Search results

  1. C

    Msaada kwa tatizo la kuwashwa

    Wadau hata mm Nina tatizo kama hilo ni Mda mrefu kwa sasa, inanikosesha Raha kabisa mara nyingi jion ukitoka kuoga mwili Mzima unawasha kama dk 3 had 5. Nmetumia dawa za minyoo, allergy etc. Najiuliza maswali shida ni nn ktk hi ngozi
  2. C

    Je, Nafasi za kazi zimeshaanza kutolewa?

    wakitangaza utajua tu ata watoto wadodgo watakwambia!
  3. C

    Biashara ya samaki

    PACKAGE NZURI NA MTINDO WA DELIVERY NI MUHIMU Wazo zuri ndugu, kama walivyopita washauri wengine. Kwanza unatakiwa utembelee eneo husika na kuangalia uhitaji gharama za usambazaji, pia kwa ushauri wangu kwa kuwa arusha ni jiji kubwa package yako na deliver transit inabidi iendane na mandhari...
  4. C

    Natafuta kazi ya kulisha mifugo, niko Kigamboni

    unataka uajiliwe na jimama?
  5. C

    Kuna uwezekano Safina ya Nuhu ilitua juu ya Mlima Kilimanjaro

    hakuna nchi yenye watu wa rangi nyingi kama tanzania, weupe pee, weusi tii, maji ya kunde etc, inawezezekana hii ni ushahidi tosha ya watu waliotoka katika safina na kuanza maisha mapya wengine walienda zanzibar wengine wakabaki bara. ikaitwa tanzania....
  6. C

    Ramani ya nyumba

    hiyo ni kazi ya huyu jamaa mcheki kwa hi namba 0713987471. yuko ardhi atakucholea kwa gharama nafuu.:hail:
  7. C

    Tunahitaji wasichana wa 3 wa kufanta kazi ya mpesa na tgo pesa haraka.

    hey! kelvo kuna dada mmoja ana sifa zote za kufit hiyo possition na yuko ktk process za kutafuta sehemu nyingine kutokan na mshahara kutokidhi mahitaji em onyesha range ya mshahara kwani yeye . 1]ni mwaminifu 2} ni mchapakazi 3]mbunifu 4]mzoefu 5]yuko ktk wilaya ya temeke.6]anna miaka 22. je...
  8. C

    wanafunzi kuweni makini na HLSSF

    Mkurugunzi, nilitaka kujua ni wangap? Wamepata mkopo mwaka jana? Mana nimeckia hakupata mtu. Na ni % gan ya walioomba?
  9. C

    Utambulisho-chipande

    Hodiii wana jf
  10. C

    Eti kuna ngo's inaitwa high learning students support fund( hlssf )?

    kama kuna mtu yeyote ameshawahi omba mkopo na akapata naomba nijue, coz hapa mjin wajanja wengi mdogo wangu aliomba mkopo mwaka jana serikalini hakupata now anataka a jaribu ktk h NGOS hyo niliyoitaja hapo juu. kaniuliza nimeshindwa kumpatia jibu,nikasema ngoja niwaulize wasomi wa JF. kwamba hi...
  11. C

    Mawazo yote ya kibiashara weka hapa.

    hiyo m.7 bora ufungue duka la nafaka za jumla :eyebrows:ndugu yangu. demand yake hko ju cku zote. uchague location nzuri then usimame mwenyewe ili uisome biashara na mzunguko wake kama mwaka hv.
  12. C

    Bodi ya mkopo

    , BADO NI KITENDAWILI haya ni madhara ya siasa ktd elimu. em mwnye maelezo ya kutosha tunaomba afunguke ktk hilo
Back
Top Bottom