Search results

  1. Jeni

    Mbunge kama huyu, ukiwaita baadhi ya wabunge wetu ni vilaza, utakuwa umewakosea?

    Kaka Yangu PM ukienda usisahaua na vielelezo vya uraia wako
  2. Jeni

    Msanii Wema Sepetu akamatwa kwa kuihujumu TANESCO

    Hahahaaaa nakile kisauti chake kipindi cha campaign hapa kazi tu.... Walifikiri kazi hiyo cjui kwa NANI Wallah
  3. Jeni

    Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

    Tafuta The Harper's Island ni Thriller sio Horror percee
  4. Jeni

    Natafuta mke, awe ametosheka na ngono na watoto!

    Kwa swala la watoto ila kwa ngono labda ana kisukari
  5. Jeni

    Picha: Yaliyojiri Kigoma katika mazishi ya Shida Salum (Mama yake Zitto)

    Mie hadi nime-zoom nikajua macho yananidanganya......
  6. Jeni

    T-shirt pouwa za kiafrika

    Very Creative will contact you
  7. Jeni

    Moto waunguza mitambo ya Vodacom, wadhibitiwa!

    Vodacom Switch ilikuwa inawaka moto inaungua Kwale Street
  8. Jeni

    Natafuta mama wakunilea

    Mama yako kachoka kukulea????
  9. Jeni

    Natafuta mama wakunilea

    Yaani umemjibu sawiia nitadhamini pambano, maana JF siku hizi hakuna jipya. Natamani mods wangewatafutia sehemu yao
  10. Jeni

    Barrick wasimamisha mgodi.

    Wewe ndio umelala watu wa-telecom wanasainisha petition (i.e Tigo, Airtel na Voda) ya kukataa huu upuuzi
  11. Jeni

    Nassari: Sina nia ya kugawa nchi

    Nassari ametereza au ameteleza kwa wenye kujua lugha hilo halina ubishi tusipende kutokoselewa. Hakujua impact ya maneno yake na changamoto iliyopo kwa sasa katika siasa na kwa hilo yule anayeona kichaka tu basi haja imempata au kama ni pumu imepata mpumuaji
  12. Jeni

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Hahahahaaaa yaani wewe hahahaha duh
  13. Jeni

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Na JMakamba kamuuliza anamhamasishaje ampe kura ya yeye kwenye Arusha instead kusaidia vijana ktk swala hilo
  14. Jeni

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Yaani hayo ndio maswali ya kuulizwa candidates
  15. Jeni

    Blog ya IssaMichuzi haikupatia Uzito Msiba wa Shujaa REGIA MTEMA

    Ni kweli NN alitakaje ili aone. Wakati mwingine tusipende sononeka kama mtoto aliyepokonywa peremende. Kama hakuandika ni kivyake, jamani huu msiba si wa mmoja ni wetu sote ile kama fulani katika msiba yeye alifata pombe akitegemea ni pombe mwache anywe. Si wote watalia kama unavyolia wewe. Kila...
  16. Jeni

    Wapendwa mnisaidie how to move on,nataka kumdelete mme wangu parmanently

    Kuna kitu kingine wadada wa siku hz wanapenda sana kuolewa na akimpenda mwanaume haambiwi kitu hapo. Kwa rika la mumeo either ndio pesa imeanza kuchanganya nakujua utamu wa mabibi wa nje. Cha muhimu my dear kaa chini na mumeo muyaongee. Na usipende tabia ya kumchunguza bata anakula nn hakika...
  17. Jeni

    Uktongoza Dumu Student First date Anakuja na Marafiki zake! hata 10 why?

    Ni kweli ata mimi ni grown up huwa nikiitwa am going with my friend maana najua I won't be comfortable will need sm1 buutttt second date will handle
  18. Jeni

    Abdalah Zombe: CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari!

    <br /> <br /> Well said jina lingine Lema walikuwa wanamwita Njiwa walimuua btwn 2002 na 2004 alimuoa mtoto wa Balisidya na alikuwa rafiki sana na jamaa aliyeanzisha kuleta Sausage za Farmers Choice. Huyu Zombe anachanganya habari tu
Back
Top Bottom