Search results

  1. A

    Fikra pevu: Uanzishwe utaratibu wa kuwalinda, kuwajenga wapambanaji wa taifa.

    Wapo watu waliojaliwa karama ambazo hakika wanazitumia vema kwa kuwatumikia wengi hasa wanyonge kwenye jamii. Watu hawa wanakuwa mwanga kwa jamii na wanaeza kuwa viongozi wapenda haki [sijaeleza watawala], wapambanaji/wanaharakati au watetezi tu wa raia waote bila kujali itikadi zao, kabila au...
  2. A

    Hoja tata: Vilio, Ubabaishaji na Uongo wa Bodi ya mikopo(HESLB)

    Hello! Ukitazama wahitimu wa ngazi mbalimbali wanavyohangaika kujaza mafomu marefu marefu ili kuomba mkopo wa HESLB, unaishia kuona tu huruma. Ukweli ni kuwa vigezo na masharti magumu yalowekwa na bodi - HESLB ile ni danganya toto tu kula kande mbichi wale hawana hela ya kukidhi kuwapa mikopo...
  3. A

    Matatizo yote haya kwa Tanzania wa kubeba lawama ni huyu hapa

    Salaamu kwenu! Tanzania ilibahatika kuwa na kiongozi mmoja tu awamu ya kwanza mwalimu Nyerere, alikuwa na mapungufu yake lakini kama binadamu alikuwa na nia njema kwa kuhakikisha Tanzania inashinda vita dhidi ya umaskini. Alipigania kuwepo na maadili katika viongozi, dira ya taifa ambayo ndiyo...
  4. A

    Hivi TCRA mnafahamu kuwa mtandao wa tigo unaibia wateja?

    Hii imenitokea sasa kwa mara ya pili ilishawahi kunitokea tena nimenunua vocha ya kiasi cha Tsh. 1500/- nimeongeza salio kwenye line yangu ya tigo, ajabu nataka nijiunge na kifurushi cha Tsh. 1500/- napata ujumbe mfupi kuwa "samahani salio lako halitoshi". Napiga huduma kwa wateja naskitika...
  5. A

    Binadamu tuna mapungufu/madhaifu yetu, lakini huyu jamaa sikuona mapungufu yake

    “And I say to you, I have also decided to stick to love. For I know that love is ultimately the only answer to mankind's problems. And I'm going to talk about it everywhere I go. I know it isn't popular to talk about it in some circles today. I'm not talking about emotional bosh when I talk...
  6. A

    Weusi wazee wa A city ni nomaaaa jombaa!

    Salaamu kwenu! Hawa jamaa kundi la weusi mie nawapenda sana halafu uzuri ni kuwa nina kipaji cha kufoka foka ila nafoka kwa vina vilivyo na mpangilio na maana, falsafa na ujumbe mzito. Sasa nimeona nikikutana na hawa mafundi kutoka A citi nikafanikiwa kufanya nao ngoma moja hakika tutaupeleka...
  7. A

    Tumkumbuke Martin Luther King Jr.

    Leo U.S.A ni siku ya Martin Luther King Jr, kwa heshima yake hapa mimi namkumbuka kwa kutafakari quote yake moja maarufu nayo ni: “We must live together as brothers or perish together as fools.” Hapa alikuwa anamaanisha kuwa ni lazima tuishi pamoja kwa upendo na kama tunashindwa basi...
  8. A

    DAR ES SALAAM SIO SALAMA: Waziri Mwigulu Nchemba tunaopenda "HAKI" sasa tuko hatarini.

    Huu ni ujumbe umfikie ndugu waziri wa mambo ya ndani Mwigulu Nchemba popote alipo na ni tahadhari kwa wageni wanaosafiri kuja Dar es salaam na wengine wenye makazi yao katika jiji la Dar es salaam. Kwa wale wanaoishi jijini Dar es salaam na hata wageni wanaosafiri kuja Dar es salaam mnahitajika...
  9. A

    Fundi wa Magari(Motorvehicle)

    Salaamu sana wakuu! Napenda nijifunze ufundi wa magari nikipata resources na muongozo hivi vitanisaidia sana. Kama kuna mwenye tutorials, notes na hata aliye na garage naeza kuhudhuria hapo kila nipatapo muda nijiongezee utaalamu. Siwezi kwenda VETA au chuo lakini naeza kuja garage na kwa...
  10. A

    Huyu baba mwenye nyumba ni muuaji, hakika anatuua

    Heri sana ya mwaka mpya! Nyumbani kwetu tulipatwa na maafa makubwa ya tetemeko la ardhi, kwa uzito wa tetemeko lile nyumba yetu ilianguka na kuharibika vibaya na tulipoteza baadhi ya ndugu kwenye familia yetu hawa ndugu zetu walifariki dunia. Wakati wa tetemeko baba yetu alikuwa kazini ni...
  11. A

    Kumbukumbu: Mada moto zilizowasha moto na kuzua tafrani.

    Wadadisi na wachanganuzi wa mambo wametudokeza kuwa lile sekeseke la polisi kutaka taarifa za baadhi ya member humu ndani kumbe lilitokana na mada nne zilizoletwa humu ndani na mijadala yake kuwa mikali sana. Eti kumbe ukali wa hizi mada haukuishia tu humuhumu wapi, ulikwenda na kukita mpaka...
  12. A

    #FreeMaxenceMelo: Tukibaki kimya sote tumekwisha

    Naandika hapa kwa masikitiko makubwa sana. Kufuatia kupatikana kwa taarifa kuwa mkurugenzi mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo, ameitwa na baadaye kuwekwa ndani Central Police na leo ndugu Maxence Melo atalala ndani hadi kesho atakapofikishwa mahakamani . Wakati huohuo ndugu Maxence Melo...
  13. A

    Alichofanya aliyekuwa Diwani wa kata ya Tanga Songea kinavunja sana moyo wananchi.

    Diwani wa kata ya Tanga Songea bwana Mussa ghafla amerudisha kadi ya chama chake alichogombea udiwani na kushinda CHADEMA na kuhamia CCM mwanzoni mwa wiki iliopita. Huyu bwana Mussa alipiganiwa sana na wananchi wa kata ya Tanga mpaka kushinda na kuwabwaga CCM ikizingatiwa huko Songea CCM...
  14. A

    Linux Expert anahitajika sana

    Mtaalamu wa kutumia Linux computer Operating system anahitajika.Awe anaujuzi wa Unix family hasa Linux zaidi.Pia awe vizuri katika useful tools za Linux. Apply kupitia aldasoah@gmail.com. Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
  15. A

    All Republican Presidential Candidates Stand For War.

    It is reckless for Washington to take provocative actions against Russia and to tell Russia that the actions are directed elsewhere. Russia knows full well that the actions are directed against Russia. Here is Carla Fiorina at the debate describing the way she will lead us to Armageddon...
  16. A

    Taifa imara halitajengwa kwa uongozi unaopatikana kupitia msingi

    Chama cha siasa ambacho kimekuwa na ushawishi mkubwa kwa wananchi wa rika zote katika jamii, makundi mbalimbali zikiwemo asasi zisizo za kiserikali na hata walewasio na vyama kutokana na itikadi, falsafa na misimamo yake na kimetumia muda mrefu kujijenga hata kufika katika ngazi ya chini kwa...
  17. A

    Umafia wa serikali katika kipindi hiki cha lala salama ya 2010-2015

    Utaratibu ambao unatumiwa na serikali katika kuipitisha miswada mitatu kwa pamoja na kwa hati ya dharula ni wa kibabe na haufai.Ikumbukwe kuwa miswada hiyo ilikataliwa na wabunge wa pande zote walipokutana katika semina june 29 na kupendekeza kwamba muda uliobaki kuhitimisha bunge ni mdogo hivyo...
  18. A

    Upinzani, UKAWA mtafanya kosa kubwa ikiwa..

    Misimamo ni muhimu sana katika maisha ili kufanikiwa, sio vizuri kubadilika badilika kama kinyonga ni hatari.Msimamo wa UKAWA kupinga BMK kupitisha rasimu isiyo ya maoni ya wananchi kwa kutoshiriki uovu huo ulikuwa mzuri.Katiba pendekezwa imepatikana kwa ukikwaji mkubwa wa sheria katika kuipigia...
  19. A

    Serikali ya wanafunzi DIT yapinga matokeo ya supplementary

    Matokeo ya mitihani ya supplementary yalotolewa tar.17 jumatano iliyopita yanapingwa vikali na serikali ya wanafunzi 'Dar es salaam Institute of Technology Student Organization-DITSO. Kupitia barua iliyoandikwa tar.18 juzi inayoelekezwa bodi ya chuo haiyatambui matokeo hayo yalotolewa bila...
  20. A

    Matokeo ya 'supplementary' DIT, wengi wamefeli

    Matokeo ya mitihani kwa supplementary ya Dar es salaam istitute of technology yametoka jana tarehe 17, kwa idara zote matokeo yamekua mabaya sana maana kwa diploma wengi wanarudia mwaka "retake" na discontinued. Wale wa shahada ya uhandisi wengi wamecarry na discontinued nyingi pia. Mfano...
Back
Top Bottom