Search results

  1. J

    Walimu wa sekondary tunamitihani

    Nin kifanyike kunusuru hili janga la elim?tusaidiane jaman mana tunaoumia ni walim wa sec.wakuu wao wanakula bata.
  2. J

    Hivi ni kweli castle lite inapunguza hamu ya 'sex'?

    Acha kutumia kwanza wakati unatafuta jibu kutoka kwa wataalam(hicho sio chakula)ukiacha kwa mda si viabaya.
  3. J

    Matokeo ya Kidato cha Pili 2012, Shule zakosa wanafunzi wa kidato cha TATU 2013!

    Hii ndo elimu ya kibongo,jaman siasa hadi kwenye elimu,serikali imekosa msimamo katika sekta ya elimu. take care.
  4. J

    Matokeo ya Kidato cha Pili 2012, Shule zakosa wanafunzi wa kidato cha TATU 2013!

    matokeo yakiwa mabaya zaid,serikali ya(kibongo) tz kwa kukosa msimamo kama kawaida najua itatoa tena msamaha.
  5. J

    Matokeo ya Kidato cha Pili 2012, Shule zakosa wanafunzi wa kidato cha TATU 2013!

    Kuhusu matokeo ya fom II Walimu wasilaumiwe,wala wanafunzi hawajafeli serikali ndo imefeli.
  6. J

    Matokeo ya Kidato cha Pili 2012, Shule zakosa wanafunzi wa kidato cha TATU 2013!

    Hii ndo elimu ya kibongo,jaman siasa hadi kwenye elimu,serikali imekosa msimamo katika sekta ya elimu. take care.
  7. J

    Matokeo ya Kidato cha Pili 2012, Shule zakosa wanafunzi wa kidato cha TATU 2013!

    Serikali imefeli kuhamishia sekondar wahitimu wote wa darasa la 7,bila kuzingatia vigezo hakuna sababu kukariri fomu II.
  8. J

    Matokeo ya Kidato cha Pili 2012, Shule zakosa wanafunzi wa kidato cha TATU 2013!

    Kama hali ndo hii tusubirie matokeo ya darasa la 7 hapo ndo itakuwa kichekesho,walimu wa sekondari jiandae kupokea mzigo
  9. J

    Matokeo ya Kidato cha Pili 2012, Shule zakosa wanafunzi wa kidato cha TATU 2013!

    Mgomo si chanzo,tatizo ni msingi wa elimu,kama mwanafunzi wa sekondar hajui kusoma na kuandika amefauluje darasa la saba
  10. J

    Sijui kama siku hizi zipo hizi

    Nimeheka mbona neno la kinyaturu,na we nimnyatu?
  11. J

    Sijui kama siku hizi zipo hizi

    Na hii ya kulala na nguo mpya au viatu vipya mnaikumbuka wanajamii?
  12. J

    Sijui kama siku hizi zipo hizi

    Kunyolewa nywele na kiwembe butu.
  13. J

    Faceboo ya kibongo

    Facebook ni mtandao wa kihuni,najilaum kwanin nilijiunga.binafsisiipendi
  14. J

    Old is Gold: Good music never dies

    kila cku nyimbo za zaman zinazid kupata umaaruf,bongoflavor zinautam wa bigij
  15. J

    Nisaidieni jina la huu wimbo

    Huu wimbo cjausoma
  16. J

    Balozi wa ving'amuzi vya Zuku, Anti Ezekiel...Hapa anatuonesha king'amuzi cha chupi!

    Kipi kigeni anachokionesha,anajidhalilisha 2,hana wazaz au ndugu?
  17. J

    jobz

    Tuko pamoja sana.
Back
Top Bottom