Search results

  1. allantence

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kimpira , Son anastahili kuwekwa hapo Kwa mane kama vigezo ni effort. Nashangaa imekuaje pale, na Ronaldo anafanya nini humo?
  2. allantence

    Msala ambao siwezi usahau kamwe

    Stori nzuri Sana kaka, ila nauliza miaka ya 2020+ then ukakaa miaka 15 mbele , je wewe ni time traveler?
  3. allantence

    Uwezekano wa Mbowe kustaafu 2023 ni mdogo sana kwa sababu anahitajika sana kwenye Maridhiano

    Wanachama wa chama kipya na viongozi wao ni Hawa Hawa wa kutoka CCM na CHADEMA? Kama jibu ni ndio basi CCM na CHADEMA bado wapo Sana. Endelea kutamani iwe hivyo ila haitatokea . Lengo la katiba mpya wenye nchi wamejifunza jinsi matumizi mabaya ya madaraka Kwa ngazi ya juu yanavyoathiri nchi, na...
  4. allantence

    Wasanii wakiniona wanataka kukimbia

    Umehama sabasaba?
  5. allantence

    Akaunti ya Benki ya mtu aliyefariki

    Ni gazeti la uhuru au lolote la serikali?
  6. allantence

    Msaada: Nahisi mdogo wetu wa kike kaongopa kuwa yupo field ila nahisi huenda kafungiwa na Mwanaume huko mkoani

    Ndio, wanafunzi wapo field Kondoa Nina mdogo wangu yupo field na Jana tu nilikuwa nao.
  7. allantence

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Hahahahahah kumbe Sasa hapo nimeelewa , Kwa hiyo bwana dimpo anammind mwenzake kumchukulia bwana hapo kati, je yule mbwatukaji wa mtoni ye hayupo kwenye kilinge Cha kina kinomanoma na dimpozi?
  8. allantence

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Yani hapo ndio umeniacha kabisa kwenye kinomanoma hebu weka code rahisi mwenzio umande nilipishana nao kuelewa code hadi Niwe na dictionary.
  9. allantence

    Mnadani, Msalato

    Upo maeneo hayo ? Tujumuike?
  10. allantence

    Dark days 17/03/20...

    Hapo kwenye choice malizia vizuri , the other one ni nan? So born town kuna mtu anamhofia ? Kuna mtu anakula naye sahani moja ? Ni nani huyo hebu malizia hapo riwaya vizuri ni bonge la stori kudos yoga Wewe ni mwandishi mzuri.
  11. allantence

    Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

    Heheheh kumekucha , wamemchoka? Ila Sasa umesoma hapo juu kwanza para ya mwanzo?
  12. allantence

    Dark days 17/03/20...

    Tumia akili kapost muwahi jamani ila old CEO kwishney.
  13. allantence

    Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    @Charles Mandela Habari, za kitambo kidogo? Nadhani nakumbuka kukuuliza hili swali na ukatoa ufafanuzi, Sasa Kwa muktadha huo huo ambao umeuelezea hapo, Simba ndio waweka madarakani kina sauli, Simba ndio wanaoshikilia intellijensia ya raisi wa kina valuvalu, je sauli katumwa kama kujihami...
  14. allantence

    Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Dooh, ila kudos Kwa wote Simba na Chui aisee hao ni mifano hai ya kuigwa , wamepambania vya kwao na jamii zao wameshinda . Je kuna dalili za kuinuka jamii nyingine kama hizo?
  15. allantence

    Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Dooh na iliishia hapo sikuona Tena chokochoko .
Back
Top Bottom