Search results

  1. M

    Mapato na Matumizi ya zaka, sadaka, fungu la kumi na michango 'Makanisa ya Walokole'

    Tatizo la usiri wa mapato na matumizi katika makanisa ya 'walokole' limechukua sura mpya baada ya kujitokeza vilio vya baadhi ya waumini toka makanisa mbalimbali ya madhehebu hayo wakitaka uwazi juu ya matoleo yao. Hali hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na viongozi wakuu wa makanisa...
  2. M

    Kupitisha Bajeti; binti wa Nyerere 'HAPANA', binti wa Sokoine 'NDIO'.

    Msimamo kati ya familia mbili maarufu katika historia ya taifa hili umekuwa tofauti ndani ya bunge la bajeti, baada ya Mh. Leticia Nyerere kupiga kura ya 'Hapana' huku binti wa marehemu Sokoine akipiga kura ya 'Ndio'. Hii ndio demokrasia ya kweli miongoni mwa kada ya wabunge wa viti maalum...
  3. M

    Tunaibiwaaaaaa! Jamani wateja wa Vodacom someni hapa!

    Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia na kuchunguza kinachoendelea katika mitandao mbalimbali ya simu hapa nchini. Leo naona ni siku mwafaka kuweka bayana jinsi Vodacom inavyoibia wateja wake kama ifuatavyo: Leo asubuhi saa 10:48 salio langu lilikuwa shs.278.21 - saa 11:33 ni shs.278.17 - saa 12:29...
  4. M

    Wakubwa wizara ya nishati na madini waitwa na wawekezaji Canada

    Ishu ya mgogoro baina ya wawekezaji wa mgodi wa Tarime na wakazi wa Nyamongo (mauaji ya polisi dhidi ya raia wasio na hatia) imechukua sura mpya baada ya vigogo kadhaa toka wizarani kuitwa nchini Canada kuelezea yaliyojiri!
  5. M

    Magamba vs. Magwanda!

    Hali ya kisiasa nchini Tanganyika (Tanzania Bara) ni tete sana, ikichagizwa na malumbano vulugu-vulugu baina ya wenye magamba na wanaovaa magwanda. Haya malumbano yote nayo mwisho wake ni nini? Before 2015, something terrible will happen. Just take note, I stand to be corrected!
  6. M

    F.B.I showing interest in social networks

    On May 05th 2011, I got an email from an insider in the US informing on the special task by the government agency to check data flow from various e-forums including and not limited to those operated in the third world countries. JF can't skip the list due to its openness, the word is 'we are...
  7. M

    Bongo nako kuna Wahafidhina japo ni wachache

    Siasa za Tz(Bongo!) zimetawaliwa kwa kificho na mitazamo hasi ya kihafidhina na sio ya kiliberali kama chama tawala kinavyotaka wananchi waamini. Mwelekeo huu wa kiutawala ndio haswa chanzo cha taifa letu kuwa nyuma kimaendeleo kwa jinsi ambavyo watawala wanakumbatia uozo wa kila aina na...
  8. M

    Uv-CCM kuongoza sekretariet mpya ya NEC kiaina

    Baada ya anguko kuu la Makamba na sekretariet yake kama ilivyokuwa ikitarajiwa na wengi hususan wapiga debe mahiri ndani ya UV-CCM wakiongozwa na RZ1, sasa kinachofuatia ni mapinduzi kamili kwa vijana kupata nafasi nyeti ndani ya sekretarieti mpya. Kila la heri UV-CCM, wazee wakishindwa ni...
  9. M

    Pinda angeweza kufanya ziara wizarani, why Kikwete?

    Ziara anazofanya JK katika wizara za serikali ni dalili ya kutojiamini kwa PM wake, kama angekuwa na msisimamo thabiti Waziri Mkuu Pinda angeweza kuwaita mawaziri ofisini kwake na kuwapa maelekezo stahili kwa lengo la kuboresha utendaji wao. Wake-up Pinda!
  10. M

    President Kikwete's 20days world record marathon!

    In just less than 20 days, President Kikwete has flown over a record five countries destinations in Africa and Europe, landing in different capital cities like Nouakchott, Abidjan, Kinshassa, Paris, Addis Ababa. Next destinations could be such as New York, Abu Dhabi, Tripoli, Mogadishu...
  11. M

    Jamani nani kamuona prezdaa wangu JK kipenzi cha wengi+1st Lady Mama K, nimewamiso!

    Haki ya nani wallahi, nimemmiso sana prezdaa wangu JK na 1st Lady wetu wa ukweli, Mama K! Nani kawaona hivi karibuni? Well, nawapa Hi, popote walipo....wajue tupo watanzania wengi sana nyuma yao kuwasapoti, hususan katika kipindi hiki kigumu cha vuguvugu la maandamano ya 'amani' barani Afrika!
  12. M

    Rwanda, Burundi, Zambia, Uganda, Kenya hawana mgao wa umeme, why Tanzania?

    Yaani inaboa sana jinsi Tanesco wanavyotunyanyasa wa-Tanzania na huu mgao wa umeme. Haiingii akilini hata kidogo kwamba majirani zetu wa Afrika Mashariki na Kusini wako ok kabisa, kwao mgao ni ishu ambayo wanaisikia tu kwenye vyombo vya habari ikitusumbua sisi hapa kwetu. Je Tanesco na serikali...
  13. M

    Jua la mchana saa sita: na hizi ni ngurumo za radi kweli au kuna mahali kimeitika!

    Nimepata msg sasa hivi, hapo bongo jua linawaka vilivyo, ila kunasikika ngurumo kama za radi au! Isije ikawa kuna sehemu kumeshaitika! Endapo kuna mtu aliye karibu au anayesikia hizo sauti za radi mchana huu wa jua kali hasa maeneo ya ubungo/kigamboni/tabata/changanyikeni/lugalo/tegeta au sijui...
  14. M

    Jeshi la Polisi laonyesha utii kwa Dr.Slaa na kumdharau JK (AMIRI JESHI MKUU)

    Kufuatia hotuba ya Amiri Jeshi Mkuu, JK, ya 28/02/2011, kuhusiana na maandamano ya cdm kanda ya ziwa chini ya viongozi wake wakuu, ni dhahiri kuwa polisi wamefyata mkia na kuacha maandamano hayo yasonge mbele bila kubugudhiwa. Hii inaashiria kuchepuka kwa jeshi hilo kutoka utii wake kwa mkuu wa...
  15. M

    Ngoma inogile: namuombea JK afya njema!

    Walisema wahenga 'ngoma inogile' na 'asiye na mwana aeleke jiwe'. Ooo wadiba eee, mwanangu leo kapika kisamvu! Mambo ya ukwereni hayo, wewe utayaweza!. Sasa wadau wenzangu wanajf ishu iko hivi: kuna umuhimu sana wa kutakiana kila la heri na afya njema hapa jf, na mimi kwa kuanzia namuwish good...
  16. M

    Serikali ya JK imeiva kama embe dodo; iko hatarini kudondoka anytime soon!

    Nikiwa kama mwananchi mzalendo mwanamapinduzi na mpenda demokrasia, nachelea kusema bila chuki binafsi dhidi ya JK, kwamba wakati wowote kuanzia sasa serikali ya ccm itaondolewa madarakani. Anayethubutu kupinga hoja hii, basi ajitokeze hadharani hapa jf, vinginevyo tukae kimya tusubiri mambo...
  17. M

    Mshahara wa dhambi ni mauti: JK, PINDA, RA, NGELEJA, mko tayari?

    Kwa jinsi mnavyozidi kugubikwa na dhambi ya uongo mkuu ambao unalenga kuliangamiza taifa letu, basi mkae mkijua ya kuwa hamchezi mbali na malipo ya dhambi hiyo, na mauti yakiwafika ghafla umma wa Tanzania hautalaumiwa. Mshahara wa dhambi ni MAUTI; JK, PINDA, RA, NGELEJA, mko tayari kupokea...
  18. M

    Kadi yangu ya CCM niifanye nini?

    Tuko maelfu kwa maelfu wanachama hai kabisa wa chama cha mapinduzi, lakini tumechoshwa kabisa jinsi chama kinavyozidi kutumbukia shimoni kila kukicha, tufanyeje? Na hizi kadi zetu tumeshazilipia hadi Dec.2011, tuzifanye nini? JK uenyekiti umemshinda, na Msekwa umri umesonga, Makamba ndio...
  19. M

    Khanga Moko Laki si Pesa jamanii eee!!!

    Ni leo ucku & every Wed nite, never mis the sweet looks with our lovely african beauties @ the Continental! Khanga moko tepetepe, utajibeba mwenyewe mie simo! http://youtu.be/klMUOPAZyrI
  20. M

    Una-click 'New Post' ndio unachangia mada?

    Yaani, nawashangaa sana baadhi ya members humu ndani, wanapitwa na mada muhimu sana, kisa wao ni kuhit button ya 'New Post' kila wanapolog kwenye JF. Acheni uvivu jamani, mjitahidi kuperuz na kudadisi mada mbalimbali sio kuishia kwenye headings tu, ok?
Back
Top Bottom