Search results

  1. D

    wanaume wanao ni-approach hawafanani na mimi nisaidieni jamani!

    Kwanza pole sana dada kwa kutofuatwa na mwanaume anaekufaa, ila usife moyo nakujiona kama we mdhaifu sana, cha msingi ni kuangalia vigezo muhimu sana vya mwenza anaekufaa na kuvipuuza vigezo dhaifu, kwa mfano kigezo cha elimu kuwa ndogo than yours co strong sana maana m2 anaweza kujiendeleza...
  2. D

    Hivi kwanini Mahakimu uitwa Waheshimiwa

    please waungwana naomba mniambie sifa zinazomfanya m2 aitwe mheshimiwa, coz npo gizani juu ya hilo.
  3. D

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Tanx sana ndugu kwa kuiamsha jamii yetu ya tanzania ambayo imelala kwa mambo mengi especially kisheria na haki za raia. Big up sana.
  4. D

    Asili ya jina Tanzania na mwasisi wake: Mohammed Iqbal Dar

    Big up sana ndugu kwa jitihada zako za kutufanya watanzania tuijue historia ya nchi ye2, kiukweli nikiwa miongoni mwa wale ambao 2likua hatujui chimbuko la jina la nchi yetu (TANZANIA) umeniondolea kiza kinene kilichokuwa kimetanda machoni mwangu. GOD BLESS YOU.
Back
Top Bottom