Search results

  1. K

    Tanzania Yapanda katika Viwango vya Fifa -October

    Tanzania imepanda katika viwango vya soka vya Shirikisho la Dunia la Soka (FIFA) kwa mwezi wa Oktoba. Kwa mujibu wa tovuti ya Fifa Tanzania imepanda hadi nafasi ya 110 kutoka nafasi ya 117 mwezi wa September. Tanzania inategemewa kupambana na Sudan mwishoni mwa November katika mashindano ya...
  2. K

    Kibadeni, Mziray kuchukua Mikoba ya Mbulgaria??

    Kuna habari zisizothibitishwa kuwa timu ya Simba wanafikiria kutumia kocha mzalendo kati Abdallah "King" Kibadeni au Syllersaid Mziray " Super Coach". Hali hiyo inafatia matokeo yasiyoridhisha ya timu hiyo kongwe katika ukanda wa Afrika ya Mashariki. Simba imekuwa na matokeo yasiyoridhisha...
  3. K

    Kisa cha Photo albam

    Wapendwa wanaJF najua tumekuwa tukijadili masuala mengi nyeti yanayojili Tz na duniani kwa ujumla lazima bongo zinachoka! Naomba ili kupumzisha akili kidogo tuangalie nyimbo mbali mbali zilizowahi kupigwa na bendi za hapa Tz. Mimi kwa leo nimekumbuka wimbo uliopigwa na Bendi ya Kimulimuli...
  4. K

    Babu Evander Holyfield kupanda ulingoni Desemba

    Bondia aliyetamba katika ngumi za kulipwa uzito wa juu (Heavy Weight) duniani Evander Holyfield anategemewa kupanda ulingoni mwezi wa Desemba mwaka huu kupambana na bingwa wa uzito wa juu anayetambuliwa na WBC kutoka nchini Ujerumani Nicole. Evander atakuwa akitimiza umri wa miaka 46 siku...
  5. K

    Rais Mwai Kibaki na Gharama za Umeme Kenya

    Rais wa Kenya Mwai Kibaki ameiamuru Wizara ya Fedha na Nishati nchini humo kupitia upya viwango vya kodi zinazotozwa katika gharama za umeme nchini humo. Lengo ni kuhakikisha kuwa kodi ambazo zinachangia kuwaumiza watumiaji wa umeme zinapunguzwa kama si kuondolewa kabisa... JK na EWURA mpo??
  6. K

    Spika Samuel Sitta adai kutumiwa Ujumbe wa Vitisho

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel Sitta amedai kuwa kuna mtu/watu wamekuwa wakimtumia ujumbe wa vitisho kupitia simu yake ya mkononi. Akizungumza na TBC Taifa, Spika Sitta alidai kuwa ameshatoa taarifa ya jambo hilo polisi kwani hawezi kupuuzia vitisho hivyo ingawa alidai...
  7. K

    Jamhuri Kiwelo atimuliwa Simba

    Kuna habari kuwa aliyekuwa kocha msaidizi wa timu kongwe ya soka Tanzania Simba Sports Club, Jamhuri Kiwelo (Julio Alberto) ametimuliwa. Kwa mujibu wa taarifa zilizorushwa hewani na kipindi cha michezo cha kituo cha radio cha TBC Taifa, baadhi ya wanachama wa Simba wanamshutumu Julio kwa...
  8. K

    Tanesco na bei za Umeme

    ...Kuna habari kuwa Tanesco inajipanga ili iweze kupeleka mapendekezo ya kupandisha bei ya umeme kwenye Mamlaka ya udhibiti wa Nishati (EWURA). Ikumbukwe kuwa mwishoni mwa mwaka jana Tanesco ilipendekeza kwa EWURA ongezeko la bei ya umeme kwa 40% lakini waligomewa na hatimaye kuruhusiwa...
  9. K

    Nadharia kuhusu chanzo na maana ya heshima ya kijeshi ya Mizinga 21

    Kuna jambo huwa linanitatiza kuhusiana na heshima ya mizinga 21 inayotolewa kwa kiongozi mkuu wa nchi (Rais) aidha anapokuwa katika shughuli za kitaifa ndani kama vile kuadhimisha siku ya uhuru n.k au wanapokuja viongozi maraisi wa nchi za nje kutembelea Tanzania. Nataka kujua ni kwa nini...
  10. K

    UHANITHI baada ya Kitovu cha Mtoto kukatika na kudondokea Sehemu zake za Siri

    Wandugu, Napenda kufahamu kitaalamu juu ya imani au uvumi kuwa mtoto mchanga anapozaliwa lazima mzazi na hasa mama ahakikishe kuwa kitovu cha mtoto huyo kitakapokauka na kudondoka basi kisiguse sehemu nyeti za huyo mtoto. Inasemekana kuwa ikitokea kuwa kitovu hicho kimedondoka na kugusa sehemu...
Back
Top Bottom