Search results

  1. Mkwaha

    Kilicho Tokea Kwenye Korosho Kinaweza Kutokea Kwenye Zao La Soya Lishe Mkoa Wa Ruvuma.

    Amani Kwenu Wana Jamii Forums. Baada Ya Hivi Karibuni Serikali Kuliingiza Zao La Soya Lishe Kwenye Mfumo Wa Ununuzi Wa Stakabadhi Ghalani Naona Kuna Changamoto Imeaza Kujitokeza. Changamoto Iliyopo Ni kwamba Toka Serikali iaze Kukusanya Soya Lishe Kutoka Kwa Wakulima Kupitia Vyama Vya Ushilika...
  2. Mkwaha

    Upi Ukweli Baada Ya Timu Kukabidhiwa Kikombe?.

    ITIFAKI IMEZINGATIWA. Utangulizi: Kwenye Mchezo Wa Mpira Wa Miguu Baada Ya Mashindano Kumalizika Mshindi Hupewa Zawadi Ya Pesa Na Kikombe. Swali: Kile Kikombe Anacho Pewa Mshindi Huwa Ni Mali Ya Team Husika Moja Kwa Moja?. Kama Hakiwi Mali Ya Timu Husika mbona Kuna Team Wanamiliki Vikombe...
  3. Mkwaha

    Maajabu Jamani Duh!!

    Hivi Ikitokea Siku Umelala Usiku Mzima Kuja Kuamka asubuhi Unatoka Nje Dunia Huioni Hivi Utafanyaje??. Mimi Binafsi Narudi Zangu Ndani Tu Naaza Kulia.
  4. Mkwaha

    Kwa hiki nilichokifanya kwa mke wangu niko sahihi au nimekosea?

    Nilimuendeleza mke wangu Baada Ya family yake kushindwa kumsomesha kabla sijamuoa. Baada ya ndoa nikaona sio vizuri awe mama wa nyumbani hatakama uwezo wa kumhudumia ninao. Baada ya kumsomesha alibahatika kupata kazi akawa mwalimu wa shule ya msingi. Baada ya kuaza kupokea mshahara. dharau...
  5. Mkwaha

    Nusuru ndoa hii inayoenda kuvunjika baada ya muda mfupi toka ifungwe

    Itifaki imezingatiwa. Nina Mdogo Wangu Wa pili Ambae Nilikua Naishi Nae Hapa Nyumbani Kwangu Kwa kipindi Kilicho Pita. Baada Ya kujipanga Kimaisha Akaamua Atafute Chumba Cha Kupanga Ili mambo mengine Yaendelee. Mwezi Wa Nane Mwaka Huu Nakumbuka Kuna Siku Alinipigia Simu Na Akaniambia Kaka...
  6. Mkwaha

    DIAMOND Vs ALLY KIBA.

    Binafsi yangu kati ya Alikiba na Diamond namkubali sana Husein Machozi kwa sababu Lady Jay Dee ana sauti Nzuri sana na ndiomaana hata Kamusoko wakati anafunga lile goli, yule Daktari alisema eti kumtoa Mwendhio Macho ni Dhambi Kubwa sana, kutokana na Kwamba, yule Mgombea urais wa Chama cha CUF...
  7. Mkwaha

    Bunge kurushwa live, je lile katazo la waziri husika limeondolewa kimyakimya?

    Niko Hapa Home Nikifuatilia Matangazo Ya Bunge Kupitia Startv Waliojiunga Na Channel Ya Bunge. Hivyo Naomba Nijurishwe Kama Ile Hoja Ya Kubana Matumizi Imeondolewa Au Bado??
Back
Top Bottom