Search results

  1. Sajenti

    Vigogo wa zamani ATCL wana kesi ya kujibu

    ....Mambo ya Defao nini?..
  2. Sajenti

    Fastjet tukumbukeni na Kigoma jamani!

    ...Ule uwanja ndege wa Kigoma nakumbuka ulikuwa ukifanyiwa upanuzi na maboresho mengine ili kuruhusu hata ndege kubwa kama Airbus za Fast Jet kutua. Labda wanahisi hakutakuwa na abiria wa kutosha ukizingatia Presicion Air na ATCL nao wanapeleka ndege. Lakini kiukweli jamaa kutoka Congo, Rwanda...
  3. Sajenti

    Magufuli na Bendera ya Taifa

    Jana usiku nilikuwa naangalia habari kwenye kituo kimoja cha runinga. Likatoka tangazo likimuonyesha Dr. Magufuli akijieleza kwa unyenyekevu kwa watazamaji akiomba kura, nyuma kulikuwa na background ya bendera ya Taifa na pia hata vituo kadhaa vya radio nimesikia mara kadhaa wakitoa tangazo la...
  4. Sajenti

    Kikwete ni mpango wa Mungu ili CCM ianguke

    Mh!...mpaka nathiki kidhungu dhugu kabitha!
  5. Sajenti

    Mnakumbuka hii?

    Ndio safari ya matumaini ilipoanzia nini? Lol!
  6. Sajenti

    Msaada Kwa Watumiaji wa DSTV

    Hiyo Explora ndio Premium package?
  7. Sajenti

    Watangazaji wa CLOUDS FM ndio watangazaji wanaolipwa zaidi kuliko wengine wowote wa Tanzania

    ...Izengo Bujaga Kadago the former TBC announcer nowadays i guess he's working with Abood radio hapo mji kasoro bahari....
  8. Sajenti

    Kuna 'vigari' mwanaume hutakiwi kuendesha by the way

    ...niliwaambia jamaa zangu ofsini watu wakanjifany kunishangaa. Kiukweli sifikirii kutoa pesa yangu eti nanuna IST au vitz never on earth!
  9. Sajenti

    Waandishi wetu wa habari na lafudhi mbovu

    Kuna wengine sijui hawaelewi jinsi ya kutofautisha matumizi ya herufi R na L...We msikilize Shafii Dauda wa Clouds jamaa sijui huwa hajui kutofautisha matumizi ya hizo herufi mbili..Mpira yeye anakupa mpila...
  10. Sajenti

    Picha: Maafa ya mvua kijiji Bulembo Kamachumu - Kagera

    Nakumbuka kuna Mkuu wa Wilaya moja mkoani Mbeya aliwahi kuwaeleza wananchi wake wanajenga vijumba dhaifu hata kuku akipiga teke vinaanguka. Kama kawaida watanganyika wakamzonga weee lakini mi naamini alikuwa sahihi sana kwa kuwapa changamoto hao watu...
  11. Sajenti

    Mnazionaje huduma za Azam tv?

    ..Mazee hawa Continental wanatuzingua tu marekebisho mwezi mzima na mimi nitatafuta mbadala sasa maana uvumilivu umenishinda!!...
  12. Sajenti

    Photo

    Mnataka wale watoto wenu akitoka nyumbani asubuhi ana kibakuli kina viazi vya kukaanga na vipande vya nyama na kathoda halafu anaenda kusubiria basi la shule sio mwisho wa siku 00 na masikio......Hao ndio wenye uchungu wakitoboa hakuna kulemba!!!.....
  13. Sajenti

    King'amuzi cha Continental!

    Bandugu natumia hiki king'amuzi cha Continental kwa takribani miezi 4 sasa. Mwanzo kilikuw kinafanya kazi vizuri ingawa hapoati kilinizingua kidogo baadae ikwa safi, then ikaanza tabia ya picha na sauti kukatika katika na ujumbe wa "No signal. Lakini juzi ndio kimegoma kabisa no picha at all...
  14. Sajenti

    Kwa Thomas - Kimara bucha

    ...Pale kulikuwa na ice cream parlour ya Bakharesa na kwa wakati ule wa Enzi za giza ilikuwa rahisi mtu kuelekezwa kwa jina la Bakharesa. Ingawa pia kulikuwa na hata bucha za "Noah" miaka ile kabla ya mtifuano wa wanaharakati pangeweza pia kuitwa kituo cha "Noah"..
  15. Sajenti

    Kwa Thomas - Kimara bucha

    ....Hivi na ule mjengo uliopo pale kimara sijui ndio wanaita korogwe uande wa kushoto kuelkea Moro unaodaiwa kuwa ndio ilikuwa garage yenyewe bado analimiliki au FBI walipiga stop kutumika tena?
  16. Sajenti

    Madirisha ya Aluminium vs madirisha ya Mbao

    ..Tuko pamoja mkuu...
  17. Sajenti

    Mambo Ndiyo Yanaanza Hivi .........

    Ni wazi jamaa mweye kitofari hafanyi utani....
  18. Sajenti

    Nelson Mandela dead: World mourns loss of 'Madiba'

    I named my Son after his name few months ago R.I.P. Madiba.
  19. Sajenti

    Mtambuzi kimya changu: Niko Vacation ukweni UPARENI MAMBA PARANE...!

    Mukulu niliwahi kufika sehemu moja huko upareni inaitwa bwambo unapitia Gonja jamaa tuliyekuwa naye anaendesha Landcruiser GX lakini mshikaji alifika sehemu tukakutana fuso linateremka alitetemeka mpaka gari ikazima mlimani licha ya kuwa na 4 wheel. nakusifu kama Nadia imepanda huko basi uko...
  20. Sajenti

    Kali ya mwaka malipo ya faini ya kesi katika malori 30....haaaaah haaaaah haaaa!

    Lawsuit Paid In Full: Samsung pays Apple $1 Billion sending 30 trucks full of 5 cent coinsPosted by bladebrown83 on November 13, 2013 Posted in: Music & Entertainment. Tagged: Android, Apple, Cell Phone, iphone, Samsung, TheBladeBrownShow. 47 comments This...
Back
Top Bottom