Search results

  1. x - mas

    Vyakula vipi umekula pindi umepigika vilivyo?

    Maisha haya acha tu...
  2. x - mas

    Tuzitambue Wilaya maarufu kuliko mkoa hapa

    Tataimba hapana, umeacha moshi na mafia na kilwa
  3. x - mas

    Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

    "Mwl wa mase hapa ni wapi..." huu msemo tu unatosha kuachana na wanafunzi kazuge shule saa nne nenda chini ya mti vuta fegi yako mwisho wa mwezi kapokee salary kale na familia yako
  4. x - mas

    Kuona matukio kama uliwai kuyaona kabla....

    Hiyo ni dalili ya ugonjwa fulani wa akili jina sikumbuki. Kama hauta tibiwa mapema hupelekea muathirika kuanza kukusanya au kuokota vitu ovyo hasa makopo.
  5. x - mas

    Kupangiwa kazi vijijini tayari unakuwa umeuliwa kifikra na kitaaluma

    Kijana nguvu ya akili ipo full unaanzaje kuishi kijijini udumaze akili. Kijijini tunawekeza na kuchukua cheap labours lakini tunaishi mjini. Yaani fursa za Kijijini tunazipata na mjini tupo kama kawaida.
  6. x - mas

    Ushauri: Naacha chuo nijikite biashara ya sarafu mtandaoni FOREX

    Point 5 ndiyo nzito lakin usiache chuo badili kozi
  7. x - mas

    Sijaelewa ni kwanini madaktari wanafunzi wa Sudan wameamua kukimbilia Tanzania badala ya Kenya na Uganda majirani

    Mambo ya kawaida. Tulia fanya mishe zako hadi wamekubaliwa kuja ujue wahusika na wataalamu wa mambo ya usalama nchin wameisha jilidhisha.
  8. x - mas

    Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

    Asante kwa elimu... ila mimi kwakweli kwenye basi ni usingizi mwanzo mwisho tena huwa usiku kabla ya safari najinyima usingizi ili nikaulipe nikiwa kwenye basi. Haya mambo ya usafiri kufa, kuumia au kutoka salama ni bahati tu. Ninewahi pata ajari automatically bila jitihada zozote za kujinusuru...
  9. x - mas

    Wahuni wameniibia Main switch na wire wa kupeleka umeme kwenye main switch

    Main switch 80000 Wire mkubwa 6000 kwa mita Sakiti breka 40000 makadario jumla 250000.
  10. x - mas

    Wahuni wameniibia Main switch na wire wa kupeleka umeme kwenye main switch

    Dodoma waliwahi iba hadi bulldog, sembuse main switch yenye umeme.
  11. x - mas

    Nilimsaidia dada mmoja Arusha asibakwe

    Kuna vitabia havifai kwa mwanaume vinatia hasira wakwetu
  12. x - mas

    Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

    Mnyonge mnyongeni, nataka nioe kabinti ka kiislamu nasikia wako vizuri ktk malezi ya watoto
  13. x - mas

    Napendekeza Serikali ya Tanzania ichapishe Noti za Shilingi Elfu (50,000) na Laki moja (100,000)

    Huko ni kupaka mafuta bila kunawa au kuoga... dawa ni kupambana buku10 iwe na thamani ya kilo
  14. x - mas

    Nilimsaidia dada mmoja Arusha asibakwe

    Nikajua uliruka makomfuu ya kihindi kama akshey... unajua wewe ni wakiume kuwa makini na hizo 'basi bwana' halafu usipende kuwashwawashwa kusimulia kila tukio hzo ni tabia za kike.
  15. x - mas

    Kama vipi, Kigoma ipewe hadhi ya kuwa nchi ijitawale

    Ngoja ninyanaze sitaki kubishana waha nawajua kwa ubishi
  16. x - mas

    Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

    Kurudisha hadhi gani ambayo ualimu umewahi kuwa nayo hapa nchini! Ualimu haujawahi pewa hadhi. Huko vijijini walimu waliheshimika kwa sababu walikuwa wanaweza kula mboga yenye mafuta mwisho wa mwezi tofauti wanakijiji wengine?
  17. x - mas

    Huenda kuanzia mwaka 2034 nchi itakuwa na vilaza watupu

    Achakujidanganya, nemesoma chuo na hao waliopitia form 6 huo uwezo wa kufikiri kutuzidi sijauona tena walipata taabu sana kumaster mfumo wa usomaji wa chuo.
Back
Top Bottom