Search results

  1. T

    CHATO: Mwanafunzi kufanya mitihani 9 kwa siku moja. Je, Shule ya sekondari Mujumuzi- ina mamlaka?

    Wanajamii, hii imekaaje? Leo nimepigiwa simu na jamaa yangu yupo Chato, amekuta wanafunzi wa shule ya sekondari Mujumuzi (ya binafsi) wameandamana barabarani wakidai baadhi walimu wao kurudishwa kazini baada ya walimu hao kupinga utaratibu wa shule hiyo kuwafanyisha mitihani 9 kwa siku moja...
  2. T

    Je, hivi ni kweli huyu mwanamke ananipenda?

    Kutoaminiana... Nusu ni kinga nusu ni kifo
  3. T

    Wananipenda jumla sijui kwanini

    :: Hii bahati sijui itanifikia lini, ya kupendwa jumla jumla sio rejareja! =
  4. T

    Haya ndio maamuzi niliyo fikia, Nishauri

    :: Wazo zuri, kuna jamaa yangu ana Scania sasa hivi, ameiandika 'asante salome' Ni baada ya salome kumkataa kisa hakuwa hata na baiskeli. Ni just external forces zinazotusukuma. =
  5. T

    Dereva Trekta Kanipora mpenzi

    :: Pole, they say 'You can't possess what really is not yours' =
  6. T

    Wazazi fungukeni: Ulijisikiaje ulipopata mtoto wako wa kwanza?

    :: Raha sana kuitwa Baba, kilichonifurahisha zaidi ni mwanangu kufanana na mimi Blue G =
  7. T

    Miaka miwili, tangu niijue JF, I miss mai friends

    :: Ni wengi saaana mkuu, akina Lisa Munkari Zion Daughter Prisoner4664 Maundumula The Boss Mentor Heaven on Earth Blue G ni wengiii =
  8. T

    Miaka miwili, tangu niijue JF, I miss mai friends

    :: Majukumu ya hapa na pale tu watu8 =
  9. T

    Miaka miwili, tangu niijue JF, I miss mai friends

    :: Nawasabahi tu, Poleni na majukumu. =
  10. T

    Kwa waoaji na waolewaji tu

    :: Nakusalimia tu, miss U a lot =
  11. T

    Rais Kikwete ukipitsha ongezeko la posho bungeni na Mungu akutwae tu mwaka huu!!!

    :: Ha ha ha kwa mfumo wa Taifa letu, mtaomba sana =
  12. T

    Upendo wa mama kwa mtoto hauzuiliki huja tu!

    :: Blue G asante sana, nina ka swali kukuhusu wewe ntakutafuta privately lakini! =
  13. T

    Somo la leo

    :: Mmm! Sie wengine slow learner =
  14. T

    I hate the way I love him

    :: Kaunga Penzi halina mwalimu Penzi huuma kwa umu Penzi halijali mko mbali Penzi huwasha lataka mkunaji Penzi ni la wawili si mmoja tu, Hongera kwa kuyapitia =
  15. T

    Until we meet again

    :: Until we meet again I will be same Till we meet again My heart will be tired Till we meet again Is an endless game of hope =
  16. T

    Mimi niliachwa hivi wewe uliachwa vipi?

    :: Mi ndo sielewi niliacha au niliachwa! Basi niseme tuliachana =
  17. T

    kweli ndoa bila ya harusi ni haramu?

    :: aiseee! Dunia hii mmm!! =
  18. T

    Get Well Soon Charminglady

    :: Get well soon charminglady =
Back
Top Bottom