Search results

  1. F

    Mgomo wa Walimu waiva; watoa notisi ya masaa 48

    I wish ungejua hata wasomi wa Tanzania nao ni kama hawa walimu. Kwa elimu yako wewe (Division 1) umeifikisha wapi Tanzania!! Sidhani kama hawa wa division 4 hawakukukfundisha wewe na kufikia hapo ulipo ukadhiriki hata kuwatukana. SHAME ON YOU.
  2. F

    Taifa linajengwa na nani?

    Jamani ndugu zangu wapendwa wa JamiiForum.. Nimejaribu kusikia japo kwa ufupi tu na kuamua kuzima TV kwani kauli za Magufuli zimenikwaza!!! Hivi barabara zinazojengwa Tanzania kwa misaada toka kwa wahisani ni bure? Kama si bure ni nani wanatakiliwa kulipa deni kwa wahisani!!! Yeye kasema CCM ndo...
  3. F

    Vyombo vya habari vya umma na siku tatu za maombolezo

    Basi kama kuomboleza ni kutokwenda kazini basi na watu wasile wala kulala... (Ama sijui maana ya kuomboleza mie?)
  4. F

    Ajali ya Meli: Maoni na mtazamo wa wananchi kwa yaliyojiri

    Ni kwamba dua zimegota... hivi sasa naona watu wamependeza na ni wenye furaha sana na wanaendelea kujongea ukumbini.... ndo watanzania hawa.
  5. F

    Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

    Binafsi naona ni dhana ya ccm na wadau wake kupandikiza chuki dhidi ya CDM. Hata wafuasi wake sasa wamekuwa na itikadi hiyo ya kusema maovu yote ni CDM. Sidhani kama kuna ukweli dhidi ya CDM. Polisi kazi yao ni kujua nani alihusika na ni kwanini. [Atupe muongozo wa polisi unasemaje]
  6. F

    Elections 2010 Mbowe Ndesamburo waingia Arusha

    Chadema hoyeeeeee
  7. F

    Elections 2010 Jamani mnajua J.K. yuko Mwanza?

    Duh! Madaraka Nomaaaaaa. Akimalilza muda wake 2015 lazima tumtie ndani na wafuasi wake... Haiwezekani wajigawe kivile. Haoo Zenji, huyu Mmeru Arusha na Mkwere nae Mwz.... Jamani vipi Mbeya hawajatinga?
  8. F

    Elections 2010 Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

    Huyu jamaa ana nia mbaya... Hafai kabisa kwa jamii ya sasa... Ingekuwa nina uwezo wa kuloga huyu ningemgauze jiwe la msingi City Park...
  9. F

    Kumuita Kikwete Dr. sio "kuchakachua" usomi?

    Mtampa huyo Dakitari... Lakini ukweli utabaki pale... in TZ bila (Ukenya 2007). Tutabaki kila siku bora ya Jana. Remember, alikuja Mwinyi tukasema bora Nyerere, akaja Mkapa tukasema bora Al haji(mzee wa busara), akaja huyu dakitari wa kenya tukasema bora Kibosile Mkapa,,, jamani ina maana ccm...
  10. F

    Elections 2010 Niwaonavyo wagombea watatu wa urais

    :whistle: Mweshimiwa, nadhani wewe una ka-upungufu kidogo ka mawazo. Si Slaa asiye kuwa na elimu ya kutosha. Labda wewe ndo std 7 ya 2000. Jitahidi kuendelea kusoma zaidi ili uweze pevuka kimawazo. Huna strong evidence ya kusema hayo kwa kadamnasi hii.... Kawaulize wenzio kijiweni wakupe wasifu...
  11. F

    Kampeni ya Ubunge Arusha Mjini - Batilda Burian Vs Lema

    :A S 103: No comments, Japo Tarime ilikuwa vile, serikali kwa ujumla iliweza kutenda haki kwa chaguzi zote. Hakuna kilichoibwa baada ya pale. Labda Arusha nao wame-ihnerit... lets c after 31/10/2010
Back
Top Bottom