Search results

  1. K

    Watanzania waliozamia Afrika Kusini warejeshwa

    Hivi karibuni nilitembelea Durban Afrika ya Kusini, nilikutana na vijana wawili wa kitanzania walinisikitisha kwa kuamua kuvuta bangi na madawa ya kulevya kwa vile eti maisha ni magumu. Niliwambia ni heri warudi nyumbani. Inafurahisha kwa mtanzania kutafuta maisha nje na kuleta nyumbani utajiri...
  2. K

    Mwananchi: Anguko Elimu - 60% Wapata sifuri, shule za Serikali Chali

    Waziri wa Elimu ajiuzuru hii ni kashfa.
  3. K

    Fine ya kuchelewesha road licence ipo vipi

    Iwapo utachelewa kulipa Motor vehicle Annual fee kwa kipindi cha siku 30 baada ya expire date utatozwa riba ya 25% on the principal amount . Tambua kuwa ku renew Annual fee ya gari ni kila mwaka. Iwapo gari imeharibika hakuna msamaha unaotolewa labda uamue kuitoa katika ujasiri...
  4. K

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    dr slaa
  5. K

    MSIBA: Kamishna wa Forodha (TRA) ndugu Walid Juma afariki dunia

    TRA na Taifa limepoteza mtu makini, mchapakazi, mkweli, mwadilifu, mpenda maendeleo ya taasisi na ambaye hakupenda wonevu kwa watu wa chini yake. Tulimpenda Walid Juma Mungu amependa kumtwaa katika ulimwengu huu AMINA
  6. K

    TRA wameniomba rushwa lakini sitoi rushwa kwenye maisha yangu

    Ukweli ni kwamba TRA iko pale kukadiria na kukusanya mapato ya serikali kwa mujibu wa sheria na kwa haki bila kumwonea mtu yeyote na pia vitendo vyovyote vya rushwa havikubaliki na hatua kali huchukuliwa kwa mfanyakazi yeyote wa TRA anayebainika kujihusisha na rushwa. Hivyo ndugu mtoa mada toa...
  7. K

Back
Top Bottom