Search results

  1. Zvi

    Msaada: Kuondoa utelezi maji ya mvua

    pls naomba unicheck pm
  2. Zvi

    Msaada line za uwakala Mkuu Tigo, Airtel pamoja M-pesa

    kuna mwenyewe alifanikiwa, nahitaji ya mpesa na tigo
  3. Zvi

    Tunauza na kufunga AC unalipa baada ya kufungiwa

    Bei zako ni very competitive. goodluck!
  4. Zvi

    Miradi ya Maprofesa wa Bongo

    si kweli, ni wachache waliotoboa kupitia miradi. Wengi maisha yao ni ya kawaida na wengine maisha yao ni magumu zaidi baada ya kustaafu wanahangaika na contracts kwenye private universities. huu ni ukweli niliouona baada ya kufanya nao kazi zaidi ya miaka 10
  5. Zvi

    Rais hawezi kumchukulia hatua RC Chalamila kwa sababu anamuogopa?

    Chalamila amekuwa akiongea hivyo consistently, yuko juu ya sheria?
  6. Zvi

    Nani anafanya vetting dhidi ya wateule wa Rais? Chalamila alifukuzwa shule sasahivi ni mkuu wa mkoa

    Kuna school mate akiwa secondary alikula suspensions kadhaa kwa makosa ya nidhamu, ila sasa ni mkuu wa wilaya mojawapo. Sidhani kama vetting zinafanyika ipasavyo, ni connection tu
  7. Zvi

    Rais Samia: Kamera za Usalama zitaondoa Rushwa na ulazima wa kutumia 'Matrafiki' kila sehemu

    Yes kwa makosa ya speed na bima itakuwa ni vuziru kutumia kamera, lakini sidhani kama kamera pekee yake zitaweza fanya inspection ya ubora wa magari, kukagua mizigo na mengineyo, bado watahitajika askari kwaajiri ya ukaguzi wa magari. Labda ukaguzi kama huu pia ufanyike sehemu ambazo zina kamera pia
  8. Zvi

    Nilichojifunza kwenye msiba wa kaka

    Pole ndugu kwa kuondokewa na kaka, huwa tunawadharau tukiwa kwenye hizi nafasi, lakini tukifa wale tuliowapuuza ndio wanaotujali. Siku moja pasipo kutarajia nikiwa natoka stendi gari ilizima ghafla, nikajaribu kuiwasha laa, wakati huo gari zingine na mabasi yameshaanza kupiga honi maana...
  9. Zvi

    Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Thanks for the compliment, Very excellent consumption. Natumia Honda Insight. So far very realible
  10. Zvi

    Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Kununua hybrid car ilikuwa ni mojawapo ya maamuzi magumu kuwahi fanya, kila mtu alinikatisha tamaa, lakini sasa ni zaidi ya mwaka na sijutii maamuzi. Consumption ni mpaka 27km/l kutegemeana na uendeshaji. Hakuna service yoyote niliyofanya zaidi ya kubadili oil na oil filter
  11. Zvi

    Bajeti ya laki 7 nataka kununua Lg home theater, mliowahi kuzitumia naomba ushauri

    Siku moja nikiwa car wash Mbezi, nilikutana na jamaa mmoja alinipa ushauri kama huu hapa, sijui ndio wewe? ila nilipuuza. Anasema yeye alifanya set up ya mziki wake Nairobi. Anasema huo mziki ni babu kubwa. kama hutojali naomba unipe contacts za fundi ambaye tayari ana uzoefu huu. Asante
  12. Zvi

    Wakati Tanzania Tuna "Struggle" Kupata Watalii Milioni 2 Kwa Mwaka,Egypt Inatarajia Kufikisha Watalii Milioni 15 mwaka 2023.

    hivi kwanini sisi tuna overcharging mindset? ukiangalia hata kwenye uagizaji wa bidhaa kutoka nje hasa magari is the same story. Hivi wahusika huwa hawayaoni haya?
  13. Zvi

    Audi A4 Gari Moja Ya Kichawi Sana, Twende Pamoja utanielewa

    Ok nashukuru kwa jibu, panapo siku nitakucheck
  14. Zvi

    Audi A4 Gari Moja Ya Kichawi Sana, Twende Pamoja utanielewa

    KUna namna ya kuongeza torque kwenye engine ya diesel?
  15. Zvi

    Msaada: Ninunue Vitz au Honda Fit?

    Zilikuwa kwenye offer/sales, ilinigharimu kama sh 16mil mpaka kuishika mkononi
  16. Zvi

    Msaada: Ninunue Vitz au Honda Fit?

    NIngekushauri fit, ninayo hybrid version yake. Tangu nimenunua siwajahi badilisha chochote kile na haijawahi nisumbua. route za town napata consumptions ya 18-20km/l, safari za mikoani napata mpaka 26km/l
Back
Top Bottom