOMIMI

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Hongera kwa kuitwa
  14. SIOMIMI

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Kutoitwa wewe sio kigezo cha kutoitwa mwingine, pia nawe ikifika zamu yako utapigiwa
  15. SIOMIMI

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Yes ni kweli mkuu
  16. SIOMIMI

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Mkuu chumba namba 27
Back
Top Bottom