mama ni mama wala sitahangaika na huyo jamaa, ingawa sitamheshimu kama baba yangu! But raha ya mama nitaiheshimu na ikiwezekana nitailinda kwa nguvu zote maana asingekuwa yeye nisingekuwepo duniani
ni kweli, na hata katika mitandao hawaweki up-dates zao waisrael hawaonyeshi hali yake ikoje kwa sasa, ingawa kuna wakati familia yake ilisema haitazungumzia hali yake tena maana ni almost keshakufa
Kwa hiyo hawa wanaotamba wameishi miaka 132 watakuwa wameishi masaa mangapi kwa mujibu wa hesabu za Mungu? let's share experience ingawa ni za kibinadamu!
ipo kazi, eh endeleeni kuleta mambo wadau ili mjadala unoge, maaaaana hata mimi nilikuwa na wazo fulani kama hilo > 1. Gari binafsi, bila ulinzi tena usiku ule? > 2. Wako wawili ndani ya gari-harusi/kikao cha harusi unakwenda bila ndugu wengine i.e mke? > kwanini alijiamini kiasi cha kuongea na...
Be it or not, Barlow anabaki kuwa binadamu aliyekuwa na haki ya kuishi kama mimi na wewe tunavyoendelea kupumua. Kimsingi kufurahia jambo baya hata kama umewahi kutendwa au kuathirika kwa ubaya wowote wa dunia hii au wa kimfumo wa serrikali, hupaswi kushangilia kifo cha mtu mwenzako, hata kama...
Tunasubiri majibu zaidi kuliko maswali tuliyo nayo kutoka Jeshi la Polisi, lakini kwa ufupi tu ni kuwa, binafsi najiuliza hivi hakuna mkono wa maofisa wa jeshi hilo mkoani Mwanza? maana nasikia kati ya makamanda wa polisi waliokuwa makini katika kazi, huyu Barow alikuwa miongoni mwao. Hakutaka...
hii itakuwa poa maana nao ni binadamu na kwa kuwa wanataka haki kwa wote, basi hapo ndo haki itakapoanzia watusimamishe barabarani na kuanza kutubembeleza kama tufanyavyo sisi, hiyo imekaa mwake
walipofikia sasa watamalizana, tusubiri matokeo tutaona balaa lake, maana biashara iliyoko ikulu inaonekana kuvutia wengi, kuna biashara gani pale? Eeeh Baba wa Taifa rudi uone Magogoni uliyoiacha safi inavyoviziwa kwa mizinga ya fedha na makombora ya rushwa
siamini kama Yanga na Simba wameingiza kiasi hicho tu, lakini naamini ni zaidi ya hicho nikizingatia kuwa kiingilio kilikuwa kikubwa-kuna jamaa yangu aliwahi kuniambia kuwa timu hizo mbili zinapocheza, huingiza si chini ya nusu bilioni, na huyu ni mtu wa TFF, sasa kwa uongo huu wa TFF ufisadi...
Kama kuna uongo basi ni huu wa huyu jamaa yetu, kaburi la Mwalimu Nyerere ni sehemu ya makumbusho yake na hakuna mahali popote duniani ambako makumbusho haitozi fedha walau kidogo kwa ajili ya kuona 'mikusanyo' iliyoko ndani yake au iliyo katika eneo la makumbusho-kwa suala la kaburi la Baba wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.