Search results

  1. N

    Tufanyeje kurejesha hadhi ya rais wa Tanzania?

    Mara mia Jeshi kuliko hawa wanasiasa wa kibongo, hivi kama Kiongozi anayedhaniwa kuwa anaweza kuongoza nchi anaweza kushindwa kutumia busara na kuanza kulumbana na vyombo vya dola, wapi atalipeleka taifa? Mwandishi anafariki katika mikutano yake anatumia msiba kama mtaji wa kisiasa, Mwanasiasa...
  2. N

    Tufanyeje kurejesha hadhi ya rais wa Tanzania?

    Hahaaaaaaaaaaa, Huyo ndo nani sasa? kazi tunayo. Tuliokuwa tukiwafikiria angalau sifa zote hizo hakuna, hata kanisa limewashinda kuongoza, ndoa za watu ndo hivyo zinavunjia kwa ajili yao, nidhamu jukwaani sifuri mtu wa kuropoka tu. ZITTO anaweza kufurukuta kidogo, dogo anayo IQ ya kutosha na...
  3. N

    Tufanyeje kurejesha hadhi ya rais wa Tanzania?

    Tatizo ni sumu mnazolishwa na SLAA, ukimtaja mtu mwingine lazima mnang'aka tu, huyu lazima iko siku mtampiga 2 mawe huku mkisema tungejua.
  4. N

    Tufanyeje kurejesha hadhi ya rais wa Tanzania?

    Mbona mleta mada ameonesha wazi kuwa ni Nyerere tu ndiye aliyekuwa Rais msafi, na mbona mashambulizi ni kwa JK pekee? hata akiondoka JK bado lugha zitakuwa hizi hizi kwa atakayekuwepo wakati huo, huu wimbo wa kawaida wa majungu.
  5. N

    Rais wangu, wananchi wako hatujakutuma kwenda kufanya kazi hizi!

    Aliogopa kutolewa kafara na CDM.
  6. N

    Rais wangu, wananchi wako hatujakutuma kwenda kufanya kazi hizi!

    Siyo kwamba umekosa cha kuchangia hadi unaanza kutukana bali ni mada yenyewe ambayo imekaa kipropadanga na ambayo imezoeleka machoni, vichwani na mioyoni wa watu wasioitakia mema tanzania hii. Rais siyo balozi wa nyumba kumi asisafiri. Hivi kama ili mtu kuwa kiongozi wa Chama cha siasa tu...
  7. N

    Rais wangu, wananchi wako hatujakutuma kwenda kufanya kazi hizi!

    Mbona unaongea yale yale unayoyapinga, kama balozi anaweza kumwakilisha Rais nchi za nje, huko Matongo Nanguruwe na kwingineko lazima aje Rais kweli, hakuna watendaji wengine? Hivi unategemea kweli Rais aje awambie wananchi wa Matombo kuwa ni kosa la jinai kutoheshimu mamlaka zilizoko kisheria...
  8. N

    CUF yapeleka wafuasi Arusha na mabasi kutoka Dar

    Matusinjamani,tuchenge midomo yetu.
  9. N

    CUF yapeleka wafuasi Arusha na mabasi kutoka Dar

    Kumbe source ni Tanzania daima, basi
  10. N

    Watoto wa Wasira waliojiunga CHADEMA watoa ufafanuzi juu ya uhusiano wao na Waziri Wasira

    Bilasahaka Wasira kuna jambo pia analificha kuhusu hawa mabinti, lakini kuna haja kuvuta subira, tunaweza kupata kilichojfisha nyuma ya pazia.
Back
Top Bottom