Search results

  1. K

    Maneno mkuki!

    ...Yeye aliipataje????Teh! tehhh!! tehhh!!!!
  2. K

    Hasheem Thabeet: The Tanzanian Phenom

    .....I like this!!...Kweli tupu...
  3. K

    YANGA-Ligi ya Mabingwa Afrika

    ...Huo ndio ukweli wenyewe nadhani mjiandae kurudi na stori za ku-justify migoli mtakayopigwa!!
  4. K

    Magori, Rage, Madega, warudishwa TFF

    Perfect!!...wafanye kazi kazi sasa sio kuturudisha katika mambo ya waka 47...
  5. K

    Waziri wa zamani, Chadiel Mgonja afariki

    ...Mbuzi hula mwisho wa kamba yake na unavuna unachopanda. Niliwahi kumuona huyu mzee pale same mjini mwaka 2004 alikuwa na hali mbaya sana kuanzia mavazi mpaka afya yake huwezi kuamini kama alikuwa mtumishi wa serikali mpaka katika level ya uwaziri...Ndio maishakupanga ni kuchagua!!! (RIP)
  6. K

    What is wrong here

    ...I like this!!! Unajaribu sumu kwa kuonja kwa ulimi??? Mh!!! I doubt if it can work any way!
  7. K

    Fikiria Ni Watoto Wako!

    Kama ni watoto wangu nitawasafisha vizuri na nyumba itasafishwa then wapate msosi fresh then naingia nao maeneo ya kuchezea watoto waende wakafurahi. Siwezi kuwatandika kama mtu aliyeweka rangi kizembe asingefanya hivyo yumkini hayo yote yasingetokea.
  8. K

    Mataka bazazi?

    ... Hata mimi nimesikia kuwa jamaa anahusudu sana kuvaa ringi za wanaume wenzake.........Ubazazi ukizidi lazima unachofanya mungu atakupiga kofi usifanikiwe.....
  9. K

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    ....Hebrew, usiambiwe kitu huko Chita si kwamba ndio kwenye jeshi ni JKT kama zilivyo kambi nyingine tatizo la Chita ni kuwa porini sana kiasi kwamba hata kuruta aki-attemp kutoroka ndio hivyo risk wanyama, majoka ndio tatizo. Otherwise kama ni kilimo hata kambi nyingine wanapiga jembe kama...
  10. K

    Ince sacked by Blackburn!

    ....Nimwanzo mzuri kwake at least atakuwa ametoka kitu kitakachomsaidia hata kwa siku za baadae anaweza kuja kuwa kocha mahiri kama Feegy,wenger, Scolari etc
  11. K

    Gray Mgonja: Kufikishwa Mahakamani na matokeo yake

    I believe Mzee wa vijisenti will be the next target...I like this!!!
  12. K

    Gen. Mboma ajaribu kugombea, aangushwa!

    ....Mambo mengine vichekesho kama mtu amestaafu ina maana hata mwajiri wake amemuona anastahili kupumzika sasa mtu kama Mbona bado anataka ubunge nina imani hata uwezo wake wa kufikiri utapungua tu sasa sijui wanakuwa hawajakusanya vijisenti vya kutosha kwa hiyo wanatafuta jinsi ya kuongezea..
  13. K

    Vicky Ntetema ajificha baada ya ripoti BBC

    Yaelekea serikali yetu bado haijamua kuchukua hatua za makusudi kupambana na hili tatizo na ndio maana hata mauaji ya albinos yanaendelea kika kukicha. Hivi bunge kama lingepisha sheria kwa makusudi kwa lengo la kumaliza mauaji ya albino kuwa kila atakayethibika mahakamani kuwa aliuwa albino...
  14. K

    Filamu za kitanzania: Mazuri na mabaya

    Thanks QM kwa observations zako nzuri kuhusu hizi filamu za bongo. Ukweli ni kuwa vijana wengi wa kitanzania wanajitahidi kujiingiza katika kutengeneza filamu ingawa kuna mambo ya msingi yanakosekana katika kuigiza kwao kiasi kwamba hata hizo filamu hupoteza mvuto. Film industry inahitaji...
  15. K

    Ndugu Mkullo ,Shaffiq & Hannif brothers hawalipi kodi , je ulijua haya ?

    ....Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!! wizi mtupu kila kona ya nchi
  16. K

    Christian Gregory- Chakubanga

    Jina la chupaki inanikumbusha jamaa mmoja nilisoma nae primary school tulimpachika jina la chupaki na likazoeleka!! Kweli tumetoka mbali sana!!
  17. K

    kifo cha Liumba

    ....EPA wapi???? Inasemekana jamaa mtu wa pure leather sana!!!!
  18. K

    Picture of the Day

    ...Teh! teh!! teh!!! Mjaluo huyo mazee anaweza kumpelekea moto huyo mama mpaka akapagawa!!! Hilary bado analipa tu ingawa sura imeanza kuwa na wrinkles....
  19. K

    Hakimu mwakenjwa kukumbukwa daima!!!

    ...Good start, lakini asiishie kwenye kudai removal order tu. Kama itathibitika kuwa hao Mramba na Yona wana kesi ya kujibu awalambe mvua za kutosha tu sio kufanya usaniii...
  20. K

    Kuangushwa kwa Yusuph Kikwete ni kura ya maoni kwa Jakaya Kikwete?

    ...Tatizo letu wabongo ndio hilo huenda huyo Yusuph alidhani akitumia surname ya Kikwete inawezas kumpa chati kumbe ndio anaharibu kabisa...Tikerra, hiyo yawezekana ikawa ni ishara ya muungwana kutimuliwa vumbi jina limechuja hilo!!!!!!!!!
Back
Top Bottom