Search results

  1. Mwamba Usemao Kweli

    Lowassa ni Nyota Gani?

    NAAMINI KUTAJWA TAJWA KWAKE NI UTHIBITISHO JINSI RUSHWA NA UFISADI UNAVYOWEZA KUATHIRI JAMII KISAIKOLOJIA KUTEKA MAWAZO YA WENGI PASIPO KUJITAMBUA. KIWANGO ALICHOFIKIA CHA KUNUNUA WAJUMBE NA WADHAMINI WA CCM KILA KONA NA ISITOSHE KUNUNUA BODABODA NCHI NZIMA NA KUGAWA FEDHA MAKANISANI NA...
  2. Mwamba Usemao Kweli

    Trafiki Polisi wabadilishiwe sare zao za kazi

    Ni ushauri kwa Jeshi la Polisi kupitia jukwaa huru la JF. Ni wakati muafaka kuachana na uniforms nyeupe kwa polisi wa usalama barabarani. Kwani hudhalilisha mtu asionekane msafi kutokana na mazingira ya kazi yake yaliyojaa vumbi kuchangia kuchafua uniforms haraka. Tubadilike...
  3. Mwamba Usemao Kweli

    John Mnyika

    Nani kukutana na nani?
  4. Mwamba Usemao Kweli

    Kauli ya "Chagua Magufuli" badala ya "Chagua CCM" Kulipiwa Kisasi Dodoma

    Hao wajumbe wawe waangalifu wataishia kufukuzwa chamani.
  5. Mwamba Usemao Kweli

    CCM mpya na Tanzania mpya hii hapa..

    CCM mpya Tanzania mpya Hayawi hayawi sasa yanaenda kutimia...Tunahesabu masaa kuanzia leo kabla ya tarehe 23.7.2016 ambapo nchi mpya inaenda kuzaliwa. Ni nchi yenye jina lilelile Tanzania ila yenye mtazamo, utamaduni wa kutenda na utashi mpya katika kusimamia maendeleo ya watu wake na njia zake...
  6. Mwamba Usemao Kweli

    Wafuatao waliwahi kukutana uso kwa uso na busara na hasira za Mwalimu Nyerere!..

    Wakati huo mwenyekiti CCM taifa alikuwa Mkapa mwaka 1997 na ndipo alipoaanguka ghafla akiwa katika vikao vya chama na baadae kukimbizwa hospital na baadae kufariki dunia. .
  7. Mwamba Usemao Kweli

    Wafuatao waliwahi kukutana uso kwa uso na busara na hasira za Mwalimu Nyerere!..

    Ya kolimba pia nahisi ni story za vijiweni. Kwani Mwl alimuunga mkono Kolimba aliposema CCM imepoteza DIRA.
  8. Mwamba Usemao Kweli

    Edward Lowassa hafai kuwa Rais na ni balaa kwa Taifa

    KI UKWELI NA NINA ENDELEA KUSEMA TENA NA TENA, JAMANI, JAMANI, JAMANI MTU HUYU HAFAI KUWA HATA KATIBU KATA. MNAO MKUMBATIA MTAJUTA. AONYWAE KILA MARA NA KUSHUPAZA SHINGO YAKE ASISIKIE, HATIMAYE HUKATWA ASIPATE DAWA.
  9. Mwamba Usemao Kweli

    Nachukizwa na Rais wetu Magufuli kutokuhudhuria mikutano ya Wakuu wa Nchi

    KWA WAKUU WOTE NDANI YA UZI HUU:- NAAMINI RAIS WETU YUKO VERY OBJECTIVE NA STRATEGIC ANAFAHAMU VEMA NI MKUTANO GANI WENYE MANUFAA KWA NCHI NA UPI NI WA KUNYWA CHAI NA KAHAWA NA NI UPI AENDE NA USIO NA MANUFAA WA KUTUMA MWAKILISHI NI UPI NA HUFANYA HIVYO. KWA HIYO NI VEMA TUMPE NAFASI YA...
  10. Mwamba Usemao Kweli

    Nachukizwa na Rais wetu Magufuli kutokuhudhuria mikutano ya Wakuu wa Nchi

    ENDELEENI KUSHANGAA KWANI VICHWA VYENU VIMEJAA MAJI. AKIENDA MWAKILISHI NA AKIENDA RAIS TOFAUTI NI IPI? KUNA JIPYA ZAIDI YA AJENDA ZILIZOPO MBELE YA KIKAO AMBACHO AKIENDA RAIS ATAZIBADILISHA NA ASIPOENDA YEYE BASI AJENDA HAZITOJADILIWA? TUACHE FIKIRA DHAIFU ZA KUFIKIRI KUWA RAIS AKIENDA KWENYE...
  11. Mwamba Usemao Kweli

    CHADEMA mikononi mwa Lowassa. Ajipachika mamlaka ya kiongozi mkuu, awa sawa na Zitto Kabwe wa ACT

    SHAURI YAO NA LOWASA WAO HUKO HUKO HAO CDM. TUWAACHE WAFU WAZIKANE WAO KWA WAO.
  12. Mwamba Usemao Kweli

    Audit kubwa Migodini

    UKAGUZI HUU UMECHELEWA SANA. TUNAOMBA UFANYIKE KWA UMAKINI MKUBWA NA KAMA ITAGUNDULIKA KUNA UPOTEVU WA KODI YA SERIKALI NI VEMA MGODI ULIPE GHARAMA YOTE AU MALI YA WAHUSIKA ITAIFISHWE NA SERIKALI TUCHIMBE WENYEWE.
  13. Mwamba Usemao Kweli

    Kikwete alikuwa sahihi kumkata Lowassa

    KWA WANAOMUUNGA MKONO LOHASA UKIWAFUATILIA SANA UTAGUNDUA KUNA JAMBO HALIKO SAWA NA HUENDA NI WAPIGA DILI MIJINI AMBAO JPM AMEWASHIKA PABAYA. KWA MTU ANAYEJITAMBUA HATA KAMA ALIWAHI KUPITIWA AKAMUUNGA MKONO KWA SASA ALISHAJIREKEBISHA NA HATAKI HATA KUMSIKIA JINA LAKE.
  14. Mwamba Usemao Kweli

    Kikwete alikuwa sahihi kumkata Lowassa

    Ni zigo tena zito sana. CDM watajuta tu subirini siku si nyingi. Ogopa sana katika maisha yako mtu anayependa madaraka/cheo au fedha kupindukia. Mtu namna hiyo ni mbinafsi, mchoyo na yuko tayari hata kutoa roho ya mtu. Hulka na Kariba aliyonayo mtajwa hapo juu kwenye mada haitoi mwangaza...
  15. Mwamba Usemao Kweli

    Tovuti mbaya za serikali zilizotengenezwa na watalaam wa IT wa Tanzania

    MLETA UZI NI WAKUPUUZWA HAJITAMBUI. Ni vema tujiulize kabla ya kunena. Majibu ya maswali haya hapa chini ndo yatakayomsaidia mleta uzi. 1.Website nini? 2.kazi yake ni ipi? 3.Ina manufaa gani? 4.Hutengenezwaje? 5.Je utaalam wa IT ni kutengeneza website? 6.Ku design website inahitaji mafunzo...
  16. Mwamba Usemao Kweli

    Maalim Seif maswala na majibu mkutano wa CSIS washington DC

    Seif amekwama naona anajishika pua, masikio, midomo, kichwa lakini wazungu bado hawamwelewi. Jamani madaraka na tamaa za kutaka uongozi mbaya sasa anahangaika na ulimwengu. Na ulimwengu siku zote ni tambara bovu.
  17. Mwamba Usemao Kweli

    Vyeo na ubunge wa upendeleo, CHADEMA kama CCM; Tutemeni mate chini

    VYAMA VYETU VYA SIASA VINGI NI VYA KIFAMILIA JAPO VINA JIPAMBANUA KAMA VYAMA MAKINI VYA KITAIFA. VIMEKUWA CHANZO CHA MGAWANYIKO NDANI YA JAMII YETU. NI VYEMA WATANZANIA TUKA ANZA KUPAMBANUA CHAMA CHA KITAIFA NA KILE KILICHOJENGWA KAMA CHAMA CHA KIFAMILIA KATIKA SIASA. JINSI YA KUTAMBUA CHAMA...
  18. Mwamba Usemao Kweli

    Shutuma za Kitwanga: Mkuu wa kaya amefunika kombe mwanaharamu apite!

    Lugumi iko mikononi mwa kamati ya bunge sasa nyie mnaotaka magufuli aingilie kati haraka mbona hampendi utaratibu ufuatwe? kiherehere cha nini?
  19. Mwamba Usemao Kweli

    The Economist on Magufuli: A President who looks good but governs impulsively

    STUP..ID MIND IN ACTION. THANK YOU THE SATAN'S GARAGE.
  20. Mwamba Usemao Kweli

    Tumekuwa watumwa na karakana ya shetani

    Kiukweli watanzania tubadilike. Tunatia aibu jamii yetu kwa kujenga utamaduni wa kulalamikia kila jambo linalofanywa na serikali na viongozi wetu. Napata shida sana kufahamu ni kipi hasa watanzania wanahitaji. Serikali awamu ya nne imelalamikiwa sana kuwa dhaifu, fisadi, rais mzururaji...
Back
Top Bottom