Hii kampuni ni ya kinyonyaji sana kuanzia kwenye mfumo wao wa malipo uko ovyo sana na ubabe mwingi sana unatumiwa na managing director wao mr Aggrey uriwo.
Watafiti wanacheleweshewa wages zao zaidi ya miezi sita na hii ndiyo inasababisha upikwaji wa data pala.
Wakati mwingine field manager...
Habari zenu wanajamvi? Ninataka kuwajuza tu kama hamuifahamu vema kampuni ya utafiti ya Synovate.
Kwa miaka kadhaa kampuni hii ya utafiti imekuwa ikitoa matokeo ya tafiti za kubashiri hali ya siasa hapa nchini utfiti huo unaitwa SPEC.
1.Tafiti zao zote hazifuati kanuni na taratibu za kufanya...
Kweli kabisa kampuni ya synovate inasifika kwa upikaji wa data na hii project SPEC ndiyo inamatatizo sana ya pesa hadi data collector wanapika dodoso guest house.
Hii tafiti wanayofanya synovate inaitwa SPEC AU SHADA na huwa kwa mwaka wanaifanya mara tatu.
Katika hii kampuni kuna malalamiko mengi sana kutoka kwa data collector kwa kulipwa pesa kidogo na hata wages zao kucheleweshewa wakati mwingine hadi miezi minne au mitano.Sasa kwa matatizo haya hawa...
MM Research&consultancy company ni kampuni ambayo inafanya tafiti mbalimbali hapa Tanzania,ina wafanyakazi waliobobea katika tafiti.Tunakaribisha makampuni mbalimbali pamoja na taasisi zote ndani na nje ya nchi.
Tembelea kwenye tovuti yetu www..mmresearch.uphero.com
au kwa no za simu...
kaka yale ni makampuni ya wakenya kuna ukandamizaji sana,kuna watu wamekuwa vibarua kwa miaka sita hawajaajiriwa.hakuna mipango yoyote nimekuwa kibarua tu pindi project ikiwepo.
Nimefanya kazi za utafiti tangu wakati nasoma form five nilikuwa nafanya part time wakati wa likizo baada ya kumaliza form six nikaendelea na kazi hiyo hadi wakati huu nimefanya project kama 50 nikiwa na synovate sasa hivi wanaitwa ipsos synovate na hata infinity insight,millward brown,research...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.