Jamani oneni tunavyo aibika
Kama taarifa nilizoziona kwenye moja ya majukwaa ya kijamii kuhusu wana habari Arusha na RC ni kweli kwamba RC Gambo kamuombea radhi DC wa Arumeru kwa kuamuru kuswekwa rumande kwa Mwandishi wa ITV na Radio One, Halfan Liundi na kutoa pikipiki mbili kwa chama cha...
Team ya Simba chini ya miaka 20 imefanikiwa kuchukua kombe baada ya kuifunga team ya Azam Fc kwa mikwaju ya penalty 5-3 kabla ya hapo team hizi zilitoka sare ya 2-2 mchezo uliochwzwa kwa dakika 120.... Hongera team yangu ya Simba walindeni hao vijana
Waliouwa tunaruhusiwa kuwaona magereza lakini aliyetoa maono/ ndoto siyo mahakamani wala magereza tunazuiwa kumsalimia wala kwenda kusikiliza kesi yake... Hii serikali ya Mungu inataka kuwaaminisha watanzania kuwa kuota ni hatari kuliko kuua....
Kwanini nasema hivyo juzi vijana wengi...
Mnyukano wa Godbless Lema Mbunge wa Arusha mjini na Mrisho Gambo RC mkoa Wa Arusha linaendelea na sasa limeingia kwenye hatua nyingine mpya baada ya mke wa Lema kukamatwa juzi na kuhojiwa na kesho atapandishwa kizimbani...
Leo ilikuwa uwekaji jiwe la msingi ikiwa tayari kabisa ujenzi kuanza rasmi mgeni rasmi alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo laini zoezi hilo limeshindwa kufanyika baada ya mkuu wa mkoa huyo kudaiwa kuvuruga kwa makusudi hali iliyompelekea mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema...
Nimepita stand ya daladala hapa Kilombero Arusha nimekuta Gari la matangazo linamasticker ya M na mwenge siwezi kuweka hapa maana nayachukia.. swali langu kwenu wanajukwaa kumbe fiesta ni kuitangaza CCM?
Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema amesaidia vitanda vyote na magodoro yote ya zahanati ya Elerai hivyo kufanya zahanati hii kupanda hadhi kuwa kituo cha afya, Mungu akurudishie ulipopunguza, hakika Arusha tunasonga mbele na kupaa kimaendeleo.
Zahanati hii itahudumia kata ya Elerai...
Halmashauri ya Jiji la Arusha ambayo inayoongozwa chama Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) leo itagawa zaidi ya milioni 400 kwa vikundi 96 vya ujasiriamali kutoka katika kata 25 ili kuwawezesha kujikwamua kiuchumi
Zoezi hili ni la awamu ya kwanza, na linafanyika kwa mara ya kwanza katika historia...
Mmoja anasema wale watoto waliotimuliwa udom ni vilaza mmoja anasema walifaulu vizuri tu na walisitahili kuendelea na masomo huyu anaungwa mkono na waziri wa wizara hiyo wa baba jesca. ndugu zangu wanajamvi naomba kujua nani yuko sahihi na je ni kweli Baba jesca ana mtoto anasoma UDOM na alipata...
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr.Vincent Mashinji alipotembelea na kushiriki katika bunge la Afrika mashariki leo mkoan Arusha akiwa ameambatana na wajumbe Wa kamati kuu prof Baregu na Fedreck Sumaye (waziri mkuu mstaafu) na mbunge wa viti maalumu mkoa wa Arusha Mh. Cecilia Pareso,Katibu wa CHADEMA...
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UFUNDI MHESHIMIWA SUSAN ANSELIM JEROME LYIMO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KATIKA WIZARA HIYO KWA MWAKA...
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MHE. GODBLESS JONATHAN LEMA (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI YA UPINZANI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA HIYO, KWA MWAKA WA FEDHA 2016/2017
Inatolewa chini ya...
Habari njema
Halimashauri ya jiji la Arusha linaloongozwa na CHADEMA limeshinda kesi ya mil 78 dhidi ya Barack printers kampuni inayomilikiwa na Moris Makoi diwani wa Moshi vijijini ccm.
Mahakama ya rufaa imeamuru kampuni hiyo kulipa halimashauri kiasi hicho cha fedha, itakumbukwa kuwa Barack...
Na Cecilia Pareso.
Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza wafanyakazi nchini leo wanapoadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani.
Nimemsikia Rais, katika hotuba yake ameahidi kushusha kodi ya Pay As You Earn(PAYE) toka asimilia 11 ya sasa hadi asilimia 9 katika mwaka ujao wa fedha 2016/17...
TAARIFA KWA UMMA.
Kituo cha Radio 5 Arusha kitarusha live mkutano wa Baraza la Madiwani; Halmashauri ya Jiji la Arusha siku ya Jumamosi tarehe 07/05/2016.
Wananchi wote mnashauriwa kufuatilia kwa karibu mijadala itakayokuwa inaendelea kwenye Baraza moja kwa moja kupitia Radio 5 au kufika...
-Kesi ya Halmashauri dhidi ya Moris Makoi(diwani wa Moshi Vijijini)inaendelea katika mahakama ya Ardhi hapa Arusha.
Makoi amefungua kesi akipinga Halmashauri kuchukua jengo lake la ghorofa lililopo stendi ndogo (viyumba 27) pamoja na choo,ambavyo hakuwahi kulipia ushuru wa pango tangu 2005...
Kuna tetesi kwamba RC Ntibenda wa hapa Arusha anapelekwa Shinyanga sasa haikueleweka ni kichaa gani leo kilimkumba RC huyo akaita waandishi wa habari akiwaambia anaenda kukabidhiwa madawati Fibre Board kufika kiwandani akaanza kwa kuzunguka ndani kiwanda kama vile mtu aliyepoteza pochi mara...
Diwani wa Kata ya Ngarenanyuki, Ngudu Naftali amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Jana jioni alipata ajali ya kuanguka toka kwenye mti wakati akiwa anapruni.
Ikumbukwe ndiye alikuwa Diwani pekee wa CCM Jimbo la Arumeru Mashariki
R.I.P...
Lissu alaani agizo la Magufuli kwa wakuu wa mikoa ya kukamata watu ovyo.
Mwanasheria mkuu wa Chadema Tundu Lissu, ametoa maoni yake kuhusu kauli ya Rais Magufuli ya kuwaagiza wakuu wa mikoa kawakamata vijana wanaocheza pool muda wa kazi.
Mwanasiasa huyo maarufu, alisema ni wazi kuwa agizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.