Search results

  1. Mwamba Usemao Kweli

    Trafiki Polisi wabadilishiwe sare zao za kazi

    Ni ushauri kwa Jeshi la Polisi kupitia jukwaa huru la JF. Ni wakati muafaka kuachana na uniforms nyeupe kwa polisi wa usalama barabarani. Kwani hudhalilisha mtu asionekane msafi kutokana na mazingira ya kazi yake yaliyojaa vumbi kuchangia kuchafua uniforms haraka. Tubadilike...
  2. Mwamba Usemao Kweli

    CCM mpya na Tanzania mpya hii hapa..

    CCM mpya Tanzania mpya Hayawi hayawi sasa yanaenda kutimia...Tunahesabu masaa kuanzia leo kabla ya tarehe 23.7.2016 ambapo nchi mpya inaenda kuzaliwa. Ni nchi yenye jina lilelile Tanzania ila yenye mtazamo, utamaduni wa kutenda na utashi mpya katika kusimamia maendeleo ya watu wake na njia zake...
  3. Mwamba Usemao Kweli

    Tumekuwa watumwa na karakana ya shetani

    Kiukweli watanzania tubadilike. Tunatia aibu jamii yetu kwa kujenga utamaduni wa kulalamikia kila jambo linalofanywa na serikali na viongozi wetu. Napata shida sana kufahamu ni kipi hasa watanzania wanahitaji. Serikali awamu ya nne imelalamikiwa sana kuwa dhaifu, fisadi, rais mzururaji...
  4. Mwamba Usemao Kweli

    CUF inyimwe ruzuku

    Kwa kususia uchaguzi na kushinikiza jumuia za kimataifa kunyima Tanzania misaada, sioni sababu kwa nini CUF ipewe ruzuku? Magufuli tumbua jipu hili.
  5. Mwamba Usemao Kweli

    Kingunge, Sumaye na Lowassa msaidieni Maalim Seif Zanzibar

    Mbona kimya jamani msaidieni Seif atangazwe Rais Wa Zanzibar.
  6. Mwamba Usemao Kweli

    Dr. Slaa ametimiza wajibu wake kwa taifa kama Nyerere.

    Mithali 14:12 Iko Njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa MTU lakini mwisho wake ni Njia za mautI. Mithali 29:1 Aonywae Mara nyingi akishupaza shingo atavunjika ghafla wala hapati dawa.
  7. Mwamba Usemao Kweli

    Kikwete: Rudisha mali za umma walizojilimbikizia Lowassa na Sumaye

    Mheshimiwa Rais nakuomba urudishe kwenye mamlaka ya nchi raslimali kama Ardhi, mashamba ya ng'ombe, nyumba za serikali zinazomilikiwa na majambazi Lowasa na Sumaye kwa kuonyesha dharau kwa serikali kujenga chuki na kuhatarisha Usalama wa taifa kwa kutunga uongo na kuichafua mamlaka yako kwa...
  8. Mwamba Usemao Kweli

    CCM ya Magufuli - mwisho wa matatizo

    Namkubali magufuli na ameahidi kuwa kuanzia sasa vilio vya walimu, madaktari, wagonjwa kukosa huduma na dawa, wakulima kukosa pembejeo, masoko ya mazao yamefika mwisho wake. Kama ni mabadiliko ni ndani ya ccm ndo maana mafisadi wanahama chama kwani kawambia Mahakama yao inakuja. Chagua jembe...
  9. Mwamba Usemao Kweli

    Lowassa akiwa Waziri wa Ardhi na Mifugo alifanya ufisadi wa kutisha

    Akiwa waziri wa mifugo alijimilikisha Ranchi za kufuga ngombe za taifa Tanga, Arusha, Dodoma na pwani na akiwa waziri wa ardhi alijimilikisha viwanja vikubwa vya wazi miji mikubwa ya dar, arusha , mwanza na Dodoma. Sasa mpeni urais ajimilikishe mikoa, hifadhi za taifa, mito, maziwa na bahari...
  10. Mwamba Usemao Kweli

    Sumaye, tueleze miaka 10 Uwaziri Mkuu ulifanya nini?

    Sumaye usiwadanganye watanzania itueleze imelifanyia nini taifa? Ufisadi mwingi umetokea ukiwa PM ulifanya nini kuuzuia? Usitudanganye bhana.... Ikumbukwe ufisadi wa EPA, Meremeta, mwananchi gold, kiwira mine, kuuwawa tembo, mikataba ya madini kugawa maeneo ya uhifadhi Serengeti grumeti...
  11. Mwamba Usemao Kweli

    Uzinduzi Kampeni Ukawa jana: Mbowe kushney

    Kila aliyepanda jukwaani ni Lowassa na ukawa tu VP kuhusu mwenyekiti wa Mbowe ckusikia akitajwa kabisa na washereheshaji wala wachangiaji. Inamaana sikuhizi so kiongozi chadomo.
  12. Mwamba Usemao Kweli

    TeamCCM ushindi Kampeni inamhitaji Makongoro Nyerere kuliko wakati wowote ule

    Kwa wale wanaJF CCM team ushindi mtakubaliana nami kuwa kwa vyovyote iwavyo ni muhimu kwa team ya kampeni ya Mhe Pombe Magufuli kumpeleka ikulu dhidi ya UKAWA () kuhakikisha unamjumisha Makongoro Nyerere kwani anauwezo wa kuwabomoa UKAWA na mgombea wao asubuhi kweupe. Nafahamu kuwa CCM inahazina...
  13. Mwamba Usemao Kweli

    Tuwafuatile viongozi wanaojitoa ndani ya CCM na kukimbilia UKAWA. Wamevuruga nchi

    Chama chetu kimekuwa kikishu tumiwa ndani na nje ya chama kuwa kimekumbatia rushwa na kinahujumu maendeleo ya watu, kimekuwa na ubinafsi na ubadhirifu wa Mali ya umma. Sasa umefika Wakati kujitathmini kama chama nahasa kipindi hiki ambapo watu walewale waliokiingiza chama kwenye malalamiko...
  14. Mwamba Usemao Kweli

    Kuelekea uchaguzi mkuu tuepuke ukanda na ukabila

    Kinachoonekana sasa ni kama vile CCM haijafanya chochote katika nchi hii na hasa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha. Na kupelekea wakazi wake kuichukia CCM. Japo takwimu za matumizi makubwa ya FedhA za serikali katika miradi ya maendeleo kama Ujenzi was miundombinu ya usafiri, Umeme, Maji na...
  15. Mwamba Usemao Kweli

    Undumilakuwili hauhitajiki ni vyema mjiengue mapema

    Nawapa pongezi wale waliokuwa viongozi wa ccm wanaojiengua sasa na kujiunga name vyama pinzani kuelekea uchaguzi mkuu. Ni vyema watu hawa wakaharakisha zoezi hili ili kila chama kijitambue kimesimama vipi, wapi na nani na kwa ajili ya kufanikisha nini kuepusha undumilakuwili. Baada ya Nangole...
  16. Mwamba Usemao Kweli

    M4C yatekwa na Friends of Lowassa

    Hatimaye wale wafuasi wa Chadema Asilia wamenyosha mikono baada ya mafisadi wa friends of Lowasa kuwavamia na kumnunua mwenyekiti wa Chadema freeman Mbowe na sasa chama kinamilikiwa na friends of Lowassa. Kweli fedha ndo kila kitu.
  17. Mwamba Usemao Kweli

    Ukawa: Mpeni wembe lowassa

    Ameulilia sanaaa toka Mwaka 1995 sasa mpeni. My take; UTAMKATA TUUU.
  18. Mwamba Usemao Kweli

    LOWASA: Sahau URAIS 2015

    WanaJF, Niliwahi kushauri mapema sana miaka 3 iliyopita kuwa Lowassa aachane na siasa na apumzke. Sikueleweka. Leo nasema tena aachane na urais UKAWA. Wanaomshauri akagombee ukawa ni kwa maslahi binafsi na wanajua bila katiba kubadilishwa ni ngumu kuiangusha chama tawala sasa. My take...
  19. Mwamba Usemao Kweli

    MONDULI CCM: Ni upuuzi mtupu

    Ni dalili za wanasiasa wanaopenda ukabila, ujimbo na ukanda. Haiingii akilini kuwa mtu Wa kabila lenu au kwenu asipochaguliwa kuwa mgombea Wa chama kwenye urais basi mnahama chama. Ni upuuziiii..... Je na sisi tunaotoka kwa mwandosya, Wasira, bilal, membe na wengineo tuhame pia? Je...
  20. Mwamba Usemao Kweli

    Kati ya hawa mmoja wao anaenda kuwa rais wa JMT 2015

    Anatoka nje ya utaratibu wa walioko serikalini kwa sasa. Source ni ndoto za mizimu ya kwetu. 1. Jaji Augustino Ramadhani 2. Makongoro Nyerere 3. Balozi Augustono Mahiga My take: Kwa waliokuwa wamewekeza kuupata urais wajiandae kisaikolojia mgombea wao hatokuwa rais iwe ndani ya ccm...
Back
Top Bottom