Search results

  1. mamseri

    Msaada matatizo ya macho

    Wana jf wote habari za leo, mi ninaishi Arusha kuna mtoto wangu macho yanawasha sana amesugua mpaka ngozi ya macho umechubuka. Sasa sijui tatizo ni nini naombeni kujua clinic nzuri ya macho hapa Arusha niweze kumpeleka. Natanguliza shukrani zangu.
  2. mamseri

    Arusha hali ya umeme ni tata

    Wana jf wiki iliyopita Tanesco walikata umeme bila taarifa kwa siku nne mfululizo ilipofika ijumaa wakati rais amekuja wakaachia umeme mpaka jana jpili. Rais ameondoka mwendo ni ule ule hakuna umeme na hawatoi taarifa kama kuna shida au ni nini, je tuchukue hatua gani watu tunaotegemea umeme kwa...
  3. mamseri

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu

    Wakuu hawa jamaaa ni noma sana. Leo watu wamepata elimu kubwa sana kuhusu rasimu ya pili ya katiba maeneo ya kata ya Kiranyi Arumeru. Kwa kweli wanajitahidi sana wanatoa vipeperushi na cd zenye elimu kuhusu rasimu hiyo na wanadai ni zoezi la nchi nzima. Nimewapenda sana mungu awabariki hakika...
  4. mamseri

    Bata bukini wa haraka

    Wakuu habarini za leo na poleni na majukumu., mimi nipo Arusha nahitaji sana hao bata kwa ajili ya ufugaji. Mwenye taarifa mahali naweza kuwapata anisaidie tafadhali. 0767476295
  5. mamseri

    Katiba mpya na Pro. Shivji

    Wakuu salamu kwenu., nimekuwa nafuatilia kila mdahalo wa katiba uliopita ila kwa bahati mbaya naona nguli wa mambo ya katiba kaachwa najiuliza kwa nini waandaaji hawamualiki.? Mwenye taarifa anijuze
  6. mamseri

    Samsung galax s3 original

    Inahitajika samsung S3 orginal bei maelewano mawasiliano 0655029095
  7. mamseri

    Wakamatwa na kidole

    wakazi wawili wa kijji cha Mazombe Iringa wamekamatwa name polisi Kwa kukutwa na kipande cha kidole cha binadamu: Source Nipashe
  8. mamseri

    Hodiiiiiiiiiiiiii

    Jamani nilikuwa napita kama mgen ila leo nimeamua kuingia ndani naomba mnikaribishe tujadiliane pamoja
Back
Top Bottom