Search results

  1. Tokez

    Tunakidisha TV kwaajili ya sherehe mbalimbali

    Habari zenu wakuu! Tunakodisha Tv na vifaa vya video production kwa ajili ya sherehe mbali mbali kama harusi,send off na nyinginezo.Tupo Ubungo Dar es Salaam. Nyote mnakaribishwa Kwa mawasiliano zaidi piga 0714400422 Au 0687123813 Ahsante!
  2. Tokez

    Msaada wa platform ya kuinvest (Investment)

    Hii inafanyaje kazi? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Tokez

    Msaada wa haraka kuhusu kupata TIN number ya kampuni na kufungua account ya kampuni bank

    Naona private text zinagoma kuja kwako sijui tatizo nn
  4. Tokez

    Msaada wa haraka kuhusu kupata TIN number ya kampuni na kufungua account ya kampuni bank

    Habari za weekend! Nina kampuni yangu nimefungua tangu mwaka 2017 lakini nilishindwa kumalizia process za kupata TIN NO. na leseni ya biashara so naomba msaada kwa anayefahamu ni vitu gani vinahitajika ili kukamilisha zoezi hili? Aina ya kampuni ni limited na tupo directors wawili ila jamaa...
  5. Tokez

    Natafuta mtu wa kubadilishana nae

    Natafuta mtu wa kubadilishana nae yeye aje dar es salaam mimi niende morogoro. Kada elimu sekondari Nipo wilaya ya Ubungo Kama yeye atakuwa wilaya ya mvomero itakuwa poa ndio wilaya ninayotaka. Mawasiliano ni 0714400422
  6. Tokez

    Nakodisha projector

    Nipo dar es salaam
  7. Tokez

    Nakodisha projector

    Nakodisha projector aina ya Acer bei tsh 50,000/= kwa siku.Kwa mawasiliano piga simu namba 0714400422.Karibuni wote.
  8. Tokez

    Wale wa miaka ileeee!!

    Dah!Sitasahau hadithi ya Bint chura kila jumamosi saa nane mchana,natamani wairudie niiaikie tena ilikuwa kama sio 1991 basi 1992 RTD kipindi cha mama na mwana mtangazaji nimemsahau
  9. Tokez

    Vifaa vya umeme vinapatikana

    Karibu sana
  10. Tokez

    Vifaa vya umeme vinapatikana

    Ukitaka kujua unatumia unit ngapi au mpangaji wako anatumia unit ngapi basi ufumbuzi ni separate meter,unaweza kumfungia kila mpangaji na yake ili kuepusha malalamiko fulani anatumia unit nyingi,bei Tsh 23,000/= tu.
  11. Tokez

    Vifaa vya umeme vinapatikana

    Katoni 1 zinakaa kumi,kwa bei ya jumla 1@18,000 jumla itakuwa 180,000/= ila ukitaka moja nitakufanyia 20,000
  12. Tokez

    Vifaa vya umeme vinapatikana

    Tuma orodha ya vitu unayoihitaji nitakupa bei na kama unanjia ya usafiri au huna tutaongea tufanye biashara
  13. Tokez

    Vifaa vya umeme vinapatikana

    Tsh 68,000/=
  14. Tokez

    Vifaa vya umeme vinapatikana

    Tunauza vifaa vifaa vya umeme aina zote.Tupo Karia koo mtaa wa Swahili/Narung'ombe Dar es salaam. Jipatie fen,bulb touch,switch,switch socket,pasi,waya,top plug,multi plug, extension,circuit breaker,separate meter,contactor, na vingine vingi. Kwa wenye maduka madogo njoo tutakufanyia kwa bei ya...
  15. Tokez

    Msaada kuhusu biashara ya phones, phone accessories na vifaa vya umeme

    Andika mahitaji yako kisha nitumia nikupe bei ya jumla,Nina duka lipo Karia koo mtaa wa Swahili tunauuza vifaa vya umeme kama unahitaji nitakuuzia kwa bei ya jumla na faida utaiona.
  16. Tokez

    Mwenge wa Uhuru

    Sioni umuhimu wake kwani miradi mingi mbona inazinduliwa bila huo mwenge.Kwa kifupi hauna manufaa zaidi ya kupoteza pesa,muda na utuletea umasikini kwa kuchangia mafuta na kuwalipa wanao ukimbiza.Mi nafikiri kama fedha hizo zingewekwa zingesaidia kukarabati barabara zilizoharibika maana bajeti...
  17. Tokez

    Magari ya mizigo kupaki barabarani

    Hivi haya magari ya mizigo kupaki barabarani maana yake nini pale kituo cha mwananchi barabara ya mandela utakuta magari kibao yapo yamepaki barabarani bila wasiwasi yanasababisha foleni halafu hakuna hatua zinazo chukuliwa kwa madereva.Kwa kweli hili linakera sana linasababisha foleni isiyo na...
Back
Top Bottom