Search results

  1. Limbani

    Toyota IST for sale

    Imeuzwa
  2. Limbani

    Natafuta laptop (used) au mpya

    Habari wakuu. Natafuta laptop iwe used ama mpya yenye RAM 4gb na hdd 500gb. Mwenye nayo ani pm kwa mazungumzo zaidi
  3. Limbani

    Naomba msaada wa dawa ya kuondoa vipele nyuma ya kichwa

    Habari wakuu, naomba msaada wa dawa ya kuondoa vipele nyuma ya kichwa
  4. Limbani

    Iphone 5

    Habari wakuu. Nahitaji iPhone 5 iwe 5c or 5s mpya au used unlocked. Bajeti yangu 600,000/= lakini naweza ongeza kutokana na hali ya simu.
  5. Limbani

    Msaada iPhone 4S haiwaki!

    Habari ya jioni wakuu, Judi niliiweka kwenye charge simu yangu iPhone 4S na nikalala, after 5 hours nikaamka ikawa very hot na imezima. Kila nikiwasha inagoma mpaka sasa, naomba msaada wa nini cha kufanya au Kama kuna mtaalamu wa kuweza kutatua tatizo hili. nitashukuru kwa msaada wenu
  6. Limbani

    Msaada TGF

    Habari wakuu Naomba msaada wenu, nahitaji kujua mshahara wa serikali TGF kwa mwaka 2009/2010 ulikuwa sawa na shilingi ngapi pia na wa 2010/2011 nao TGF ilikuwa shilingi ngapi?
  7. Limbani

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    Wakuu, Jamaa huyu ambaye ni Mkurugenzi wa NSSF Dr Ramadhani K. Dau amezuia mchakato wa ugawaji wa viwanja Mafia sababu yeye na mdogo wake Mbaraka hawajapata viwanja vyote wanavyovitaka!! Madai yake kwamba waliopewa si "wenyeji" wa Mafia bali tu ni watumishi wa serikali walioletwa Mafia hivyo...
  8. Limbani

    Tanzania kucheza na Chad Kombe la Dunia 2014

    Tanzania itaanza na Chad kwenye michuano ya awali ya Kombe la Afrika 2014 na kama itashinda itakuwa kundi C pamoja na Ivory Coast, Morocco na Gambia. Group A: South Africa, Botswana, Central African Republic, Somalia or Ethiopia Group B: Tunisia, Cape Verde Islands, Sierra Leone, Equatorial...
  9. Limbani

    CHADEMA, CUF wahoji usafi wa Rais Kikwete

    • Wamtaka atangaze mali zake, wadai naye ni fisadi na Irene Mark na Bakari Kimwanga KAULI mbiu ya ‘kujivua gamba’ ya Chama cha Mapinduzi (CCM) inaendelea kuwa mwiba mchungu kwa chama hicho baada ya wananchi kuhoji...
  10. Limbani

    Msaada kwenye Dell Larirude D610

    Habari wakuu. Nina laptop yangu Dell Latitude D610 betri yake haichaji na pale kwenye icon ya charging inawaka rangi ya orange mara nne then kijani mara moja. Niondoa power source laptop inazima ikonesha kwamba betri ni empty. Nikadhani labda tatizo ni betri hivyo nikanunua mpya lakni bado...
  11. Limbani

    Ten Commandments of Mzee

    Habari ndugu zangu. Kwa wale wanaokumbuka mzee punch (UDSM) miaka ya nyuma mnaweza kunikumbusha Amri kuu 10 za Mzee!!?
Back
Top Bottom