Search results

  1. M

    Je, ni kweli kuwa Morocco ni Waarabu na si Waafrika?

    wkatae uafrika wakubali sisi tunachojua mpaka kucheza world cup wametokea kwenye mashindano yaliyoandaliwa na CAF na wamecheza na ku qualify kupitia timu za Africa na kuwakilisha Africa wakiwa pamoja na Cameroun, Senegal, Ghana naTunisia. Na mpaka nafasi waliyofikisha tunaofaidika ni Africa na...
  2. M

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aache kuzungumzia masuala ya kupigwa risasi kila Mkutano

    Inaonekana umekaririshwa na hufuatilii kampaini. Nkushauri ufuatilie kampaini ujue kinachoongelewa kuliko kukariri tu
  3. M

    Uchaguzi 2020 Nini siri ya mafanikio ya wagombea wa CCM katika ujazaji na urejeshaji fomu za uteuzi?

    Husitufanye hatujui kusoma sheria. Leo ndio ilikuwa siku rasmi ya kurudisha form tarehe 25/08/2020 kuanzia saa mbili mpaka kumi jioni. Wewe umeisoma sheria ipo
  4. M

    Uchaguzi 2020 Nini siri ya mafanikio ya wagombea wa CCM katika ujazaji na urejeshaji fomu za uteuzi?

    Husitufanye hatujui kusoma sheria. Leo ndio ilikuwa siku rasmi ya kurudisha form tarehe 25/08/2020 kuanzia saa mbili mpaka kumi jioni. Wewe umeisoma sheria ipo
  5. M

    Uchaguzi 2020 Nini siri ya mafanikio ya wagombea wa CCM katika ujazaji na urejeshaji fomu za uteuzi?

    Husitufanye hatujui kusoma sheria. Leo ndio ilikuwa siku rasmi ya kurudisha form tarehe 25/08/2020 kuanzia saa mbili mpaka kumi jioni. Wewe umeisoma sheria ipo
  6. M

    Uchaguzi 2020 Msajili: Mgombea aliyesema ataingiza watu barabarani kama akishindwa Urais ametoa lugha za vitisho, siyo ustaarabu

    Hajasema endapo atashindwa (feli) bali endapo kura zake zitafanyiwa figusi figusi na kuibiwa au kuchakachuliwa. Waweke sawa maneno yao na ana wasi wasi gani kama anajua hakuna wizi
  7. M

    Car4Sale Miliki gari ya heshima Fortuner ya mwaka 2013

    Ili gari ni zuri lakini tatizo lake ni kutokuwa stable barabarani
  8. M

    Mheshimiwa Tundu Lissu hivi kule Dodoma 'uliposhambuliwa' hukuweza 'Kumkariri' hata 'Muuaji' Mmoja pekee?

    Kwa wanaume wa Dar hiyo ni porojo angesema mtu wa Tarime au machali wa Arusha ningeelewa zaidi
  9. M

    Nani analipia gharama za urushwaji wa Matangazo ya Moja kwa Moja (LIVE) kwa Vyombo Binafsi vya Habari?

    Tunaongelea mkutano wa CCM ambao nadhani ulikuwa siku tatu au kuapishwa kwa kila siku DED, DC, RC na makatibu tawala
  10. M

    Uchaguzi 2020 Pierre Liquid atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Iringa Mjini, asema Msigwa anang'oka pale

    Kwani Bulaya ana tatiz gani, au hujui ni msomi na mwandishi wa habari nguli?
  11. M

    Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

    Nadhani unatakiwa kutofautisha kati ya dola na serikali ndio urudi kwenye mjadala
  12. M

    Mr President Magufuli: Ipo siku watakuja kujua hekima uliyoitumia katika kutatua janga hili

    Mpaka ijumaa ilikuwa hivi Cases: 16,467 Deaths: 1,293 Recover: 118 Sasa unataka tumkumbuke kwa mauaji ya kimbali?
  13. M

    Corona inawaondoa Mbowe, Zitto et al kama Brexit ilivyomuondoa Jeremy Corbyn

    Wewe badala ya kumwona aliyejificha Rubondo unaongelea hawa ambao wako na wanachi wanapambana na corona. Sasa angalia huyo wa Rubondo corona imemshinda na hata ukimwuliza namba ya wagonjwa na waliokufa hajui maana ameshapoteza kumbukumbu habari uko Rubondo hazifiki. Kapoteza umaarufu dunia nzima...
  14. M

    Picha baada ya Kufungwa mpaka wa Zambia na Tanzania

    Na wewe kawasaidie Watanzania maana jemedari kakimbia vita
  15. M

    Picha baada ya Kufungwa mpaka wa Zambia na Tanzania

    Safi sana maana Watanzania hamjielewe watu wanakaa ndani halafu mnazurura mnawapelekea corona, nadhani majirani wetu wote watakuja kutufungia mipaka maana kiongozi wenu anaona ni kirusi kitapita mchape kazi wakati yeye amejifungia Lubondo
  16. M

    Ushauri: X-Girlfriend ananiomba nifunge naye ndoa

    Hata mimi naona hivyo. Kwa sasa simama kama mwanaume, achana kutishwa na uwezo wake wa pesa after all ameshajifunza na amekua anatafuta mme na wewe ndio ameona ni choice wake. Chukua mke huo achana na woga, cha kwanza mchukue mkae naye mpige mimba muwe na mtoto uku ukisoma tabia zake, ukiona...
  17. M

    Spika Ndugai: CHADEMA wajiandae kulipa gharama za kesi ya Tundu Lissu kuvuliwa Ubunge

    Na yule aliyekamatwa na siraha kule Kishapu hivi ni Chadema?
Back
Top Bottom