Lini na wapi Wema alishamtukana dai au tiffa...Matusi yanatoka kwenye timu zao..Timu Dai wanamtukana Wema na Kina,Timu Wema wanamtukana zari na dai....yaaani fans wao ndo watukanajii wakubwa....
mmmhhh huko sipo na kuhusu kuntovaa hii imekuwa kawaida kwa wasichana na wamama walio wengi,mi nilichokuwa na pinga ni kwa watu kulazimisha kuona upande mmoja tu wa maisha yake inhali ana upande mwingine pia
humu ndani kuna Miungu watu wanajikuta wao wasafi kumbe ndo wachafu mpk shetani anaomba poo....wema ana mabaya yake ila pia she has a good side of her kama binadamu wengine penye ukweli tuseme....
Habari za asubuhi..
Kuna kitu kinanitatiza sana na natamani kujua mawazo ya wenzangu pia katika hizi harakati za mabadiliko ya nchi yetu.
1)lowassa angepitishwa na ccm je hizi harakati za mabadiliko zingeendelea kuwa hivi ilivyo sasa?
2)Je kama mtanzania unadhani na uhakika kuwa mabadiliko ya...
Hii kitu imetoka kwenye blog ya mange i know she love tension ila kwa hta matusii duuuuuu...let de project continue ila ningekuwa mim ningejiweka off na social network kwa muda
Jamaniiii hebu let dis girl aishi maisha yake coz watanzania tunaongoza kwa kumtukana na kupenda kumpangia mtu maisha..
Najua kuna watu wanafanya mambo ya ajabu nje ya keyboard ila kwa kusema wenzaooo vibaya..khaaaaaa
Umeonaa eeehh yaaan ka wa kike..ukiwa muongo uwe na kumbumbuku na aliongea mwenyewe...Napenda sana nyimbo za daimond ila kuna vitu anafanya mi hta simuelewi
Umeangalia vizuri interview ya dai.hebu upendo wetu kwa dai usifunuke mpk yale mabaya yake na tuwe wakweli..mbona yeye ndo kila siku anaongea shit khs ex wake..mi ni mwanamke so nimeimagine hyo ndo mai ex..Yeye alipaswa kuongelea muziki wake vitu vingine ajifunze kuwa na kifua kwa hili hapana aiseee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.