Search results

  1. T

    Hii ni kwa Wanaume tu.

    Umemuona mwanamke ukampenda mtu mzima ukaamua kumuapproach kwa gia ya urafiki,baada ya muda ukaamua kumwambia hisia zako za kweli then Anakureject(Anakutosa).Sasa naomba niwaulize kuna umuhimu wa kuendelea kuwa marafiki na huyo mtu?
  2. T

    Ps3 games

    Niachie contacts zako bac.
  3. T

    Nokia Lumia 920 is better than the Apple iPhone 5

    Yaani mkuu ucje sema hivyo Marekani coz utachekwa vibaya, Kamwe Nokia haiwezi funika iphone coz competition ya iphone hv sasa ni Samsung Galaxy s3 na HTC one X, "Nokîa + Microsoft=Complete Disaster. "
  4. T

    How do you treat Social Anxiety Disorder?

    Habari zenu wakuu, nilikuwa naomba mnijulishe ni jinsi gani mtu anaweza akautreat ugonjwa wa Social Anxiety Disorder coz nina mdogo wangu ambaye I think anao coz dogo ana aibu ile mbaya hadi inafikia point anaogopa oppposite sex(females), so naomba mnisaidie coz nasikia huu ugonjwa unaweza...
  5. T

    Ps3 games

    Habari zenu wakuu, nilikuwa naomba mnisaidie sana by kunijulisha ni wapi exactly naweza nikapata CD Za Ps3 in large stock i.e naweza nikaorder CD ambayo haipo Dukani.
Back
Top Bottom