Search results

  1. N

    Hakuna wa kunishawishi: Hayati Magufuli ni Rais bora wa awamu zote

    Tanzania hatujawahi kuwa na rais asiyefaa Kama alivyokuwa Magufuli, Ni bahati tu kwamba hakukaa miaka mingi kama wenzake vinginevyo tungekuwa na historia kama Ile ya Amin kwa Uganda
  2. N

    NEC: Jina la Tundu Lissu liko mwisho wa karatasi ya kupiga kura kwasababu alirejesha fomu akiwa wa mwisho

    Hii Kali, kwamba kwenye urais walifata nani alianza kuingia ofisi za tume lakini kwenye ubunge walifata alphabet
  3. N

    Sheikh Mwaipopo: Tundu Lissu alikuwa mwanasheria na mbunge, kwanini hakuwatetea Masheikh waliopo Gerezani?

    Nadhani umekariri tu, miaka inabadilika na nyakati zinakwenda, kama Chadema leo wanapata kura za wazanzbar ni kwamba maisha yanabadilika, kama chadema wanapata maelfu ya kura toka tanga,mtwara na Lindi basi mengine ni kukariri tu, mwaka 2015 Chadema wamepata kura nyingi sana dar, sio kwamba jina...
  4. N

    Uchaguzi 2020 Nini kimewapata wapiga debe wa CHADEMA mitandaoni, Wamepoa ghafla , au ni baada ya kupima upepo?

    Nguvu ya chadema mitandaoni ni Mara kumi zaidi kuliko Ccm, kama huoni labda akili yako ndo imechoka
  5. N

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu Mkoani Ruvuma

    Kyela na Rungwe hatujamwona Lissu wala Salum Mwalim, tunawahitaji
  6. N

    Uchaguzi 2020 Vijijini mwamko ni mkubwa mno katika mikutano ya Tundu Lissu

    Usisahau kwamba Lowassa alikuwa anafanya mkutano mmoja mkoa mzima, Lissu ni hatari ameongea na watu wengi Mara tano au kumi zaidi ya lowassa, na kitendo cha kumnyima helkopta kimekuwa na faida kubwa sana kwake kuliko angaeitumia
  7. N

    Uchaguzi 2020 Picha: CHADEMA yaendelea na kampeni Mbarali , CCM hali mbaya

    Shida inabaki kwa mawakala, wakiweza waweke mawakala wa wa chadema na vyama vingine
  8. N

    Wafanyabiashara mkoa wa Arusha watangaza kumuunga mkono Rais Magufuli

    Mbwembwe za siasa tu, watu wenyewe hawana hata amani wanaonekana wamekusanywa na kuletwa kwa nguvu ya wenye fedha au wenye madaraka, tusubiri tuone
  9. N

    Uchaguzi 2020 Hivi pamoja na "promo" yote ya mabango yaliyotapakaa nchi nzima, ni kwanini CCM inapelekwa mchamchaka na Tundu Lissu?

    Nilimwona alipokuja kwetu msafara wake sidhani kama hata trump anaweza kufanya vile
  10. N

    Uchaguzi 2020 Tulia Ackson, Wana Mbeya tunasema fedha siyo za Rais fedha ni za umma, usitupotoshe

    Ndo mgombea pekee anayeongea kama vile anasutana kijiwe cha wasusi
  11. N

    IGP Sirro: Si kazi ya askari kusema huyu atashinda ama hatashinda, hatua za kinidhamu zitachukuliwa kwa askari wetu tukibaini makosa

    Sirro akichukua hatua atatupoza wengi, make huyu askari alivuka kabisa miaka ya kazi yake
  12. N

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na mwamko mpya kiushawishi

    Hata mie nilikuwa naona hivyo mwanzoni lakini sasa inaanza kuona hali inabadIlika kwa kasi, nahisi kuna ujasiri wa kuzungumza umeongezeka kidogo maana wengi wamemgeukia lissu na kuahidi kumpa kura
  13. N

    Video : Mbeya moto ! Sugu atikisa tena , awachezesha dansi wapiga kura jukwaani , uwanja walipuka kwa shangwe

    Tulia anazunguka na kakikundi kake ka wanafunzi kila mahali, kusema ukweli ni ngumu sana kwa Ccm kushinda Mbeya
Back
Top Bottom