Search results

  1. Daudi Safari

    Uchaguzi 2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

    Binafsi sioni dhambi vyama vyote kumuunga mkono Magufuli amalize kipindi chake. Otherwise ni kupoteza fedha na rasilimali. Uchaguzi si vita, bali mchezo wa hesabu. Namba zilishagoma kwingine.
  2. Daudi Safari

    CHADEMA ni chuo cha siasa

    CHADEMA is a political academy: Imewapika wanasiasa wakaiva, CCM wakawachukua. Tunashuhudia matunda ya kazi ya CHADEMA, imefikia sasa CCM badala ya kuandaa wanasiasa wake wanasubiri CHADEMA wawapike waive, halafu wao wanavuna. Is a good strategy kwa CCM, no need of much investment in academy...
  3. Daudi Safari

    Kesi namba 457: Mahakama yasema Maxence Melo na Micke William hawana Kesi ya kujibu! Yawaachia huru

    Mungu mkubwa.... Hongera kwa Max Melo na wenzake, hongera kwa Advocates Kibatala, Ishabakaki na wenzao Haki haijawahi kushindwa mahali popote!
  4. Daudi Safari

    Nimejisikia uchungu mkubwa, sababu nafahamu historia ya Mradi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Arusha

    Hii nchi inapoteza heshima kwa sababu ya kuwa na viongozi wabovu wasio na sifa ya kuwa viongozi. Bahati mbaya sana Mkuu wa nchi mwenyewe kapigwa upofu haoni jinsi anavyodhalilishwa na wateule wake. Rais kama kweli yupo kwa ajili ya watanzania wote bila kuzingatia itikadi hana budi kuchukua...
  5. Daudi Safari

    Katibu Mkuu CHADEMA Dr.Vicent alaani tukio la Mkuu wa Mkoa Mrisho Gambo kuvuruga uwekaji wa jiwe

    Kama kuna viongozi wanaivunjia heshima serikali ya Yohana basi ni huyu jamaa wa Yohana, ametufanya tuone mamlaka ni kijiwe cha kusutana na kufanya kila aina ya upumbavu
  6. Daudi Safari

    Lema amgomea Mrisho Gambo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa Hospitali ya mama na mtoto

    Mkuu wangu wa Mkoa wa Arusha umekula maharage ya wapi?
  7. Daudi Safari

    Mbunge Lema Aweka jiwe la Msingi ujenzi wa hospitali ya mama na mtoto Arusha

    Hongera sana Mbunge Lema, juhudi zako tumeziona.... Endelea na moyo huo kuwatumikia wananchi wako, usikate tamaa pambana kikamanda achana na hao wanaotafuta sifa na utukufu kule fb tunawajua na wao wanajua tunawajua kwamba ni hewaaaa
  8. Daudi Safari

    Mwalimu atekwa afanyiwa unyama Jijini Arusha

    Kweli kama hapa ndipo tulipofikia nchi hii, Mungu anaona
  9. Daudi Safari

    Tetemeko kubwa la Ardhi laikumba mikoa ya Mwanza, Kagera...

    Poleni sana ndugu zangu wa Bukoba mliopatwa na matatizo
  10. Daudi Safari

    Afikishwa Mahakamani kwa kumtisha Rais Magufuli kupitia mtandao wa WhatsApp

    Huyu mtu ni nani kawezs kumtishia rais mpaka akaogopa? Duh! Pole baba kwa kuogopeshwa na huyo mtu
  11. Daudi Safari

    Arusha: CHADEMA yailambisha Shubiri CCM waliyoitengeneza wenyewe siri yafichuka

    Meya Laurence Hedi na Madiwani wako Rudisheni fedha za umma Mkurugenzi awadai hata Marehemu Jubilate Kileo na Bashiri Msangi. Si ni hela za umma? Kadai tu. Meya Gaudence Lyimo na madiwani wake Mkurugenzi awadai fedha za umma zirudi. Huu mchezo hauhitaji hasira
  12. Daudi Safari

    Anguko sasa ni dhahiri

    Anadhani kukumbatia jeshi ndiyo amani. Amani ni tunda la haki, kama hakuna haki hakuna amani
  13. Daudi Safari

    TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

    Tuulize hao washauri anao? Je, anashaurika? Ni vyema tukajua kama hao washauri wapo, isije kuwa yale mambo yetu ya ratili
  14. Daudi Safari

    TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

    Ifike mahali sasa washauri wa rais wamshauri mtukufu rais, na rais sasa akubali kushaurika kwa maslahi ya nchi yetu na watu wake. Vinginevyo rais anaweza kulitumbukiza nchi katika matatizo makubwa
  15. Daudi Safari

    CHADEMA ishitakiwe na jeshi la polisi kwa usumbufu

    Unashtaki kwanini hawakuandamana? Kamanda Sirro amewapongeza CHADEMA kwa uzalendo wa hali ya juu waliouonyesha
  16. Daudi Safari

    Sheikh wa Dar: Rais Magufuli ni sawa na Omar bin Khattab(RA)

    Mtukufu nchi duniani ni moja tu ndivyo maandiko yanavyosema. Hata hivyo maandiko hayakusita kutuhabarisha juu ya wale wajikwezao
Back
Top Bottom